Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

Niko ilala hapa kwenye foleni naelekea bugurun nikamchukue le profeseri nimpeleke milembe akachekiwe vizuri maana nahisi ana tatizo sio bure
 
Kule Chadema mali ya wachaga na Mmasai kanunua hisa na Huko Cuf ni mali ya Wapemba na Mmasai katia mkono huko. Chama dume Ccm pekeee
 

Attachments

  • lipumba.jpg
    lipumba.jpg
    5.1 KB · Views: 21
Nasikia hangoki kweli, jana na juzi kalala buguruni ofisini, na ataendelea kujenga chama kwa kulala ofisini na ana mpango wa kuhamisha kitanda huko.
Na cuf watamuachia tu hio nyumba afanye maaigizo mpaka akichoka atarudi kwake kulala.
Chama sio ofisi ati..
 
Huyu mzee apewe zile video crip wakati ana jiuzuru huenda akiona kile kipara kilivyo kuwa kinatoka jasho atakumbuka kuwa kweli alisaliti chama chetu
 
Back
Top Bottom