Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Uyu mbwa lazima afungiwe. Ni chuki tu imemsukuma kufanya ivi hasa kuamia yanga na kulipwa vizuti. Hii haikubaliki kabisa. Tff lzm wamfungie kwa kitendo hiki. Tff fungia uyu mwehu kabisa
Labda alitaka kufanya ngazi kuelekea upande wa pili. Rafu mbaya nyingine ni ile ya Stephen Mwasika dhidi Ngasa na ile ya Chuji dhidi ya Christopher. Mzee tuwekee na hizo picha, maana nimemsika Shafii Dauda
Umemsikia Shafii? Kwako kila anachosema yeye ndo basiiiiiiii? mbona usimwambie akuambatanishie na picha?
huyo shaffi hata mpira wenyewe haujui kaanza kuujuwa kwenye tv juzi na jana ligi ya england maestro hata danadana mbili hawezi kupiga lkn ndie mkurugenzi wa ufundi pale simba watu wanachezea profeshno za watu eti mkurugenzi wa kamati ya ufundi SSC Na huyu shaffi eti mchambuzi mahiri jamani hili soka sijui linaelekea wapi huyu shaffi mi namjua sana hana lolte analolijuwa tena ni yanga damu tokea anakaa majalubani msasani haujui mpira ni ujanjaujanja tu na visenti anavyopata kwa kina binsum na marupurupu ya bonza za fiesta kana una bisha muulize shaffi lini mara yake ya kwanza kwenda taifa kama sio mwaka jana hata mpirani heandi huyo ibra nae alimtengenezea zengwe mwenzake philps cyprian mpaka akafukuzwa kazi pale clouds ili yeye ajitawale kumbe elimu hana kaishia la 6 halafu rage kamteua mkurugenziwa kamati ya ufundi kwa welendi wake uliotukuka
Simba kweli wanaonewa, yaani walilazimishwa na TFF kucheza mpira wa njano?
Hata Yanga mnajua kama Shafii Dauda ni mungu mdogo, kama ingekuwa sivyo msingemuhusisha na kushindwa kuja kwa Maximo kuifundisha Yanga wakati mkijua ni mtu mdogo sana.Kuna watu wanamuonaga Shaffih kama Small GOD vile,kila anachosema yeye wanaona ndo sahihi 100%