Prof. Safari ajiondoa CUF; Atafakari pa kwenda!

Kila heri Prof. Safari huko kwenye chama kipya hiuyo ndio demokrasia..unao uhuru wa kuhama upendavyo

Lakini naamini huko cheo cha juu sahau mkuu hutapewa hata ulie vipi?

Of course utapata malipo kwa kutetea kesi kadhaa za chama, siyo mbaya..unless ukubali kuwa upande mwingine..
 
How much will Christian Democratic Movememt (CDM) pay to lure you into changing your established values for this devil-led movement?

I think this is too low.
Oh! by the way, hata kama unachangia hoja ukijua hakuna anayekufahamu, still there is that self satisfaction...do you really feel satisfied for offering such a demonic comment?....come on! got to rebuke that demon out of you.
 
OOh my God, jamani hivi watu huwa tunawaza nini hasa tunapokuja na mawazo na mitazamo ya namna hii " Prof. Safari" Kununuliwa na Kanisa, tukae na kujiuliza, tutafakari kwa kina, tumfahamu mtu, weledi wake kitaaluma, kijamiii na kifikra kabla hatujatoa mitizamo yetu. By the way, do we have any tiny evidence katika hilo? Kanisa limnunue mtu huyo kwa faida ya nani, na kwa lengo gani hasa. I don't want to believe this "low| critics. Nikionacho mimi ni fikra za kidini tulizonazo baadhi yetu, na hii ni kitu mbaya sana, kaeni mkifahamu, kama wewe unaekuja na tuhuma kama hizi pamoja na shule yako, uelewa wako etc, je Hamis, Abdalah, Josuah na Simon ambao wapo kijiweni hawakuwahi kujua hata darasa moja la msingi watayapokeaje haya. My Take; Let us bring a positive critics/challenges that will help our people and build our future nation"
 
mwanachama mwanazuoni wa cuf aliyewahi kupambana na profesa ibrahim lipumba kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya mwenyekiti wa cuf na kuambulia kuzomewa, profesa abdallah safari, amejivua uanachama wa chama hicho na inasemekana yuko mbioni kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo chadema.

kumbe inasemekana ?weka tetesi
 
Prof Safari is a an intelligent and critical person so akijiunga Chadema anaweza kuwa na mchango mzuri akiwa kama sehemu ya Think tank ya chama katika kubuni mbinu na mikakati mizuri ya kuleta mageuzi ya kweli nchini hapa.
 
I love the GUY, Prof. SAFARI is a decent dedicated Tanzanian. He is open minded!
 
Leo katangaza rasmi kujiondoa CUF akitaja sababu kadha wa kadha, ikiwemo hisia zake kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo wa kuwa chama cha kitaifa, malengo yakionekana kuwa kipaumbele ni Visiwani kwanza, bara baadae.

Kimepoteza mvuto na umaarufu kiliokuwa nao, kwa sababu ya kutojali watu makini kama vile akina James Mapalala, Kassanga Tumbo, W. Lwakatare, Akwilombe, Namata, Ramadhan Mzee, Kamara Kusupa n.k. Kimeshindwa kuvutia watu makini, wakiwemo wasomi kukiunga mkono, huku kikiwatupa au kuwasahau hata wazee kama vile akina Msobi Mageni.

Lakini kasema hana mpango wa kujiunga na chama chochote kingine cha siasa kwa sasa, mpaka hapo atakapoona au kupata chama chenye kutetea haki sawa na kioneshe kuwa chama cha kitaifa kwa dhati...kwa sasa, kwa mujibu wake, haoni,

"Siendi CHADEMA, sitaki kusema mambo yao hapa nisje nikatengeneza uhasama bure...lakini siendi huko...siendi CCM...bahati mbaya mimi naamini kuwa kiongozi bora Tanzania alikuwa Moringe Sokoine...najua mtajiuliza kwa nini namruka Mwalimu Nyerere, mimi ndivyo ninavyoamini, sasa hakuna mtu kama huyo nikafanye nini huko...mnajua jinsi CCM kilivyo sasa...lakini nitaendelea kuchangia, siasa ni maisha, dini zote zinazungumzia siasa, hata uislamu unazungumzia siasa...nitachangia yapo mambo mengi kama vile katiba mpya, mijadala ya udini..."
 
Kwani mtu maarufu ina uhusiano gani na malengo yenyewe? haya ni mawazo ya kizamani. si lazima chama kuwa na fulani ndo kionekane kizuri, la msingi ni vision na mission. Sababu alizotoa ni off point tupu
 
""siendi CCM...bahati mbaya mimi naamini kuwa kiongozi bora Tanzania alikuwa Moringe Sokoine...najua mtajiuliza kwa nini namruka Mwalimu Nyerere, mimi ndivyo ninavyoamini, sasa hakuna mtu kama huyo nikafanye nini huko...mnajua jinsi CCM kilivyo sasa...lakini nitaendelea kuchangia, siasa ni maisha, dini zote zinazungumzia siasa, hata uislamu unazungumzia siasa...nitachangia yapo mambo mengi kama vile katiba mpya, mijadala ya udini...""

Mzee huyu, kwiiiiiiisha kabisa. Kama Prof. anaweza sema hivi...basi tena.
 
Prof anajua kilichobora kwa ajili yake.
Wakati uamuzi wa kwenda chama gani baada ya hapa itabaki kuwa siri yake, sababu alizozitaja hata kwenye jukwaa hili zilisemwa lakini baadhi ya watu wakazipinga kwa nguvu.

Tusubiri utetezi utakuwaje??
 
Leo katangaza rasmi kujiondoa CUF akitaja sababu kadha wa kadha, ikiwemo hisia zake kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo wa kuwa chama cha kitaifa, malengo yakionekana kuwa kipaumbele ni Visiwani kwanza, bara baadae.

Kimepoteza mvuto na umaarufu kiliokuwa nao, kwa sababu ya kutojali watu makini kama vile akina James Mapalala, Kassanga Tumbo, W. Lwakatare, Akwilombe, Namata, Ramadhan Mzee, Kamara Kusupa n.k. Kimeshindwa kuvutia watu makini, wakiwemo wasomi kukiunga mkono, huku kikiwatupa au kuwasahau hata wazee kama vile akina Msobi Mageni.

Lakini kasema hana mpango wa kujiunga na chama chochote kingine cha siasa kwa sasa, mpaka hapo atakapoona au kupata chama chenye kutetea haki sawa na kioneshe kuwa chama cha kitaifa kwa dhati...kwa sasa, kwa mujibu wake, haoni,

"Siendi CHADEMA, sitaki kusema mambo yao hapa nisje nikatengeneza uhasama bure...lakini siendi huko...siendi CCM...bahati mbaya mimi naamini kuwa kiongozi bora Tanzania alikuwa Moringe Sokoine...najua mtajiuliza kwa nini namruka Mwalimu Nyerere, mimi ndivyo ninavyoamini, sasa hakuna mtu kama huyo nikafanye nini huko...mnajua jinsi CCM kilivyo sasa...lakini nitaendelea kuchangia, siasa ni maisha, dini zote zinazungumzia siasa, hata uislamu unazungumzia siasa...nitachangia yapo mambo mengi kama vile katiba mpya, mijadala ya udini..."

Duh! lot of vague statements
 
Kwani mtu maarufu ina uhusiano gani na malengo yenyewe? haya ni mawazo ya kizamani. si lazima chama kuwa na fulani ndo kionekane kizuri, la msingi ni vision na mission. Sababu alizotoa ni off point tupu

Mzee uko sahihi, nadhani anaangalia uupepo wa kisiasa kwanza kwani hali ya siasa sasa hivi ni tete kuna a lot of toxic flowing around, hana ujasiri wa kujitoa mhanga na kujiunga na chama anachokitaka.

Nyange vipi umekwisha kwenda Marekani? umenitupa ndugu yangu
 
Hatimaye ya CUF kuelekea Shimoni kama CCM imeelezwa mchana hadharani na Prof Safari; mtu makini, msomi na mzoefu wa siasa na uongozi. Kweli kabisa CUF kisipoangalia sana kiundani huenda kikawa chama cha Chake Chake tu wala si Pemba yote.
 
Leo katangaza rasmi kujiondoa CUF akitaja sababu kadha wa kadha, ikiwemo hisia zake kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo wa kuwa chama cha kitaifa, malengo yakionekana kuwa kipaumbele ni Visiwani kwanza, bara baadae.

Kimepoteza mvuto na umaarufu kiliokuwa nao, kwa sababu ya kutojali watu makini kama vile akina James Mapalala, Kassanga Tumbo, W. Lwakatare, Akwilombe, Namata, Ramadhan Mzee, Kamara Kusupa n.k. Kimeshindwa kuvutia watu makini, wakiwemo wasomi kukiunga mkono, huku kikiwatupa au kuwasahau hata wazee kama vile akina Msobi Mageni.

Lakini kasema hana mpango wa kujiunga na chama chochote kingine cha siasa kwa sasa, mpaka hapo atakapoona au kupata chama chenye kutetea haki sawa na kioneshe kuwa chama cha kitaifa kwa dhati...kwa sasa, kwa mujibu wake, haoni,

"Siendi CHADEMA, sitaki kusema mambo yao hapa nisje nikatengeneza uhasama bure...lakini siendi huko...siendi CCM...bahati mbaya mimi naamini kuwa kiongozi bora Tanzania alikuwa Moringe Sokoine...najua mtajiuliza kwa nini namruka Mwalimu Nyerere, mimi ndivyo ninavyoamini, sasa hakuna mtu kama huyo nikafanye nini huko...mnajua jinsi CCM kilivyo sasa...lakini nitaendelea kuchangia, siasa ni maisha, dini zote zinazungumzia siasa, hata uislamu unazungumzia siasa...nitachangia yapo mambo mengi kama vile katiba mpya, mijadala ya udini..."

100% concurred.
 
Sokoine alipokufa nililia sana. Sikujua kwanini. Lakini baada ya hapo nimeendelea kujua ni kwanini nililia na kuhuzunika. For one he scarificed his life, gains and future for Tanzania in manner and gusto unseen since formation of Tanganyika.

I knew some of his kids, Lazaro, Joseph, Abraham, Namelo if I remember,; but I dont know how they're faring. Sadly he's marginalized first by Mwl. Nyerere & CCM in general.

Thanks Prof. Safari for ignite passionate memories of my hero, E.M. Sokoine (R.I.P.)
 
Back
Top Bottom