Why do you admire someone / Kwa nini unavutiwa na mtu?

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
6,524
12,025
Screenshot_20230422-200459_1.jpg


Why do you admire someone?(Kwa nini unavutiwa na mtu?)
Hapa kuna machache:

1. Akili
Huwa inafurahisha kuwa karibu na watu wanaojua mambo kunizidi - ni nafasi ya Mimi kujifunza Vitu kutoka Kwao.

2. Ucheshi
Huwa na vutiwa na watu wacheshi. Kuna watu wengi wana ucheshi mzuri, lakini watu wengine hawana ucheshi, na hiyo unifanya kua ni ngumu kuwa nao karibu.

3. Matumaini
Ni vizuri kuwa karibu na watu wanao kufariji na kukutia moyo kua wewe ni m bora na ambao wana ni zungumzia Kwa mazuri yangu.


Why do you admire someone / Kwa nini unavutiwa na mtu?

Please share your experiences.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
First mtu akiwa smart upstairs watu wengi hupenda kuwa karibu naye
Hata hapa JF watu Kama Mshana Jr wanakubalika naamini ni kwa ajili kuwa tu wapo smart upstairs
 
So ukiwa mjivuni usie na staha mtukanaji.....watu wata ku avoid

Ukiwa very humble msikivu na mtu wa WATU it means watu watakupenda.....
Mtu unaweza ukamuona Ana HEKIMA kwa kuwa kimya mda wote ila pale anapofungua mdomo tu picha halisi yaja na hapo kazi inaanza rasmi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom