quality unazo admire kwa wengine............

Mimi nikimkuta mtu aongea na mtu watu kimapenzi naweza hata kumtoa roho! jamni hii ni weakness yangu naomba mniombee!!
 
YAANI!
Nimesoma michango nikajihisi labda mimi ndio sijamwelewa Boss! Kumbe ungekuwa ni mtihani karibia darasa lote lingepata ......!!!
Nilivyomwelewa Boss ni kama vile anataka mtu ajitizame alivyo , strengths na weakness na mapungufu yake.Kisha aangalie ni kipi anakitamani kwa wengine.

Ngoja nijichunguze mapungufu yangu kwanza kisha nisome ya wengine niyaoanishe na vile ningetaka kuwa.

BTW, Boss, hii mada ni nzuri sana,
Hongera!!

Tausi umeelewa
natamani wote
wangeelewa kama wewe
 
Lizzy, kwa mimi kuitolea nje sketi iliyojileta yenyewe hasa kama inakidhi viwango vya uumbaji uliotukuta, ni sawa na kuidhulumu nafsi yangu. Kula ni kula tu, vibaya kukomba mboga!

umeongelea mioyo ya wanaume
90 percent lol
 
Kwa mimi nadhani huwa niko "more than uderstanding",hata uniudhi vipi i just cant shout kwa hasira,kama nakueleza huelewi,zaidi nitakaa kimya nakutazama tena ukinisemesha sitaongea mpaka hasira ziniishe.By the time tunaanza kuongea nimeshasamehe(yani wakati we unawaza hujui issue utaimalizaje) mwenzako nilishasamehe.

Hii inafanya watu wakati mwingine wahisi labda sijasamehe kweli na ninakuwa sina namna nyingine ya kusema yamekwisha na maisha yanaendelea.

Natamani ningekuwa naweza kufoka kidogo hivi,japo ndugu wananiambia mimi ni mkali kwa namna nyingine.

Nisaidieni hapa
 
Napenda sana vimodel, wanajua mapenzi then wasafi sana!

Kama sijakuelewa vile???????????so unatamani usingewapenda au?

Yaani,ni ipi tabia unayo/unazoziadmire kwa wengine ambayo wewe huna na ungependa kuwa nayo my dear?
 
well in that case
vunja sheria
i will use my power
to protect u.

Mkuu hii haijakaa vizuri.Use your power to do the right thing,si unasikia huko wanajivua magamba?(Wanasahau kuwa wanachotakiwa kubadilisha ni mioyo yao isiyo na utu na uzalendo kwa nchi yao.
 
Mimi napenda watu wasio kasirika haraka, yaani unamkuta mtu kitu kidogo tu anakasirika utadhani nini sijui,kuna mtu mwingine hata humu utamjua tu kama ana hasira au vipi, na kuna wengine wanaweza sana kuwa handle wale waliokasirika
 
wengi hawajaelewa naona hata majibu wanajibu tofauti. Kama mitihani wote wana supp.

LOL, angalau weye umeliona hilo... labda The Boss ange bold hapa;

...quality fulani ambazo pengine unatamani kuwa nazo lakini huna
au huwezi kuwa nazo.....

sasa wewe ni quality ipi ambayo huna but ungetamani kuwa nayo???????

..kwakuwa huyu bwana kaamua kutufanyia SWOT analysis hapa, nami jibu langu nitalifunga kidogo.

Personality trait ambayo ningetamani kuwa nayo ni Ambiversion.
Yaani, ningekuwa na fit kati na kati baina ya kundi la extroverts na kundi la Introverts.
 
LOL, angalau weye umeliona hilo... labda The Boss ange bold hapa;

..kwakuwa huyu bwana kaamua kutufanyia SWOT analysis hapa, nami jibu langu nitalifunga kidogo.

Personality trait ambayo ningetamani kuwa nayo ni Ambiversion.
Yaani, ningekuwa na fit kati na kati baina ya kundi la extroverts na kundi la Introverts.
Some of us understood the topic from tha getsgo,but decided to spice it up by talking about qualities possesed by an opposite sex that makes you go crazy!(crazy good or bad).And it went fine.
See,sometimes people wanna talk dirty and this is the platform for that,thats why you can see some of us try to talk to our shorty's shosti just for fun.A topic can be changed to something fun as long as the crowd pleases,and being too smart is weird and boriiing!!!
 
Naam, naam.
Ndio Uhuru wenyewe wa maoni huo.:coffee:
 
nawadmire wenye uwezo wa kucontrol hasira zao,
nawaadmire wanawake wenye tabia za kudekadeka kwa wapenzi wao, habari ya kudeka hata siiwezi kabisa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom