Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Shemeji kula senki,
Halafu hizi hurumahuruma hizi,huwa zinazaa mambo.na sasa ndio nimeanza kujua kwa nini wababa wengi wanalea watoto si wao bila kujua.

He! Tena? Hili linahitaji thread ya kujitegemea. LOL!
 
Kabisa linahitaji thread. Sasa ukishaoa mama huruma tena, au baba huruma hiyo ishu nyingine, lazima tu ile kwako whether amekutambulisha friends or not, yani kwa hali hiyo ni mwendo mdundo tu, we utahesabu maumivu
 
Ha hahaaaaaaaa, pamoja na kwenda kwenye vikao, i am the best wife ever for him! na makofi hapa mwiko, na ndo maana hukuwa mume wangu kwa kuwa mume mwenye wivu wa kihivyo asingenifaa, i am a free being and am allowed to do whatever i please as long as i am in the right direction.
Kwani Geof, unakuwa umeoa mtu wa aina gani hadi umchunge hivyo? kwamba hana akili, anadanganywa kirahisi, au anapenda kugawa uroda hovyo, au hawezi kujiongoza hadi uplay role ya father/bodyguard?

Leo mama umeamkia ubavu gani? Unamwaga mapwenti mpaka siamini! Ukija kwenye vikao huwa unamwambia hubby kuwa unaenda kukutana na wapwa? If not why? Me wife namwambiaga. Hana wasi kwa kuwa ananitrust. And I trust her all the same. Kuto-introduce haku-justify innocence ya mtu. Au hamjawahi kuona wanaume wanatembea na marafiki za wake zao?
 
Well said wifi, hata mie msimamo wangu uko pale pale, wamalizane huko huko au akija nae waje wengi itasaidia.

Tatizo inawezekana dada hujaelewa pointi. Hapa hatuzungumzii nyumba ndogo au vibustani. Atamalizanaje na rafiki yake? They are just friends! Normal friends! LOL! Mbona mmekuwa wakali sana? Au unataka kuniambia tangu uzaliwe hujawahi kuwa na marafiki wa kiume? Na kama ulikuwa nao, wote walikumega? You see? Kuna real friends jamani tusirukie kwenye mapenzi. Kuna tofauti kubwa sana kati ya friends na lovers!
 
Leo mama umeamkia ubavu gani? Unamwaga mapwenti mpaka siamini! Ukija kwenye vikao huwa unamwambia hubby kuwa unaenda kukutana na wapwa? If not why? Me wife namwambiaga. Hana wasi kwa kuwa ananitrust. And I trust her all the same. Kuto-introduce haku-justify innocence ya mtu. Au hamjawahi kuona wanaume wanatembea na marafiki za wake zao?

Siku zote namwambia "naenda kukutana na wapwa lakini sorry wewe sitaki unisindikize coz i want to be free and have fun", Thank God he is so understanding and he believes in personal space for a person to be herself sometimes. Thats why i married him i gues!:rolleyes:
 
Tatizo inawezekana dada hujaelewa pointi. Hapa hatuzungumzii nyumba ndogo au vibustani. Atamalizanaje na rafiki yake? They are just friends! Normal friends! LOL! Mbona mmekuwa wakali sana? Au unataka kuniambia tangu uzaliwe hujawahi kuwa na marafiki wa kiume? Na kama ulikuwa nao, wote walikumega? You see? Kuna real friends jamani tusirukie kwenye mapenzi. Kuna tofauti kubwa sana kati ya friends na lovers!

Asante mpwa, hebu weka msisitizo namna hiyo ili watu waelewe kinachoongelewa, it seems the way we grew up and the way we think, ni kwamba there is nothing between a woman and a man but sex huh!
Hebu niulize, kwa mfano mtu umeoa/umeolewa which means mahitaji yako ya sex yote na love unapata home, is it impossible to have a friend of a different sex, a friend who you can have fun, laughter and share other things/hobbies and so? without sex being one of the agenda? or am i abnormal?
 
You have for yourself a very understanding hubby! Just like I am to my wife. Ukirudi home leo mgongee SENKSI kwa niaba yangu. I will drink some few bottles of cold serengeti for his goodluck! He has an angel as a wife for himself. You are an angel Carmel; you trully are.
 
carmel,
unachokuhubiri unaweza ukawa unakipractice wewe tu!
wanawake ninavyowafahamu mimi HAWANAGA URAFIKI WA KAWAIDA NA WANAUME

Afu Goeff ugomvi wangu na wewe huwa huo huo kujeneralize watu.....tunaopractice ucarmel tupo wengi sana...

all in all dont bring ur ka so called 'ni rafiki tu' to my house....
 
Asante mpwa, hebu weka msisitizo namna hiyo ili watu waelewe kinachoongelewa, it seems the way we grew up and the way we think, ni kwamba there is nothing between a woman and a man but sex huh!
Hebu niulize, kwa mfano mtu umeoa/umeolewa which means mahitaji yako ya sex yote na love unapata home, is it impossible to have a friend of a different sex, a friend who you can have fun, laughter and share other things/hobbies and so? without sex being one of the agenda? or am i abnormal?

You are very normal Carmel.....binafsi 75% of my friends are men na hakuna no sex agenda hapo na maisha yanaendelea
 
Tatizo inawezekana dada hujaelewa pointi. Hapa hatuzungumzii nyumba ndogo au vibustani. Atamalizanaje na rafiki yake? They are just friends! Normal friends! LOL! Mbona mmekuwa wakali sana? Au unataka kuniambia tangu uzaliwe hujawahi kuwa na marafiki wa kiume? Na kama ulikuwa nao, wote walikumega? You see? Kuna real friends jamani tusirukie kwenye mapenzi. Kuna tofauti kubwa sana kati ya friends na lovers!
Nimekuelewa kaka tatizo linakuja uko tayari kwenye serious relationship i.e ndoa huo urafiki wa karibu hivyo na opposite sex unakuaje tena mpaka kumtambulisha kwa mke/mume, ukaribu wa namna hiyo unapelekea ishu nyingine, we learn through matukio halisi
 
Mimi nafikiri kumtambulisha ni muhimu kwa sababu hata kama akicheat naye ni rahisi kumtambua kwani si watajisahau na kudhani hutawashtukia so we unanote tu ratiba za 'rafiki' kuwatembelea inakuwa kila mara na pengine watakupa hint. mradi tu uwe makini!
 
You are very normal Carmel.....binafsi 75% of my friends are men na hakuna no sex agenda hapo na maisha yanaendelea
wangapi wamekufahamisha kwa wake zao? na wangapi umewafahamisha upande wako? na mambo yakoje baada ya ufahamisho?
 
Mimi nafikiri kumtambulisha ni muhimu kwa sababu hata kama akicheat naye ni rahisi kumtambua kwani si watajisahau na kudhani hutawashtukia so we unanote tu ratiba za 'rafiki' kuwatembelea inakuwa kila mara na pengine watakupa hint. mradi tu uwe makini!

nilikugongea senks kisha nikairemove baada ya kusoma tena mara ya pili..

how are you lakini?
 
You are very normal Carmel.....binafsi 75% of my friends are men na hakuna no sex agenda hapo na maisha yanaendelea

And I can proudly introduce myself being among them! bht is my friend, but there is no sex agenda in our friendship. Carmel too.
 
You have for yourself a very understanding hubby! Just like I am to my wife. Ukirudi home leo mgongee SENKSI kwa niaba yangu. I will drink some few bottles of cold serengeti for his goodluck! He has an angel as a wife for himself. You are an angel Carmel; you trully are.
Yeah he is an angel. He even insists sometimes that am very luck to have a man who gives me space to be myself! But mpwa, Trust is earned, you cant just wake up one day and get it, you have to work hard to earn it. The freedom and trust bestowed upon a person has to be proved beyond resonable doubt that it wont cause any problem in the future.
 
mambo yanavyotakiwa yawe,ni muhimu kumtambulisha rafiki kwa mwenzi wako,duh! lakini kwa mambo jinsi yalivyo unapaswa kujiuliza mara mbili kabla ya kufanya hivyo
 
You are very normal Carmel.....binafsi 75% of my friends are men na hakuna no sex agenda hapo na maisha yanaendelea
This is what i am talking about! Its about you being confident and see the other gender the same way you see yourself, its about believing that you have a power to say no and quit in case of any non-sense. Kula senks bht, there can be friendship without sex. Yes i have sid it.
 
Yeah he is an angel. He even insists sometimes that am very luck to have a man who gives me space to be myself! But mpwa, Trust is earned, you cant just wake up one day and get it, you have to work hard to earn it. The freedom and trust bestowed upon a person has to be proved beyond resonable doubt that it wont cause any problem in the future.

Then say Thanks to GOD. You real are very lucky. Just like I am.
 
Back
Top Bottom