Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

hata kama mnaaminiana kivipi lakini mie ctaki anitambulishe wala nimtambulishe......hapo tusameheane, urafiki wenu huko huko sio mpaka home kwangu mana najua na yeye nikimfanyia hilo looo hapatakucha.

Sasa itakuwaje ukiwakuta baa siku wanapata mvinyo ndio unatambulishwa huyu ni rafiki yangu. Na kiukweli ni rafiki yake. Utamuamini?
 
mpwa hapana bana!
itokee leo mimi nachat kwa sms na waifu wako!mwisho wa siku anasema ''SI JAMAA YAKO?''hapana mpwa HAPANA!

imetokea hii nikiwa mwaka wapili asubuhi nilijikuta naamka kitanda kimoja na dem wa rafiki yangu!(after so many taskaaz)

wanawake ni mama zetu lakini naomba wanisamehe tu kwakweli NIME.....

Hahaha! MPWAAAA! MPWAAA! Leo unakula SENKSI mpaka uchoke. Kumbe una wivue? Sikujua hili!
 
Kaka achana na hiyo kitu kabisa wifi ZD lazima atashtuka, alafu eti mmekuja wote kwenye gari unamkaribisha ndani alafu unamwita wife "njoo umsalimie rafiki yangu", NO HAIPANDI.

Is it all about WIVU? Just a friend for God's sake!
 
Hahaha! MPWAAAA! MPWAAA! Leo unakula SENKSI mpaka uchoke. Kumbe una wivue? Sikujua hili!
mpwa bwana hawa wanawake waone hivi hivi!
nikiwa form five niliwahi tongozwa na MKE WA MTU!...tena jamaa alikuwa soja.dem kanipeleka kwake nikazama hadi madhabahuni tayari kwa gemu!lol sijui nini kikaniambia sepa!dk kumi mbele soja alikuwa anaudi home bila info....!

leo mpwa tusingefahamiana kabisa mpwa
 
For God's sake mgekuja wa 3 au 4 basi kuficha kidogo matukio, peke yenu nitajuaje mmeanzia wapi??????
 
mpwa bwana hawa wanawake waone hivi hivi!
nikiwa form five niliwahi tongozwa na MKE WA MTU!...tena jamaa alikuwa soja.dem kanipeleka kwake nikazama hadi madhabahuni tayari kwa gemu!lol sijui nini kikaniambia sepa!dk kumi mbele soja alikuwa anaudi home bila info....!

leo mpwa tusingefahamiana kabisa mpwa

Hahaha! Usiniambie hakukutambulisha kwa soja kama wewe ni RAFIKI! LOL! Machale ni sehemu ya vipaji vya wapiganaji!
 
Wifi usikubali hata siku moja,Hata kama ni rafiki kweli,huwa inabadilika hali baadae.

Una mfano wowote katika kuthibitisha hili? Kwa hiyo mchumba hutegemei mmeo kuwa na marafiki wa kike?
 
Urafiki huo unawezekana ila ni hatari sana hasa rafiki huyo huyo wa kike akikujua vizuri. Hamchelewi kuropoka mimi mke wangu hanifanyii hivi na kujidai unataka ushauri.

One mistake makes a goal, hivyo visivyofanywa na mumewe anafanya yeye.
 
Mini sioni tatizo kwa kweli, apart from being my hubby, he has a right to have friends, whichever gender fits him. He has a right to have space and have fun. Kwa maana hiyo bas, mimi akinitambulisha sitakuwa na neno, ntamuheshim kama rafiki wa mume wangu, lakini ntakuwa namonitor kwa ukaribu zaidi. I also expect the same from him, coz i believe in true and pure friendship from opposite gender. Mimi kuna issues ambazo i would not tell my fellow woman but i can freely discuss them with a male friend (and this friend has to be objective, a kind of a person who calls a spade a spade). so i dont see anything wrong to uintroduce him to my hubby as long as he trusts me and i trust him, we know the boundaries, and i feel that way he is safe coz he can closely monitor that person if he has any doubt.
 
