Rafiki anapokumegea mama yako....

I am No a false prophet ...nimeshushwa toka mbinguni......! soma vitabu vitakatifu...

kama wewe ni nabii uliyeshushwa toa ishara tuamini.Hivyo vitabu mfano Bible ,Yesu alivyoulizwa ishara alitoa ya kufa na kufufuka baada ya siku 3.Sasa yako ni ipi?
 
kama wewe ni nabii uliyeshushwa toa ishara tuamini.Hivyo vitabu mfano Bible ,Yesu alivyoulizwa ishara alitoa ya kufa na kufufuka baada ya siku 3.Sasa yako ni ipi?

Hahahahaha heri wasiona wakaamini maana ufalme wa mbingu ni wao

Imeandikwa

“And after eight days again his disciples were within, and Thomas with them: then came Jesus, the doors being shut, and stood in the midst, and said, Peace be unto you. Then saith he to Thomas, Reach hither thy finger, and behold my hands; and reach hither thy hand, and thrust it into my side: and be not faithless, but believing. And Thomas answered and said unto him, My Lord and my God. Jesus saith unto him, Thomas, because thou hast seen me, thou hast believed: blessed are they that have not seen, and yet have believed.” -John 20:26-29

Usiwe Thomaso
 
kweli Masa kiboko,pengine kweli nabii.
Lakini imeandikwa vilevile tusiamini kila roho,tuzipime.Dunia ya sasa watu ni ma-pretender hadi basi.Kanisa lako lipo wapi?
 
Unajua siyo rahisi huyo kijana kuacha kama huyo mama ndo kamfunza hako kamchezo. Kila mtu atakumbuka pale alipoanzia alikaa kwa muda gani na kila mnapoonana mnatamani kurudiana japo kila mmoja ana mwenzi wa ndoa. Huyo kijana avute pumzi au amezee tu na amheshimu mama yake ka ma zamani na asijaribu kulipa kisasi kwani hajui atakakoenda atazoa nini. Atulie maisha hayataki papara.
 
Hii thread inanikumbusha story moja iko hivi.
Mzee alikuwa na watoto wa kiume kama watano na mkewe alikuwa ameshafariki.Sasa mtoto wake wa mwisho alikuwa mtulivu sana kiasi cha kumtia wasiwasi baba mtu,kwamba inawezekana dogo jogoo lake haliwezi kupanda mtungi.Baba mtu ikabidi amshirikishe mama yake(yaani bibi yake na dogo) ambae walikuwa wakiishi nae hapo home.Bibi akaahidi kumfanyia dogo uchunguzi,si unajua mabibi zetu wa pwani.Basi siku hiyo usiku bibi kamwita dogo chumbani kwake,haikujulikana nini kiliendelea ila asubuhi dogo akawa anatoka chumbani kwa bibi.Asubuhi kabla mdingi hajaenda kazini ikabidi aende kuulizia matokeo ya uchunguzi wakati huo watoto wake wako sebuleni wanapiga tea.Majibu aliyoyapa yalimsababisha mdingi arudi sebuleni huku amefura,kwani aliambiwa dogo siku hiyo alipiga si chini ya bao nne,kaacha nyavu za bibi hoi.Baba mtu alipofika sebuleni sasa

Baba: Yaani wewe tumechoka kuheshimiana sio,unaweza kwenda kumnanii mama yangu kweli,mama yangu mzazi? huku akionesha kukasirika

Dogo kutokana na uoga na aibu akawa ana la kusema,kabla baba ajaendelea kuwaka,kaka yao mkubwa akaingilia kati.

Kaka: Lakini baba mbona wewe umemnalii mama yetu miaka ishirini mizima,sisi hatujaja juu.Wewe wa kwako siku moja tuu unawaka!!

Baba mtu akawa kama aliyemwagiwa maji huyoooo.kazini.
 
Unajua siyo rahisi huyo kijana kuacha kama huyo mama ndo kamfunza hako kamchezo. Kila mtu atakumbuka pale alipoanzia alikaa kwa muda gani na kila mnapoonana mnatamani kurudiana japo kila mmoja ana mwenzi wa ndoa. Huyo kijana avute pumzi au amezee tu na amheshimu mama yake ka ma zamani na asijaribu kulipa kisasi kwani hajui atakakoenda atazoa nini. Atulie maisha hayataki papara.

Je urafiki na jamaa yake (aka Baba Mdogo) uendelee???
 
Back
Top Bottom