Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

Vegetarian

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
651
495
Katika mahojiano na sauti ya Amerika VOA Swahili jioni hii, Mwenyekiti aliyejiuzulu wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali na kikao kilichomvua uanachama ni batili.

Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.

Naona mchezo ndo kwanza umeanza.
 
Prof piga kazi songa mbele warudishe yale magari na mali zote za chama,hakuna ujanja hapa!!!!.
 
Katika mahojiano na sauti ya Amerika VOA Swahili jioni hii, Mwenyekiti aliyejiuzulu wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali na kikao kilichomvua uanachama ni batili.

Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.

Naona mchezo ndo kwanza umeanza.
Nilishawaambia jumamosi picha linataka anza mimi nilikwisha chukua siti ya mbele na soda yangu ya kijani ,episode wani imeisha tunasubiri ya pili.
 
Katika mahojiano na sauti ya Amerika VOA Swahili jioni hii, Mwenyekiti aliyejiuzulu wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali na kikao kilichomvua uanachama ni batili.

Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.

Naona mchezo ndo kwanza umeanza.
Lipumba piga kazi, mshawishi Dr Slaa aje kuwa katibu mkuu hapo.

CDM watatafuta ndimu zilipo.
 
Back
Top Bottom