Prof. Safari ajiondoa CUF; Atafakari pa kwenda!

Kwa jinsi ninavyomjua huyu Prof,kweli cdm wakimpokea nakumpa cheo nitaanza kuondoa imani yangu kuhusu udini cdm.
naskia huyu jamaa hapatani na jk kabisa hata aliwahi kuapa kuwa kama jk angekuwa Rais yeye angehama nchi
 
Bila ya wasiwasi wala shaka anakuja kwa tamaa ileile ya kugombea Uraisi 2015 ,hivyo wale wenye nia ya kugombea kupitia CDM wakae mkao wa kupata mgombea mwingine.:amen:
Na wewe leo unamsema vibaya Prof. wakati ulikuwa wa kwanza kumsifia kuwa hakuna kichwa upinzani kama Rashid Hamad na Safari?

CUF inapukutika wanabaki mashehe tu na madrasa kibao.
 
Kwa jinsi ninavyomjua huyu Prof,kweli cdm wakimpokea nakumpa cheo nitaanza kuondoa imani yangu kuhusu udini cdm.
naskia huyu jamaa hapatani na jk kabisa hata aliwahi kuapa kuwa kama jk angekuwa Rais yeye angehama nchi

Imani pandikizi zinatumaliza watanzania
 
HAHAHA cdm mtaendelea kula magarasa.. kaanza lwakatare anakuja safari... sisi hatutaki waroho wa madaraka,ati lazma uwe kiongozi ndio ubaki chama,sisi wanachama wetu ni wale wanaokipenda chama ndani ya moyo.. Pr safari kajiunga Cuf 2005, ni juzi tu acha atuachie chama chetu,alikuja na ajenda yake maalum lkn hakujua kuwa cuf kuna vichwa na tumemstukia mapema.. acha aendelee na kazi aliyotumwa na ccm ktk chama chengine lkn kwetu kafeli,na tunawatahadharisha chadema wamwangalie uzuri..
 
Ha Ha haaaaaa sizitaki mbichi hizi.
 
Bad timing! Kila mmoja atajua kuwa amenunuliwa na KANISA ili ku-balance mambo kwenye CDM. Atadharauliwa hata na nzi! Asubiri upepo wa udini upungue CDM
Wacha yako hiyo, mkaribishe Prf mambo mengine yatafuata baadae, usijali ya watu watasema mchana usiku watalala. Karibu Profesa kwenye kiringe cha wapambanaji, ukombozi wa nchi yetu toka mikononi mwa waporaji SISIEM!!!!!!!!!! Uamuzi wa busara huo!!
 
HAHAHA cdm mtaendelea kula magarasa.. kaanza lwakatare anakuja safari... sisi hatutaki waroho wa madaraka,ati lazma uwe kiongozi ndio ubaki chama,sisi wanachama wetu ni wale wanaokipenda chama ndani ya moyo.. Pr safari kajiunga Cuf 2005, ni juzi tu acha atuachie chama chetu,alikuja na ajenda yake maalum lkn hakujua kuwa cuf kuna vichwa na tumemstukia mapema.. acha aendelee na kazi aliyotumwa na ccm ktk chama chengine lkn kwetu kafeli,na tunawatahadharisha chadema wamwangalie uzuri..

Ni Kweli CUF kuna Vichwa vya Panzi vingi sana! Nakubaliana na wewe
 
Kazi aliyotumwa na CCM ni kusaidia CUF na CCM kuungana na kuwa wamoja Zanzibar. Pia kumsaidia Hamad Rashid kukataa kuungana na CDM bungeni. Lilikuwa jambo jema in disguise! Sidhani kama alikuwa ametumwa na CCM ameshindwa kukamilisha alichotumwa! 2005 CUF kilikuwa chama cha upinzani leo hii ni CUFCCM.....

Prof. Safari ataendelea kuwa mwanasiasa. Aidha NCCR kuwa pamoja na Mvungi na Mbatia au CDM kuwa na watanzania.
 
Professor Safari was in a very wrong part ambacho some positions are untouchable. I can tell you, Seif will never give his position as a Secretary General of the CUF even when he gets another full time job, he will retain his full time job in CUF. Now he has full time job as a first Vice President of Zanzibar, yest He has still remained with his job as a Secretary General of CUF. CUF ina wenyewe, Professor Safari played a very wrong card. I can tell you, hata Julius Mtatiro will be thrown just like James Mapalala, Rwakatware and the likes.

So the picture is clear for Mr Mtatiro being used and discarded like trash. Post on the wall, soma bana!!!!!!!!!!!
For a great fighter like this young man and others being in the wrong camp. UKOMBOZI CHADEMA!!!!!!!!!!
 
Bad timing! Kila mmoja atajua kuwa amenunuliwa na KANISA ili ku-balance mambo kwenye CDM. Atadharauliwa hata na nzi! Asubiri upepo wa udini upungue CDM

......daima mtu anayelalamikia sana kwamba kuna uchawi, mara analogwa etc etc au yeye ana imani za kishirikina na ni muumini wa ushirikina au yeye mwenyewe ni mwanga......!
 
Ha Ha haaaaaa sizitaki mbichi hizi.
Hawa jamaa wa Chadema bwana hivi unajua kama safu nzima ya viongozi wako wa waliofika UNIVERSITY wawili tu, Tundu Lissu na Zito Kabwe. tuangalie safu ya juu ya CUF.
1.Profesa Ibrahim lipumba UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
2.Hamad Rashidi UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
3.Julius Mtatiro UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
4.Juma Duni UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
5.Ismail Jussa UNIVERSITY OF HULL CITY UK
6.Maalim Seif UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Mkipata Prof Safari mkampa uongozi mtaongeza wasomi viongozi..taja na wewe vyuo gani wamesoma viongozi wako SLAA,MBOWE.MNYIKA, na yule mbunge wa MPANDA huwa kiongozi wa juu jina nimemsahau nadhani unamjua..
 
Kama CUF wana watu wote hao waliofika university mbona ina wabunge wawili tu bara.
 
utaifa mbele kama tai sio? Nimeipenda hii
na nawaomba cdm kuwa huyu jamaa akishajiunga tu apewe cheo ..ni itasaidia sana katika ukombozi coz many knows that chadema ni ya kidini
:smile-big: Apewe cheo?????? wenye vyeo waende wapi??? kibuniwe kipya???? kwani akienda NCCR au TLP kuna makosa gani? si vyama??? Changamoto ya ukweli ni akienda chama tofauti na hivi tunavyoshabikia hapa! hapo ndipo demokrasia ya kweli itaonekana kwa maana watu wataamka na kujua ilikuwaje wakalala. Vyama hivi vingine vimejaa ubinafsi, uchu wa madaraka, majungu, kupendwa kutukuzwa. tusisemane na kadhalika hali inayoviza mageuzi ya Tanzania.

Namheshimu Profesa Safari lakini hajatoa mchango wa kutosha kwatika siasa za Tanzania, Yuko bize mno!
 
Kama CUF wana watu wote hao waliofika university mbona ina wabunge wawili tu bara.
Ni kama kutajirika kulivyo.... Kutajirika hakuhitaji elimu!

Mwendawazimu anaweza kupata mwenye akili akakosa! mifano mengine muwege mnafikiria kwanza basi ah!
 
kula tano yangu instantly..... a simple inductive reasoning concludes that .. KAFU is an island based party., above all sisiem is a husband in need
 
Ni kama kutajirika kulivyo.... Kutajirika hakuhitaji elimu!

Mwendawazimu anaweza kupata mwenye akili akakosa! mifano mengine muwege mnafikiria kwanza basi ah!
Kutajirika hakuhitaji elimu ingebidi umjibu ritz aliyeorodhesha wasomi wa CUF.

Mimi nimemjibu aliyeorodhesha wasomi wa CUF nikamwambia kama anafikiri kuwa na wasomi wa university ndiyo maendeleo mbona CUF haijastawi Bara, au kwa vile limetolewa na Quinine, msalimie Waberoya.
 
Kama CUF wana watu wote hao waliofika university mbona ina wabunge wawili tu bara.

hahaah..sio kama sema wamesoma UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, mimi nimekujibu wewe umesema Prof Safari kaondoka CUF wasomi wameisha CUF wamebaki mashehe na madrasa, CUF ni chama cha kitaifa kina wabunge TANZANIA nzima, UNGUJA na PEMBA na BARA, Chadema mna majimbo mangapi UNGUJA na PEMBA? nitajie basi vyuo waliosoma viongozi wako.
 
Kwani Pemba ni wilaya gani ina wapigakura wangapi wanaifikia Kinondoni? hongreni CUF maana mnaizidi hadi CCM haijafika huko Pemba wilayani.
 
Back
Top Bottom