Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Asante dada ila hiyo private message naona ni wazo zuri sana ila namtumiaje.
Kama hutajali naomba unielekeze.

we mrongo.
Umekuja leo, hata masaa mawili huna, unajua kuquote, unajua ID, unajua kubold afu unajifanya hujui PM?
Funguka tu na ID yako ya siku zote... Au ni ya kutembelea MK?
 
Bee umeona leo nilivyo on fiyah?

Mr. Mikael yupo timu ya ushindi, si unajua viwango vyangu vilivyojuu? Lol

Hiyo bonus ndo mpango mzima, hata Mimi naitamani sana
Leo unalipuka wallah!

Hivyo viwango vyako vya juu ya mstari aminia sana Gee...lol!

Nani asoitamani hiyo bonus bana?? Heri yangu....
 
kitu chochote ukikianza kwa maombi lazima kifanikiwe,
yaani mkuu nilijua nitashambuliwa lakini naona mmenielewa na kwa upendo mnanitia moyo.
nawashukuru sana.
Mike, kumtanguliza Mungu kwa yote ni jambo jema sana.

Umekuja kwa heshima na uadilifu na sishangazwi kabisa na responce unayopata
Kila la kheri kaka!
 
Gee hebu harakisha mlete mtoto Malkia hapa tafadhali!

Hapana, Malkia lazima kwanza amsome Mr. anavyo interact na watu. Anasoma hulka taratibu, baadae atajichomoza

Ikiwa time tayari, Ngabu atakuja nae :))
 
Hapana, Malkia lazima kwanza amsome Mr. anavyo interact na watu. Anasoma hulka taratibu, baadae atajichomoza

Ikiwa time tayari, Ngabu atakuja nae :))
Hahahaaa kweli we chiboko, sio mambo ya kuitwa tu na kukurupuka...lol

Kwa hiyo Ngabu ndo atakuwa dadiye eeh?
 
Wengine wanasema hawataki baby mama's drama lakini naamini Queen Kami kama mimi, ataiona hiyo ni bonus

nina wakakikishieni queenkami wenu akinikubali hawezi kabisa kukutana na baby mama`s drama.Amani na furaha yako ni muhimu kwangu kuliko chochote sababu nina uhakika lazima na yeye atampenda mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom