- Thread starter
- #61
Who dares wins.
kabisa kaka ila naona kimya hadi dakika hii.
Who dares wins.
Asante dada ila hiyo private message naona ni wazo zuri sana ila namtumiaje.
Kama hutajali naomba unielekeze.
Kweli kabisa, mtafute binti alipo aje atuwezeshe tupige vigelegele!
Hiyo ni bonge la selling point.
kabisa kaka ila naona kimya hadi dakika hii.
Wengine wanasema hawataki baby mama's drama lakini naamini Queen Kami kama mimi, ataiona hiyo ni bonus
Bee umeona leo nilivyo on fiyah?
Mr. Mikael yupo timu ya ushindi, si unajua viwango vyangu vilivyojuu? Lol
nakukubali Gaijin,hiyo haina ubishi.
nisaidieni kwa maombi ili tuweze kupiga vigelegele wakuu.
Leo unalipuka wallah!Bee umeona leo nilivyo on fiyah?
Mr. Mikael yupo timu ya ushindi, si unajua viwango vyangu vilivyojuu? Lol
Hiyo bonus ndo mpango mzima, hata Mimi naitamani sana
Gaijin is my lieutenant. Kwa hiyo let not your heart be troubled.
Baby mama drama/ baby daddy drama follows those who are dramatic.
Mike, kumtanguliza Mungu kwa yote ni jambo jema sana.kitu chochote ukikianza kwa maombi lazima kifanikiwe,
yaani mkuu nilijua nitashambuliwa lakini naona mmenielewa na kwa upendo mnanitia moyo.
nawashukuru sana.
nakukubali Gaijin,hiyo haina ubishi.
Kweli kabisa, mtafute binti alipo aje atuwezeshe tupige vigelegele!
mimi hujaniona?
Gee hebu harakisha mlete mtoto Malkia hapa tafadhali!
Hahahaaa kweli we chiboko, sio mambo ya kuitwa tu na kukurupuka...lolHapana, Malkia lazima kwanza amsome Mr. anavyo interact na watu. Anasoma hulka taratibu, baadae atajichomoza
Ikiwa time tayari, Ngabu atakuja nae )
Wengine wanasema hawataki baby mama's drama lakini naamini Queen Kami kama mimi, ataiona hiyo ni bonus