Hahaha! Usiniambie hakukutambulisha kwa soja kama wewe ni RAFIKI! LOL! Machale ni sehemu ya vipaji vya wapiganaji!
mpwa ndo maana nakwambia hawa viumbe wa ajabu!
mwanamke kaolewa,lakini anapotongozwa barabarani ANAFICHA PETE,NA ANASISITIZA HAJAOLEWA!hilo nalo nimelishuhudia live!kuna jamaa ni bingwa wa kula wake za watu.....!na kibaya ni kwamba WANAKUBALI WAO WENYEWE.lakini ni rafiki mkubwa wa waume za hao wake.njooni uswazi muone vioja wakuu
 
Mini sioni tatizo kwa kweli, apart from being my hubby, he has a right to have friends, whichever gender fits him. He has a right to have space and have fun. Kwa maana hiyo bas, mimi akinitambulisha sitakuwa na neno, ntamuheshim kama rafiki wa mume wangu, lakini ntakuwa namonitor kwa ukaribu zaidi. I also expect the same from him, coz i believe in true and pure friendship from opposite gender. Mimi kuna issues ambazo i would not tell my fellow woman but i can freely discuss them with a male friend (and this friend has to be objective, a kind of a person who calls a spade a spade). so i dont see anything wrong to uintroduce him to my hubby as long as he trusts me and i trust him, we know the boundaries, and i feel that way he is safe coz he can closely monitor that person if he has any doubt.
carmel,
unachokuhubiri unaweza ukawa unakipractice wewe tu!
wanawake ninavyowafahamu mimi HAWANAGA URAFIKI WA KAWAIDA NA WANAUME
 
Urafiki huo unawezekana ila ni hatari sana hasa rafiki huyo huyo wa kike akikujua vizuri. Hamchelewi kuropoka mimi mke wangu hanifanyii hivi na kujidai unataka ushauri.

One mistake makes a goal, hivyo visivyofanywa na mumewe anafanya yeye.

Kwa hiyo hakuna rafiki wa ukweli wa jinsia tofauti?
 
Mini sioni tatizo kwa kweli, apart from being my hubby, he has a right to have friends, whichever gender fits him. He has a right to have space and have fun. Kwa maana hiyo bas, mimi akinitambulisha sitakuwa na neno, ntamuheshim kama rafiki wa mume wangu, lakini ntakuwa namonitor kwa ukaribu zaidi. I also expect the same from him, coz i believe in true and pure friendship from opposite gender. Mimi kuna issues ambazo i would not tell my fellow woman but i can freely discuss them with a male friend (and this friend has to be objective, a kind of a person who calls a spade a spade). so i dont see anything wrong to uintroduce him to my hubby as long as he trusts me and i trust him, we know the boundaries, and i feel that way he is safe coz he can closely monitor that person if he has any doubt.

Well Said Mama! Hope one day you will introduce me to your hubby. We are close friends for God's sake! I wish kina ZD, FL1 and others wangesoma hii valuable material from you. Kule nimekugongea na hapa nakugea nyingine. Thanks!Thanks!Thanks!
 
Mini sioni tatizo kwa kweli, apart from being my hubby, he has a right to have friends, whichever gender fits him. He has a right to have space and have fun. Kwa maana hiyo bas, mimi akinitambulisha sitakuwa na neno, ntamuheshim kama rafiki wa mume wangu, lakini ntakuwa namonitor kwa ukaribu zaidi. I also expect the same from him, coz i believe in true and pure friendship from opposite gender. Mimi kuna issues ambazo i would not tell my fellow woman but i can freely discuss them with a male friend (and this friend has to be objective, a kind of a person who calls a spade a spade). so i dont see anything wrong to uintroduce him to my hubby as long as he trusts me and i trust him, we know the boundaries, and i feel that way he is safe coz he can closely monitor that person if he has any doubt.
Carmel,mambo huwa yanaenda yakibadilika.Just believe me.I have tried several times ( Hii ni UKWELI) na imeshindikana.
Just be careful.Hata bible inasema ajidhanie amesimama aangalie asianguke.
 
Kwa hiyo hakuna rafiki wa ukweli wa jinsia tofauti?
hamna mpwaaaaa!
THIS IS NATURE!

nenda maofisini humo,mashirika ya uma n.k....!wanawake na pete zao WANAMEGWA KAMA KAWAIDA siku za maharusi,function za ofisi n.k
 
Unless unamsalandia huyo rafiki yako kwa nini unaanza kuwa na wasiwasi wakati ni rafiki wa kawaida tu?: Only the truth shall set you free. Mtambulishe tena jitahidi awe karibu sana na mamaa kuliko hata ulivy naye wewe.
Mkeo alishaapa (Pengine bila kujijua) kuwa ...
......X-pin uendako nitakwenda, utakapoishi nami pia nitaishi, watu wako wewe watakuwa watu wangu na Mungu wako atakuwa ndiye Mungu wangu..........!
 
Back
Top Bottom