CCM acheni siasa za kuchafuana Moshi

Jun 20, 2023
54
51
Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha mama mmoja mkazi wa kata ya Mbokomu akilalamika kuwa Mbunge wao, Profesa Patrick Ndakidemi aliwaahidi kuwaboreshea mazingira ya barabara endapo wangechagua kuwa mbunge wa jimbo la moshi vijijini.

Tofauti na hivyo mama huyo anasema tangu achaguliwe hajawahi kufika katika eneo hilo la kwamba wanatumia gharama kubwa kusafrisha mazao yao kwenda sokoni kutokana na ubovu wa miundombinu ya barabara na kwamba kwa hali hiyo hawana hamu tena yakupiga kura.

Kwenye video hiyo pembeni zinasikika sauti za wanaume ni kama wanamwongoza cha kusema mama huyo na wanaishia kucheka.

aSsa Mbunge baada ya kuipata clip hiyo alifunga safari hadi eneo hilo na kuzungumza na mama huyo ambaye anakana kauli hiyo.

Huu ni mwendelezo wa siasa za kuchafuana ambazo zinaonekana kuchipukia kwenye majimbo ya moshi vijijini na Moshi mjini ambako wabunge hawa wa ccm, Priscus Tarimo (moshi Mjini) na Ndakidemi (moshi vijini) wanaonekana kuwa na maadui wengi ndani ya chama chao kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani.
 
Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha mama mmoja mkazi wa kata ya Mbokomu akilalamika kuwa Mbunge wao, Profesa Patrick Ndakidemi aliwaahidi kuwaboreshea mazingira ya barabara endapo wangechagua kuwa mbunge wa jimbo la moshi vijijini...
Ungeiweka hiyo clip, wengine hatujaiona..!!
 
Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha mama mmoja mkazi wa kata ya Mbokomu akilalamika kuwa mbunge wao,profesa Patrick Ndakidemi aliwaahidi kuwaboreshea mazingira ya barabara endapo wangechagua kuwa mbunge wa jimbo la moshi vijijini...
my friend,
uchaguzi ni kujipanga, hamna namna ingine 🐒

na uongozi ni kuonyesha njia, kusema kutenda na kufanya kazi ya wanainchi kwa bidii 🐒

hii ya kuja kulalamika ati sijui unachafuliwa !!!!

nani anakuchafua na hujafanya kitu chochote kwa ile kazi mwanainchi amekupatia🐒

hiyo ni useless 🐒
 
Kuhamishwa Kwa Katibu wa CCM wa Mkoa HUO ni mkono wa mungu.

Alikuwa anakula Rushwa Kwa wagombea .
 
Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha mama mmoja mkazi wa kata ya Mbokomu akilalamika kuwa Mbunge wao, Profesa Patrick Ndakidemi aliwaahidi kuwaboreshea mazingira ya barabara endapo wangechagua kuwa mbunge wa jimbo la moshi vijijini...
Nilitaka kufahamu kama huwa anafika jimboni kwake mara kwa mara kufuatilia na kutatua kero za wananchi na kuwa hivi sasa anazushiwa tuu.

Wabunge wengi sana wa 'kariba' ya huyo, huyapa kisogo majimbo yao hadi 'msimu' unapokaribia ndiyo wanaanza kuhaha!

Mwananchi aliyetoa malalamiko alitakiwa kujibiwa kwa hoja zenye vielelezo vyenye kuthibitisha uwajibikaji.

Vinginevyo tunaungana naye kwamba Mbunge huyo hajawajibika ipasavyo, hivyo anatakiwa kuwajibishwa kwa njia ya sanduku la kura.
 
Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha mama mmoja mkazi wa kata ya Mbokomu akilalamika kuwa Mbunge wao, Profesa Patrick Ndakidemi aliwaahidi kuwaboreshea mazingira ya barabara endapo wangechagua kuwa mbunge wa jimbo la moshi vijijini.

Tofauti na hivyo mama huyo anasema tangu achaguliwe hajawahi kufika katika eneo hilo la kwamba wanatumia gharama kubwa kusafrisha mazao yao kwenda sokoni kutokana na ubovu wa miundombinu ya barabara na kwamba kwa hali hiyo hawana hamu tena yakupiga kura.

Kwenye video hiyo pembeni zinasikika sauti za wanaume ni kama wanamwongoza cha kusema mama huyo na wanaishia kucheka.

aSsa Mbunge baada ya kuipata clip hiyo alifunga safari hadi eneo hilo na kuzungumza na mama huyo ambaye anakana kauli hiyo.

Huu ni mwendelezo wa siasa za kuchafuana ambazo zinaonekana kuchipukia kwenye majimbo ya moshi vijijini na Moshi mjini ambako wabunge hawa wa ccm, Priscus Tarimo (moshi Mjini) na Ndakidemi (moshi vijini) wanaonekana kuwa na maadui wengi ndani ya chama chao kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani.
WEWE NI MGENI NA CCM?
 
Ndugu Makoi ndie aliye nyuma ya hizi siasa chafu za kipumbavu, kipuuzi na za kiulimbukeni!
Makoi ana makandokando yake mengi tu asijifanye uovu wake haujulikani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom