Rafiki anapokumegea mama yako....

Hehehe kwa nini mama mwacheni kijana ashikilie mahips si unajua mimama anavyo jazia mihipps mwacheni dogo afaidi maisha yenyewe haya mafupi usishangae kesho wewe MJ1 tukakumiss kwa kujikwaa tu.

Mh wewe unawish kweli. Hebu jiweke wewe kwenye viatu vya mshkaji. Hapa tunamzungumzie mamake Fidel halafu rafiki yako ni Masanilo!! (ni mfano tu) how would you feel?

(Ila kwa jinsi ulivyopinda wewe utaona poa tu!)
 
Teh teh teh teh....maini yetu yamefanana sana! hujambo lakini......ama uko busy na MBA?

Sijambo kaka mie mzima bukheri. MBA kakangu inaniacha na viulizo kibao kichwani!! hata sijui wa kumlaumu nani hapa!

Haya mwenzetu ndo inakuwaje kama mshkaji Fidel kafanya kweli kwa bi mkubwa?
 
Haya mwenzetu ndo inakuwaje kama mshkaji Fidel kafanya kweli kwa bi mkubwa?

Kwani kuna ubaya mama kikubwa mapatano na makubaliano bana kama maza amemzimikia Mpwa Masa au Julius mi nitamkatazaje? Hapo mm ndo nitafrahi kabisa maana Masa au Julius atakuwa baba mdogo aka dingi mdogo mwache amege jamani.
Lakini kama Masanilo ataamu kumbaka/kulazimisha penzi kwa maza hapo inakuwa ishu ingine lazima niingilie kati lakini makubaliano yao siwezi mm nikawa kikwazo kwake kwani unafikiri kwa vile dingi kafariki ndo maza hana hamu/stimu we MJ1 bana.!
 
Mijanaume inayochukua visichana siku hizi yaitwa Fataki sijui haya majimama yanayochukua vijivulana kama huyo mwawaitaje??
 
Sijambo kaka mie mzima bukheri. MBA kakangu inaniacha na viulizo kibao kichwani!! hata sijui wa kumlaumu nani hapa!Haya mwenzetu ndo inakuwaje kama mshkaji Fidel kafanya kweli kwa bi mkubwa?

Simpo anakuwa baba! Mbona jamani sisi mabachela tupo hatuna mavitambi na ukitaka fika Yerusalem hata mara idadi zisizohesabika utafika (multiple orgasm) MBA mara moja hoi anakumbuka hajalipa ada ya mtoto st.....)
 
Mijanaume inayochukua visichana siku hizi yaitwa Fataki sijui haya majimama yanayochukua vijivulana kama huyo mwawaitaje??

naona tuwaite MATAKI,ili mtu akikosea kidogo tu,badala ya i akaweka o awe amewatusi.labda wataogopa kuharibu vijana wetu.
 
Simpo anakuwa baba! Mbona jamani sisi mabachela tupo hatuna mavitambi na ukitaka fika Yerusalem hata mara idadi zisizohesabika utafika (multiple orgasm) MBA mara moja hoi anakumbuka hajalipa ada ya mtoto st.....)

Hee............ nimeshindwa mimi duh. Masa usinichekeshe pengine hao MBA wanapendewa hivyo vitambi si unajua tena? preferences zinatofautiana ati
 
Hee............ nimeshindwa mimi duh. Masa usinichekeshe pengine hao MBA wanapendewa hivyo vitambi si unajua tena? preferences zinatofautiana ati

My dia imethibishwa wenye mavitambi huwa wanakoroma sana wakilala...sasa hizo preference mnakosa raha za maisha bila sababu! MBA wako ana kitambi?
 
My dia imethibishwa wenye mavitambi huwa wanakoroma sana wakilala...sasa hizo preference mnakosa raha za maisha bila sababu! MBA wako ana kitambi?

Masa mie sina MBA huyo wa kwangu tu mwenyewe ananichosha niongeze mengine ya nini kaka yangu?
 
Kaka we for change!! temporary relief................ hivi sijakujibu kweli?

Tafadhali mami...ulinichunia labda niconstruct upya maana niliakuandikia kitu kama shairi, kuliko yale ya mwanakijiji...lakini ukanibwaga vile vile...No worries nitakaachini this time nakupa romatic poem .....hahahahahah
 
Hee pole spare me please mashairi tena.
 
Do you're home work, mwanzoni mwa hii thread kuna tafsiri...wewe unauliza nini...acha uvivu na uzembe!
uliyoyaandika yote haya si ungenipa maana yake ndo maana waafrica hatuendelei au ungenipa maana ungebadilika na kuwa ushi wa Rombo?
 
Back
Top Bottom