quality unazo admire kwa wengine............

Lizzy, kwa mimi kuitolea nje sketi iliyojileta yenyewe hasa kama inakidhi viwango vya uumbaji uliotukuta, ni sawa na kuidhulumu nafsi yangu. Kula ni kula tu, vibaya kukomba mboga!
like brother like a sister
huachi sketi,haachi suruali
usimind utani tu ila watu husema kama kaka mtu ni mwingi na dada mtu naye mwingi
 
Good good!

Mi nawaadmire wadada walio tulia kwenye ndoa zao!!

Wamama wanaohangaika kulea watoto wao wenyewe!!

Wakaka/wababa wakweli na waaminifu kwa wenzi wao.

Wababa wasiokimbia majukumu.

Vijana wenye mitizamo hasi!

Na wote wanaokwepa kuwatapeli wenzao iwe kwenye mapenzi au maishani kwa ujumla!

Pia wote wanaoleta thread na kutoa michango ya mafunzo hapa jamvini!

Penda anayemwogopa Muumba na haya yote atayaweza...vinginevyo utakuwa unatwanga maji kwenye kinu
 
like brother like a sister
huachi sketi,haachi suruali
usimind utani tu ila watu husema kama kaka mtu ni mwingi na dada mtu naye mwingi

Tehetetehete. Bahati nzuri kwetu tumezaliwa madume matupu. Ningekuwa na dada pengine ningeweza kuthibitisha au kukanusha usemi wako.
 
Asome vitabu na vya maana. Asipende ma movie ya kinaijeria, angaalie vipindi vizuri vya TV. Apende MAZOEZI hata kwa kiasi.
 
Good good!

Mi nawaadmire wadada walio tulia kwenye ndoa zao!!

Wamama wanaohangaika kulea watoto wao wenyewe!!

Wakaka/wababa wakweli na waaminifu kwa wenzi wao.

Wababa wasiokimbia majukumu.

Vijana wenye mitizamo hasi!

Na wote wanaokwepa kuwatapeli wenzao iwe kwenye mapenzi au maishani kwa ujumla!

Pia wote wanaoleta thread na kutoa michango ya mafunzo hapa jamvini!

Penda anayemwogopa Muumba na haya yote atayaweza...vinginevyo utakuwa unatwanga maji kwenye kinu

KWANINI unanipangia????!
 
miye mwenzenu na admire wanaoishi maisha to its fullest...really experiencing all the joy that life has to offer...revelling in it and tasting it daily.
free spirited people, watu wanaoona mambo mazuri ktk maisha yaani wako positive tu hata kama kuna mashaka kwa wengine.
 
mie huwa nawaadmire sana wanaume
- wanaoonekana na confidence bila kuwa na majivuno,
- nawaadmire sana wale wanaoweza kuwa relaxed kwenye hali wajionayo, wanoweza kumuadmire msichana na kumfanya jisikie vizuri bila kumtongoza
- Naadmire sana mwanaume anaeonekana anamfurahisha mpenzi wake

-Naadmire sana mwanamke alie confident bila kuwa na dharau, alie na uwezo kifedha bila kuacha deko za kike (opp na C. Rice)
-Naadmire sana wanawake, ambao ni 'wa kike, hawana element ya kiume' yani sio aggressive kupitiliza (hio mimi siwezi as I have my OWN ambitions
 
jamani leo ningependa tujadili hiki kitu

sometimes unakutana na watu wanakugusa kwa tabia zao

quality fulani ambazo pengine unatamani kuwa nazo lakini huna
au huwezi kuwa nazo.....

mfano wapo watu wana uwezo wa kusamehe hata kosa liwe kubwa vipi

wengine hawana wivu kabisa,hata akikukuta unaongea na mkewe
hamgombani kabisa....

wengine hawakasiriki kabisa hata uwafanye nini....

na kadhalika na kadhalika

sasa wewe ni quality ipi ambayo huna but ungetamani kuwa nayo???????

mimi huwa nawa admire sana watu ambao wana uwezo wa kukataaa
mwanamke mzuri kwa sababu tu yupo tayari na mwingine
tena bila kuonja....
nilikutana na dogo mmoja nikasema...
why i am not like him lol

haya nicango yenu tafadhali..........

mmh! kuna demu mmoja tulipendana saana! sasa akaniambia hawezi kuwa na mimi tena kwani anahisi mademu wengine watamzidi kete wakati siko karibu naye.
nikamuuliza kwa nini? akaniambia marafiki zake wanamwabia watafanya kila njia ili wanipate.
nikaachana naye na hadi sasa sitaki tena demu...bacheler forever.
 
Lizzy, kwa mimi kuitolea nje sketi iliyojileta yenyewe hasa kama inakidhi viwango vya uumbaji uliotukuta, ni sawa na kuidhulumu nafsi yangu. Kula ni kula tu, vibaya kukomba mboga!

:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy: uwe unakumbuka zana tu.
 
Back
Top Bottom