Rafu ya Haruna Moshi hiyo

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
187
rafu ya boban[1].jpg

Angalia kwa makini namna Haruna Moshi alivoufuata mguu wa Yondani na alivokunja sura, angalia position ya mpira hutosita kusema jamaa alikusudia kumuumiza mwenzie!
 
Na akaishiaa kupewa kadi ya njano!!!!sijui refa walimpa kiasi gani!!!huo sio uungwana kabisa sina hakika kama walimpima huyo mwana mabangi...
 
that was a straight Red Card foul lakini refa sijui alikuwa anawaza nini hata hakuona rafu mbaya kama hiyo...lakini cha ajabu anaenda kutoa Red Card mchezaji wa Yanga aliyejirusha kukuza ukubwa wa rafu!
 
Uyu mbwa lazima afungiwe. Ni chuki tu imemsukuma kufanya ivi hasa kuamia yanga na kulipwa vizuti. Hii haikubaliki kabisa. Tff lzm wamfungie kwa kitendo hiki. Tff fungia uyu mwehu kabisa
 
Labda alitaka kufanya ngazi kuelekea upande wa pili. Rafu mbaya nyingine ni ile ya Stephen Mwasika dhidi Ngasa na ile ya Chuji dhidi ya Christopher. Mzee tuwekee na hizo picha, maana nimemsika Shafii Dauda
 
Sijui ule utaratibu wao wa kuwapima "Mabangi" kama huyu Haruna "Moshi wa bangi" watauanzisha lini,pengine wakishauanzisha utawanusuru vijana wadogo wenye vipaji asilia na dhahma kama hizi,nimemchukia sana huyu Mbwa.
 
Mkuu umewawekea picha ndogo sana,wanaweza wasione jinsi Mbwa huyu alivyokuwa amedhamiria kumwaribia mtoto wa watu maisha yake ilhali akijua kama yeye anategemea miguu yake kupatia mkate wake wa kila siku,ngojaniwakuzie kidogo...
attachment.php

Cheki alivyokunja sura na kufunga macho kuonyesha matumizi ya nguvu za makusudi kabisa...watu wengine wana roho zinazofanana na rangi zao haki, halafu sasa cha ajabu refa alikuwa very close yeye mwenyewe anaonekana kushangaa aina ile ya rafu lkn still bado akatoa adhabu ndogo namna ile yote ksbb ya vipesa alivyokuwa amepewa sijui na yule Mhaini wa nchi au vipi all in all na yeye atalaaniwa tu kwa kutohukumu kwa haki.
 
Attachments

  • RAFU YA BOBAN____.jpg
    RAFU YA BOBAN____.jpg
    57.5 KB · Views: 1,702
Uyu mbwa lazima afungiwe. Ni chuki tu imemsukuma kufanya ivi hasa kuamia yanga na kulipwa vizuti. Hii haikubaliki kabisa. Tff lzm wamfungie kwa kitendo hiki. Tff fungia uyu mwehu kabisa

Acha jazba, kajipangeni mrudi tena, mnyama hachezewi hakuna cha mbuyu wala mjohoro!!!
 
Mkuki kwa kitimoto ila kwa binadamu mchungu, umesahau the way huyo Yondani alivyomchezea rafu Kazimoto ndani ya boksi adi akashindwa kurudi uwanjani lakini refa hakutoa penalty wala kumpa kazimoto card kusema amejiangusha, mtenda hutendwa. Mbona rafu za kina mwasika, twite, au zile mbili za Bahanuzi kwa Kapombe huziongelei? Acha unazi coz we need fair judgement, na fair judgement ni ile ambayo imebalance na siyo bias
 
[h=3]HARUNA MOSHI "BOBAN" AOMBA MSAMAHA KWAKUMVUNJA YONDANI[/h]

DSCN9822.JPG

KIUNGO wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ amewaomba radhi wapenzi wa soka Tanzania kwa kitendo chake cha kumchezea rafu mbaya mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kevin Yonda jana. Akizungumza leo, Boban alisema kwamba wengi wanaweza kudhani alikusudia, lakini ukweli hadi anafika kwa Yondan hakuwa na dhamira ile. “Nia yangu ilikuwa kuukita mpira, lakini Yondan naye fundi, akautuliza ukahama, na mimi wakati huo nishauinua mguu wangu ndio unatua sasa, ukatua kwenye mguu wake.
Binafsi iliniumiza sana na kama utaona kuanzia pale sikucheza vizuri kabisa, sikuwa na raha kabisa. Yondan ni rafiki yangu sana, nimempokea Simba, nimeondoka nimemuacha, nimerudi, amenipokea, tumeishi vizuri, kwa kweli inaniumiza sana,”alisema Boban.
Aidha, Boban alisema kwamba atakwenda kumjulia hali Yondan na kumuomba msamaha. “Nawaomba msamaha zaidi mashabiki wa Yanga, mimi ni binadamu, wanisamahe,”alisema Boban.
Yondan atakuwa nje kwa wiki mbili, kutokana na kuumizwa na kiungo huyo wa Simba, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

source:bin zubery
 
Labda alitaka kufanya ngazi kuelekea upande wa pili. Rafu mbaya nyingine ni ile ya Stephen Mwasika dhidi Ngasa na ile ya Chuji dhidi ya Christopher. Mzee tuwekee na hizo picha, maana nimemsika Shafii Dauda

Umemsikia Shafii? Kwako kila anachosema yeye ndo basiiiiiiii? mbona usimwambie akuambatanishie na picha?
 
huyo shaffi hata mpira wenyewe haujui kaanza kuujuwa kwenye tv juzi na jana ligi ya england maestro hata danadana mbili hawezi kupiga lkn ndie mkurugenzi wa ufundi pale simba watu wanachezea profeshno za watu eti mkurugenzi wa kamati ya ufundi SSC Na huyu shaffi eti mchambuzi mahiri jamani hili soka sijui linaelekea wapi huyu shaffi mi namjua sana hana lolte analolijuwa tena ni yanga damu tokea anakaa majalubani msasani haujui mpira ni ujanjaujanja tu na visenti anavyopata kwa kina binsum na marupurupu ya bonza za fiesta kana una bisha muulize shaffi lini mara yake ya kwanza kwenda taifa kama sio mwaka jana hata mpirani heandi huyo ibra nae alimtengenezea zengwe mwenzake philps cyprian mpaka akafukuzwa kazi pale clouds ili yeye ajitawale kumbe elimu hana kaishia la 6 halafu rage kamteua mkurugenziwa kamati ya ufundi kwa welendi wake uliotukuka
 
Simba kweli wanaonewa, yaani walilazimishwa na TFF kucheza mpira wa njano?
 
job true true na yanga angefungwa boban angefungiwa gemu mia 2 kwa rafu hiyo..
 
huyo shaffi hata mpira wenyewe haujui kaanza kuujuwa kwenye tv juzi na jana ligi ya england maestro hata danadana mbili hawezi kupiga lkn ndie mkurugenzi wa ufundi pale simba watu wanachezea profeshno za watu eti mkurugenzi wa kamati ya ufundi SSC Na huyu shaffi eti mchambuzi mahiri jamani hili soka sijui linaelekea wapi huyu shaffi mi namjua sana hana lolte analolijuwa tena ni yanga damu tokea anakaa majalubani msasani haujui mpira ni ujanjaujanja tu na visenti anavyopata kwa kina binsum na marupurupu ya bonza za fiesta kana una bisha muulize shaffi lini mara yake ya kwanza kwenda taifa kama sio mwaka jana hata mpirani heandi huyo ibra nae alimtengenezea zengwe mwenzake philps cyprian mpaka akafukuzwa kazi pale clouds ili yeye ajitawale kumbe elimu hana kaishia la 6 halafu rage kamteua mkurugenziwa kamati ya ufundi kwa welendi wake uliotukuka

Unajua mimi ndo maana naipenda JF kwani hapa huwa najifunza mengi sana....unajua nilikuwa najiuliza kila siku kwanini hii inayoitwa Shaffih in Sport Blog siku hizi imejaa habari za Coastal United ya Tanga,kumbe ni visenti vya kina Bin Slum??? anyway ngoja nisitoke nje ya hoja,naendelea kutilia mkazo hoja hii ni 1 kati ya rafu mbaya sana kuwahi kutokea kwa kipindi chote katika historia ya soka la level za juu,rafu kama hizi huko mchangani inawezekana kuwa kitu cha kawaida lkn katika level la soka la kitaifa ni nadra sana.
Ila pesa hizi jamani zitatuponza,yaani mtu anaweza kubadili theme ya blog yake kwa vijisenti vya mtu fulani,hii ni hatari sana.
 
Kuna watu wanamuonaga Shaffih kama Small GOD vile,kila anachosema yeye wanaona ndo sahihi 100%
Hata Yanga mnajua kama Shafii Dauda ni mungu mdogo, kama ingekuwa sivyo msingemuhusisha na kushindwa kuja kwa Maximo kuifundisha Yanga wakati mkijua ni mtu mdogo sana.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom