Profesa Mwandosya na Dr. Mwakyembe hawapikiki

Hakuna anayefaa kuwa raisi hapo

Mwandosya ni Mgonjwa jamani lol.....Mwakyembe inatakiwa ajivue gamba hatutaki raisi fisadi, huyu ana ile scandal ya posho mara 3. Wapishe mwingine atakaye kuwa na uchungu na nchi.

Hutokaa umpate ambaye hajatumbukia kwenye mtego wa posho tatu!!!
 
CCM kamati na harimashauri kuu watahakikisha wanampitisha Mzanzibari ili CCM Zanzibar wasije kurudi Zanzibar na "ASP' yao. Tusubiri likini sioni namna watakavyo kwepa hilo.
 
wampe salim ahmad salim jamani,unakumbuka alifanya nn kipindi kidogo alichokuwa waziri mkuu?unakumbuka wakati anatoka wizara ya ulinzi askari walivyolalamika!
 
Sasa bwana PASCO, kama wamarekani wangesema hivi, basi OBAMA asingechaguliwa raisi uko?!Hili swala la kumchagua au kutokumchagua mtu sababu ni mbara, wa visiwani, mkristu, muislamu au kabila lake NILIFIKIRI LIMEPITWA NA WAKATI, nashangaa mkuu unalitamka kwenye dunia na chi yetu ya TANZANIA leo?!UMENISIKITISHA KWA KWELI!
c ni walewale wa 2005 waliosema salim c mtz.! huyu nahisi ni mwanamtandao wa el wenye ukabila,udini na kupakaziana! Tumwombe Mungu afutilie mbali fikra za wa2 wa aina hii.
 
DAWASCO na DAWASA iko kama TANESCO, hakuna maji mabombani, hakuna usambazaji wa maji wa kutosheleza wananchi, wateja wanaojulikana na hivyo vyombo ni wachache kuliko hali halisi, madeni yake hayakusanywi kwa nguvu zote, halafu bado tumpe uraisi.

KWANI KAFANYA NINI HASA KWETU SIE WANANCHI MPAKA TUMUONE ANAFAA???

Nchi imejaa vyanzo vya maji mpaka nchi jirani zinatuonea gere, yeye kakaa tu ofisini na u profesa wake, hatumsikii akipigania haki muhimu ya wananchi kupata maji, sasa leo akiingia IKULU hebu jiulizeni huyu bwana atatatusaidia NINI hasa?

Wananchi tumestuka, hatuwapi kura wapuuzi wanaokula hela bungeni na wizarani bila ya wao kuwajibika na sie kusema kweli yule au wale wanastahili malipo yale!

Toa mapendekezo yako acha kulalama kama mlevi tumesha sikia hagombei achana nae huyo usimhofie toa pendekezo lako tujadili hapa.
 
wampe salim ahmad salim jamani,unakumbuka alifanya nn kipindi kidogo alichokuwa waziri mkuu?unakumbuka wakati anatoka wizara ya ulinzi askari walivyolalamika!

apumzike asije kutana na akina Jeb2002 wazeee wa kupakaza aka Mtandao watamwambia mzee wa watu sio Mtanzania kama walivyo kataza makabila mengine kwamba ni BIG NO!
 
Kila nikiwaangalia huku na kule ndani ya CCM naona Samwel Sitta ndiye anayeweza kuwa mgombea bora zaidi na hatimaye kuibadilisha nchi kwa speed and standards. Naona ana mwelekeo wa kuleta maendeleo. Anaweza kufanya maamuzi magumu na hamuogopi mtu yeyote. Ni mtazamo wangu binafsi.
Haya ni mawazo ya kizembe kabisa, tena yanatoka kwa mtu ambae nina uhakika kama sio kibaraka wa Fisadi Samwel Sitta basi ni mtu ambae ni mvivu wa kufikiri na watu kama hawa ni mzigo kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom