Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Sasa itakuwaje ukiwakuta baa siku wanapata mvinyo ndio unatambulishwa huyu ni rafiki yangu. Na kiukweli ni rafiki yake. Utamuamini?

amemtolea wapi huyo rafiki wa kike, wakati rafiki wake wa kike ni mie?...mie wife na rafiki yake mkubwa sana, acnitafute ubaya kabisa.
 
carmel,
unachokuhubiri unaweza ukawa unakipractice wewe tu!
wanawake ninavyowafahamu mimi HAWANAGA URAFIKI WA KAWAIDA NA WANAUME

Hahaha! Mpwa hapa nimesita kukugongea senksi. Vipi the other side of the coin wanaume wana urafiki wa KAWAIDA NA WANAWAKE?
 
carmel,
unachokuhubiri unaweza ukawa unakipractice wewe tu!
wanawake ninavyowafahamu mimi HAWANAGA URAFIKI WA KAWAIDA NA WANAUME
And thats why i said I AS CARMEL, i can have a friend who i can respect and care as a friend. Like Geof, cant we be friends? who are we? I can gladly introduce you to my hubby, na kumwambia ukionaga nakuoga kuwa naenda kwenye vikao na wapwa, nakutanaga na huyu, huyu na yule! is there anything wrong with that?
 
amemtolea wapi huyo rafiki wa kike, wakati rafiki wake wa kike ni mie?...mie wife na rafiki yake mkubwa sana, acnitafute ubaya kabisa.

Labda wanafanya naye kazi, kwenye biashara, kwenye starehe, kwenye unywaji au wamefahamiana online, kwenye sherehe....... something like that.
 
hamna mpwaaaaa!
THIS IS NATURE!

nenda maofisini humo,mashirika ya uma n.k....!wanawake na pete zao WANAMEGWA KAMA KAWAIDA siku za maharusi,function za ofisi n.k
Geoff unadarubini nini??? kama vile ofisi flani hivi jina .........., we have to be carefull. sore ofu topiki
 
Unless unamsalandia huyo rafiki yako kwa nini unaanza kuwa na wasiwasi wakati ni rafiki wa kawaida tu?: Only the truth shall set you free. Mtambulishe tena jitahidi awe karibu sana na mamaa kuliko hata ulivy naye wewe.
Mkeo alishaapa (Pengine bila kujijua) kuwa ...
......X-pin uendako nitakwenda, utakapoishi nami pia nitaishi, watu wako wewe watakuwa watu wangu na Mungu wako atakuwa ndiye Mungu wangu..........!

Is it you Mwanajamii one? au hii miwani yangu inasomaje hapa?
 
Geoff unadarubini nini??? kama vile ofisi flani hivi jina .........., we have to be carefull. sore ofu topiki
ha ha ha ha!
mimi mke wangu asipokuwa na hoja za msingi atakaa na degree yake nyumban mpaka afe
 
Carmel,mambo huwa yanaenda yakibadilika.Just believe me.I have tried several times ( Hii ni UKWELI) na imeshindikana.
Just be careful.Hata bible inasema ajidhanie amesimama aangalie asianguke.

I can understand your situation coz You are single and attractive, so whenever a man have an opportunity to meet you lazima abadili msimamo, but my case is different, i am married, and i respect that above anything else, so at the moment mtu akianza kuonyesha kupindisha urafiki kwenda kwenye mapenzi , am out, as simple as that, thats why God gave us brains, so that we can think and make decision. Ukweli ni kwamba huyo another jinsia hatakubaka, ila tu akianzisha ishu zingine ukaconsent thats you, you made that decision, you were not forced. but in normal circumstances you have a right to say no and back out. We need friends jamani, si kweli kwamba ukioa au ukiolewa ndo usiwe na marafikiki wa jinsia nyingine eti tu kwa sababu unafikiri utaanguka, unless uwe na personal weakness unapoona gender tofauti na wewe.
 
And thats why i said I AS CARMEL, i can have a friend who i can respect and care as a friend. Like Geof, cant we be friends? who are we? I can gladly introduce you to my hubby, na kumwambia ukionaga nakuoga kuwa naenda kwenye vikao na wapwa, nakutanaga na huyu, huyu na yule! is there anything wrong with that?

haya mama!
wewe kama carmel SAWA!SAWA SAWA
I SWEAR TO GOD MIMI NIGEKUWA MUMEO UNGESHACHEZEA MAKOFI NA KUACHANA NA VIKAO SIKU NYINGI!:D
 
Unless unamsalandia huyo rafiki yako kwa nini unaanza kuwa na wasiwasi wakati ni rafiki wa kawaida tu?: Only the truth shall set you free. Mtambulishe tena jitahidi awe karibu sana na mamaa kuliko hata ulivy naye wewe.
Mkeo alishaapa (Pengine bila kujijua) kuwa ...
......X-pin uendako nitakwenda, utakapoishi nami pia nitaishi, watu wako wewe watakuwa watu wangu na Mungu wako atakuwa ndiye Mungu wangu..........!

hiyo ilitokea kwa wanandoa tulioacmamia, mume alimleta anaedai rafiki yake ametokea cjui wapi huko so ameomba malazi kwa muda hapa nyumbani mana ni rafiki yangu tumekuwa nae kuanzia utotoni, mke anajishughulisha na kumwita mdada wifi kumbe ni mwenzake wa undani, tumeenda kuwasuluhisha hapo mdada aliapa kumlipizia kwani kunakalika hapo ndani kwao kuanzia hiyo rafu ilivyochezwa?...kila mtu kimpango wake.......
 
Labda wanafanya naye kazi, kwenye biashara, kwenye starehe, kwenye unywaji au wamefahamiana online, kwenye sherehe....... something like that.

ndio wamelizane huko huko lakini sio mpaka home kwangu.
 
hiyo ilitokea kwa wanandoa tulioacmamia, mume alimleta anaedai rafiki yake ametokea cjui wapi huko so ameomba malazi kwa muda hapa nyumbani mana ni rafiki yangu tumekuwa nae kuanzia utotoni, mke anajishughulisha na kumwita mdada wifi kumbe ni mwenzake wa undani, tumeenda kuwasuluhisha hapo mdada aliapa kumlipizia kwani kunakalika hapo ndani kwao kuanzia hiyo rafu ilivyochezwa?...kila mtu kimpango wake.......
Kweli kabisa dada ndio mana nikaanza kwa kuuliza anampango gani na huyo rafiki yake maana kama ni mkweli na msafi wa moyo hana haja ya kupata kigugumizi ati!
 
Unless unamsalandia huyo rafiki yako kwa nini unaanza kuwa na wasiwasi wakati ni rafiki wa kawaida tu?: Only the truth shall set you free. Mtambulishe tena jitahidi awe karibu sana na mamaa kuliko hata ulivy naye wewe.
Mkeo alishaapa (Pengine bila kujijua) kuwa ...
......X-pin uendako nitakwenda, utakapoishi nami pia nitaishi, watu wako wewe watakuwa watu wangu na Mungu wako atakuwa ndiye Mungu wangu..........!

Well said mama! I wish wangekuelewa kina ZD. Nimekutwanga senksi kule na hapa nakutwanga tatu. SENKSI, THENKS, THANKS
 
hamna mpwaaaaa!
THIS IS NATURE!

nenda maofisini humo,mashirika ya uma n.k....!wanawake na pete zao WANAMEGWA KAMA KAWAIDA siku za maharusi,function za ofisi n.k

Kumegwa au kumegwa ni uamuzi wa mtu, kila mtu anajua nini anataka out of this life, ukitaka kumegwa/kumega kila mara na watu tofauti bila kujali kama uko kwenye ndoa au sivyo inawezekana, hebu tuangalie mada inasemaje maana swala la kumegana ni tofauti kabisa, coz mtu anaweza kuegwa hata na houseboy au kumega housegal, so the same applies to friendship, its a choice ukitaka kumega au kumegwa it can happen tena so smoothly. Lakini what am talking about here is you as ana individual, you as a person and the dignity you have, how can you control yourself an so on, its the respect you have for yourself, your husband and your marriage that will guide you to do whatever you do.
 
unajua mam'aa....!
haya mambo yanaanza na urafiki!na kwenye hili women are so so so weak!SIO WOTE JAMANI!........
 
Kivipi mama? mbona umeshangaa si ni rafiki wa kawaida tu au kuna tafsida imetumika hapa na mie kuingia kingi?!
Wanaweza kuwa marafiki wa kawaida kweli ,lakini uwezekano wa kuzlisha mahusiano ya mapenzi ni mkubwa sana wajemeni.ni kama vile chanya na hasi zikikutana.Ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom