Profesa Mwandosya na Dr. Mwakyembe hawapikiki

Ntambaswala,
Kwa maoni yangu, hizi ni siasa za Mbeya tuu, hakuna ubaya kuwa na 'wishfull thinking' hata kama ni empty hopes. Hebu mfikirie JK na umaarufu aliokuwa nao 2005 na jinsi alivyoshinda kwa kishindo kwa over 80%, halafu fikiria kilichompata JK kwenye uchaguzi wa 2010 na ujio wa Dr. Slaa kwenye mbio hizo, JK licha ya kuwa ni sitting president, akigombea kiti alichokikalia with all the support ya presidential institution, halafu CCM ndio chama tawala, ukijumlisha mbinu zote walizotumia, safi na chafu, plus support ya Tume pendeleo ya uchaguzi kuwasaidia, bado ushindi wa JK ulipururuka mpaka 40%!, hivyo mgombea wa CCM wa 2015, lazima awe ni mtu atakayeweza kumkabili Dr. Slaa, kitu ambacho si Prof. Mwandosya, wala Dr. Mwakiembe ana fit, unless otherwise kama CCM kupitia state machinery yake, watafanikiwa kum contain Dr. Slaa before 2015!.

Nashauri wale washabiki wa siasa za Mbeya, kwenye urais, bora msahau, the sooner the better, ili msijeishia kujihuzunikia bure.

Nakumbushia kwa msisitizo, kuna makabila fulani, uraisi ni BIG NO!

Nakubaliana na maoni yako, lakini nadhani hapo mstari wa mwisho ndo umeharibu. Tukianza kutenga makabila fulani, hatutaishia hapo-tutawatenga watu kwa umri (mfano 2015 hatutaki wazee), jinsi, kanda, dini, n.k. Hizi ni criteria ambazo tukizipa kipaumbele, hatutoondoka kwenye lindi la umasikini tulipokwama kwa miaka mingi.
 
Wakuu hebu naomba nielimishwe yafuatayo kuhusu Prof. Mwandosya:

1. Amewahi kuifanyia nini Tanzania so far mpaka kustahili huo uraisi??????

2. Je yeye kama prof. mzoefu na muheshimiwa kabisa wa masuala ya umeme ametoa mawazo gani toka 2005 kuhusu tatizo la umeme?

3. Au kuchapisha andiko gani tunaloweza hata ku-refer miaka ijayo kuhusu utatuzi wa janga la umeme? Simply kwamba ok jamaa alitoa maoni yakakataliwa?

4. Ni lini Prof. Mwandosya alisimamia ishu hata ambayo ni controversial lakini yenye maslahi ya watanzania?

5. Je hiyo wizara ya maji ameiendesha vipi tofauti ya waliomtangulia as such kuaminiwa kupewa uraisi?

6. Hivi katika wanaotajwa kumuangusha JK mbona hasimami na kusema kwa takwimu kwamba yeye siyo?

My Take:

I thought we are sick and tired of Kikwete lakini naona kuna kila dalili za kuanza kupalilia more of the same ten years after 2015. Don't we have some one in there who can run on records????? Hii biashara ya kuendeleza kuheshimiana na kulindana na kutowajibika sioni kama inaweza kutokomezwa chini ya prof. sorry?

Regardless of all the academic credentials this guy has lakini Tz ilipofikia, I am afraid he won't be the change we can believe in. Ila kama tunataka business as usual basi there goes the way.
 
mimi ni miongoni mwa watu wengi wanao mpenda magufuli awe kiongozi kama uwaziri mkuu lakini sipendi awe rais. kwangu ni bola lowasa kuliko magufuli kwa urais.
tukiacha ushabiki wa watu lowasa anamaamuzi siyo kulialia tu, mala tusitumie magari ya galama kubwa lakini anaidhinisha yakanunuliwa!.

Kuna dhana imejengeka kwamba rais wa TZ ni ceremonial president. Yaani rais wa TZ hatakiwi kuwa technocrat, badala yake waziri mkuu ndo anatakiwa awe technocrat. Hii dhana ni potofu kwa mujibu wa katiba yetu. Rais ni mtendaji na waziri mkuu ni msaidizi wake. Mtendaji mkuu ni rais. Kufuatana na katiba yetu, lazima tuchague mtu ambaye anakitu cha kuonyesha kwamba amewahi kukifanya kwa mafanikio na kwa mantiki hii sioni kwanini mtu kama Magufuli hafai. Tunataka ikifika 2015 tuchague tena rais kwakuwa anatabasamu mara kwa mara?

Lazima tuchague mtu ambaye ni technocrat, la sivyo tutakuwa ktk hali tuliyo nayo hivi sasa ambapo Mhe. Pinda anaogopa kufanya maamuzi kwa kuhofia kumfunika bosi wake, wakati bosi wake 'is just too diplomatic to make any serious decision'. Lazima kuwa na mtoa maamuzi, ndo maana ktk nchi ambazo katiba inaruhusu ceremonial president(india, Israel), waziri mkuu ndiye anakuwa mtendaji mkuu na hata uchaguzi wake unakuwa na hamasa kuliko wa rais.
 
Kuna dhana imejengeka kwamba rais wa TZ ni ceremonial president. Yaani rais wa TZ hatakiwi kuwa technocrat, badala yake waziri mkuu ndo anatakiwa awe technocrat. Hii dhana ni potofu kwa mujibu wa katiba yetu. Rais ni mtendaji na waziri mkuu ni msaidizi wake. Mtendaji mkuu ni rais. Kufuatana na katiba yetu, lazima tuchague mtu ambaye anakitu cha kuonyesha kwamba amewahi kukifanya kwa mafanikio na kwa mantiki hii sioni kwanini mtu kama Magufuli hafai. Tunataka ikifika 2015 tuchague tena rais kwakuwa anatabasamu mara kwa mara?

Lazima tuchague mtu ambaye ni technocrat, la sivyo tutakuwa ktk hali tuliyo nayo hivi sasa ambapo Mhe. Pinda anaogopa kufanya maamuzi kwa kuhofia kumfunika bosi wake, wakati bosi wake 'is just too diplomatic to take any serious decision'. Lazima kuwa na mtoa maamuzi, ndo maana ktk nchi ambazo katiba inaruhusu ceremonial president(india, Israel), waziri mkuu ndiye anakuwa mtendaji mkuu na hata uchaguzi wake unakuwa na hamasa kuliko wa rais.

Na kwa Tanzania ilikofikia sasa tunahitaji raisi CEO period, hawa wapiga siasa kama JK their era is simply over!
 
Hivi bado tunamhitaji Mwandosya kwa ajili ya urais? Hivi vibabu sasa vipumzike bwana. Matokeo ya kuchagua hawa wazee ndiyo kama haya ya akina JK, akili ilishachoka kufikiria, anashindwa kufanya mambo ya maana yenye faida kwa taifa. Aende zake huko tunataka fresh blood sasa.
hao wote wawili walifaa waachie hata ubinge

.. they are wasted already
 
Mkuu umenene,neather of the two .
Hakuna anayefaa kuwa raisi hapoMwandosya ni Mgonjwa jamani lol.....Mwakyembe inatakiwa ajivue gamba hatutaki raisi fisadi, huyu ana ile scandal ya posho mara 3. Wapishe mwingine atakaye kuwa na uchungu na nchi.
 
Kila nikisikia neno 'RAIS' huwa namkumbuka Dr.Salm Ahemed, lulu ya Tanzania inayothaminika zaidi ugaibuni huku ikibezwa mafisadi TZ kwa kusikiziwa kuwa si ya Tanzania eti kuwa ni ya uarabuni!kauli hizi zinalifedhehesha sana taifa letu, hasa ukifikilia uwezo mkubwa alinao Dr.salm na nafsi alizolitumikia Taifa hili na Afrika na ulimwengu kwa ujumla.Tafadhali wanaJF tumshauri Dr. aje agombea uraisi wa nchi yetu mwaka 2015 ili tusije tukaagukia kwa hao akina Mwakyembe na Mwandosya kwani wametufanyia nini sisi watanzania tangu tuwape dhamana za uongozi?Nchi kamwe haiongozwi kwa majigambo kama ya Dr.Mwakyembe wala ubinafsi kama wa Prof.Mwandosya. We, Tanzanians have to change our focus and mind so that we can't make a mistake once more for giving hyena to guard a butcher's shop.For how long will Tanzanians be submissive to their political leaders?I'll absolutely never in my life.
 
Ntambaswala,
Kwa maoni yangu, hizi ni siasa za Mbeya tuu, hakuna ubaya kuwa na 'wishfull thinking' hata kama ni empty hopes. Hebu mfikirie JK na umaarufu aliokuwa nao 2005 na jinsi alivyoshinda kwa kishindo kwa over 80%, halafu fikiria kilichompata JK kwenye uchaguzi wa 2010 na ujio wa Dr. Slaa kwenye mbio hizo, JK licha ya kuwa ni sitting president, akigombea kiti alichokikalia with all the support ya presidential institution, halafu CCM ndio chama tawala, ukijumlisha mbinu zote walizotumia, safi na chafu, plus support ya Tume pendeleo ya uchaguzi kuwasaidia, bado ushindi wa JK ulipururuka mpaka 40%!, hivyo mgombea wa CCM wa 2015, lazima awe ni mtu atakayeweza kumkabili Dr. Slaa, kitu ambacho si Prof. Mwandosya, wala Dr. Mwakiembe ana fit, unless otherwise kama CCM kupitia state machinery yake, watafanikiwa kum contain Dr. Slaa before 2015!.

Nashauri wale washabiki wa siasa za Mbeya, kwenye urais, bora msahau, the sooner the better, ili msijeishia kujihuzunikia bure.

Nakumbushia kwa msisitizo, kuna makabila fulani, uraisi ni BIG NO!

si uyateje tuyajue ili tukiona wala tusijadili tena maana hayo ni BIG NO! hapa nimeona moja tu bado mengine sijui mangapi! pia itatusaidia kweka kwenye katiba pia.
 
Jamani mnapoteza muda kumzungumzia Mwandosya,yeye mwenyewe ameisha sema hagombei nafasi yeyote tena baada ya kipindi chake cha Ubunge mwaka 2015, iwe ubunge wala Uras na hii ni kwa mujibu wa taarifa za ndani sana ktk familia yake na marafiki zake! tusipoteze muda wa kumjadili.

Sitta hafai ni mnafiki,mwakyembe kapewa pipi kwanza alificha mambo mengine ili kuinusuru serikali wakati wa issue ya richmond,

Magufuri hafai kwanza alimpa hawala nyumba na akamgawia nyumba ndugu yake.

tunataka mabadiliko ya kweli na mabadiliko hayo yatapatikana nje ya CCM,Dr Slaaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kila nikiwaangalia huku na kule ndani ya CCM naona Samwel Sitta ndiye anayeweza kuwa mgombea bora zaidi na hatimaye kuibadilisha nchi kwa speed and standards. Naona ana mwelekeo wa kuleta maendeleo. Anaweza kufanya maamuzi magumu na hamuogopi mtu yeyote. Ni mtazamo wangu binafsi.
 
You've spoken well ndugu, hii nchi imekuwa na watu ambao ni obsessed na uongozi. Hata mwaka haujaisha tangu uchaguzi uliopita, sisi tunawaza rais ajae.

Ukiona watu wanawaza rais ajae au uchaguzi unaofuata ni dalili kuwa wanacount down muda wa kuondoka madarakani rais wa sasa. Kwa maana nyingine wamewrite-off miaka minne iliyobaki kwasababu there is nothing new to expect but rather political promises. Zamani miaka mitano ilikuwa inaonekana ni mbali sana na homa ya uchaguzi ilikuwa inaanza mwaka mmoja kabla. Lakini hebu chunguza uone jinsi 2015 inavyotajwatajwa almost kila siku.
 
mwandosya - idadi ya kura atakazopata kanda ya ziwa itakuwa ni big suprise, wanamwanza na kanda ya ziwa hatutakuja kumsahau kuhusu uwanja wetu wa ndege

sitta - amekuwa kiongozi tangu kipindi cha mwalimu, amefanya nini akiwa kijana? ndio aje atukomboe 2015 akiwa na 80yrs! sitta in black and white, hana vision/mission ya kutufikisha tunapotaka

mwakyembe - ni mlalamikaji sana na hali ya amani itakuwa tete maana shutuma anazozitoa ipo siku akiwa rais tutashuhudia umwagaji mkubwa sana wa damu na kuna watu watakolimbwa sana,aendelee kuwa mbunge

magufuli - never try him! ni bora ya jk huyu anatumia sana nguvu kufanya maamuzi na huwa analewa sana na sifa za kijinga (hatumii akili) na mara nyingi imetucost mfano kubomoa majengo mwanza, kuhifadhi samaki etc [ we need innovative man]. Aliuza nyumba za serikali

membe - anaongea sana pumba, ni bora jk kwangu mimi

mzanzibar - hahahaaaa hili ndio kaburi hata wakiiba kura milioni 12 bado hazitatosha

ccm ina kazi kubwa sana kushinda 2015 labda waibe kura (tuingie msituni) au waizime chadema
 
Wakuu hebu naomba nielimishwe yafuatayo kuhusu Prof. Mwandosya:

1. Amewahi kuifanyia nini Tanzania so far mpaka kustahili huo uraisi??????

2. Je yeye kama prof. mzoefu na muheshimiwa kabisa wa masuala ya umeme ametoa mawazo gani toka 2005 kuhusu tatizo la umeme?

3. Au kuchapisha andiko gani tunaloweza hata ku-refer miaka ijayo kuhusu utatuzi wa janga la umeme? Simply kwamba ok jamaa alitoa maoni yakakataliwa?

4. Ni lini Prof. Mwandosya alisimamia ishu hata ambayo ni controversial lakini yenye maslahi ya watanzania?

5. Je hiyo wizara ya maji ameiendesha vipi tofauti ya waliomtangulia as such kuaminiwa kupewa uraisi?

6. Hivi katika wanaotajwa kumuangusha JK mbona hasimami na kusema kwa takwimu kwamba yeye siyo?

My Take:

I thought we are sick and tired of Kikwete lakini naona kuna kila dalili za kuanza kupalilia more of the same ten years after 2015. Don't we have some one in there who can run on records????? Hii biashara ya kuendeleza kuheshimiana na kulindana na kutowajibika sioni kama inaweza kutokomezwa chini ya prof. sorry?

Regardless of all the academic credentials this guy has lakini Tz ilipofikia, I am afraid he won't be the change we can believe in. Ila kama tunataka business as usual basi there goes the way.

DAWASCO na DAWASA iko kama TANESCO, hakuna maji mabombani, hakuna usambazaji wa maji wa kutosheleza wananchi, wateja wanaojulikana na hivyo vyombo ni wachache kuliko hali halisi, madeni yake hayakusanywi kwa nguvu zote, halafu bado tumpe uraisi.

KWANI KAFANYA NINI HASA KWETU SIE WANANCHI MPAKA TUMUONE ANAFAA???

Nchi imejaa vyanzo vya maji mpaka nchi jirani zinatuonea gere, yeye kakaa tu ofisini na u profesa wake, hatumsikii akipigania haki muhimu ya wananchi kupata maji, sasa leo akiingia IKULU hebu jiulizeni huyu bwana atatatusaidia NINI hasa?

Wananchi tumestuka, hatuwapi kura wapuuzi wanaokula hela bungeni na wizarani bila ya wao kuwajibika na sie kusema kweli yule au wale wanastahili malipo yale!
 
You've spoken well ndugu, hii nchi imekuwa na watu ambao ni obsessed na uongozi. Hata mwaka haujaisha tangu uchaguzi uliopita, sisi tunawaza rais ajae.

Wabongo wamezoea vya bure kutoka kwa wagombea, ndo maana saizi hadi tulambe miguuu ndo umeme uwake. Its useless kuanza kujadili 2015 election wakati tuko gizani, watu hawana kazi, watu wanakufa hovyo hospitalini, watu hawana uhakika wa kula. Ningeshauri post nyingi zianzishwe kwa ajili ya kuung'oa utawala kabla ya Mwaka mpya ujao.
 
mwandosya - idadi ya kura atakazopata kanda ya ziwa itakuwa ni big suprise, wanamwanza na kanda ya ziwa hatutakuja kumsahau kuhusu uwanja wetu wa ndege

sitta - amekuwa kiongozi tangu kipindi cha mwalimu, amefanya nini akiwa kijana? ndio aje atukomboe 2015 akiwa na 80yrs! sitta in black and white, hana vision/mission ya kutufikisha tunapotaka

mwakyembe - ni mlalamikaji sana na hali ya amani itakuwa tete maana shutuma anazozitoa ipo siku akiwa rais tutashuhudia umwagaji mkubwa sana wa damu na kuna watu watakolimbwa sana,aendelee kuwa mbunge

magufuli - never try him! ni bora ya jk huyu anatumia sana nguvu kufanya maamuzi na huwa analewa sana na sifa za kijinga (hatumii akili) na mara nyingi imetucost mfano kubomoa majengo mwanza, kuhifadhi samaki etc [ we need innovative man]. Aliuza nyumba za serikali

membe - anaongea sana pumba, ni bora jk kwangu mimi

mzanzibar - hahahaaaa hili ndio kaburi hata wakiiba kura milioni 12 bado hazitatosha

ccm ina kazi kubwa sana kushinda 2015 labda waibe kura (tuingie msituni) au waizime chadema
Gwamahala Gwaijolo Gwamaka Gwanaloli ndiye pekee anafaa!
 
Hakuna anayefaa kuwa raisi hapo

Mwandosya ni Mgonjwa jamani lol.....Mwakyembe inatakiwa ajivue gamba hatutaki raisi fisadi, huyu ana ile scandal ya posho mara 3. Wapishe mwingine atakaye kuwa na uchungu na nchi.

HE! anaumwa nini raisi wetu mtarajiwa?
 
Ntambaswala,
Kwa maoni yangu,
Nakumbushia kwa msisitizo, kuna makabila fulani, uraisi ni BIG NO!

Sasa bwana PASCO, kama wamarekani wangesema hivi, basi OBAMA asingechaguliwa raisi uko?!

Hili swala la kumchagua au kutokumchagua mtu sababu ni mbara, wa visiwani, mkristu, muislamu au kabila lake NILIFIKIRI LIMEPITWA NA WAKATI, nashangaa mkuu unalitamka kwenye dunia na chi yetu ya TANZANIA leo?!

UMENISIKITISHA KWA KWELI!
 
Back
Top Bottom