Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

-->>HAJAMALIZA KAZI ALIYOTUMWA,LENGO NI MPAKA IKIWEZEKANA CUF ISOWEPO KATIKA USO WA TANZANIA,WAZALENDO TUMEKWISHA NGAMUA HILI./
Wazalendo wapi jamani mbona mmepooza sana
Katika mahojiano na sauti ya Amerika VOA Swahili jioni hii, Mwenyekiti aliyejiuzulu wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali na kikao kilichomvua uanachama ni batili.

Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.

Naona mchezo ndo kwanza umeanza.

Prof ametisha madaraka sio mchezo kabisa
 
Hivi humu nchini Tanzania madaktari wa kupima watu akili wamekwisha ama? kuna watu wa type ya huyu mzee anatakiwa kuchukuliwa very serious otherwise twaweza mpoteza soon
Nadhani atakuwa ana tatizo la akili Chama kina katiba yeye anataka kufanya chama km Familia yake Halafu ana genge lake la wahuni nilona video wakimpiga mdada
 
Aliyejiuzulu Pro-pesa LiPUMBA. kaenda stage nyingine ya UJINGA. Huu tunauita UJINGA UPOTEVU.
Njemba haina Mshipa wa Aibu, leo nmemu add kwa Type za PhD Holders
Type KUTOKUJIELEWA.
Ikiongozwa na Pro-mboga TIBAIJUKA, Dr-kutubu RUTENGWA.
Ngoja ninunue Bisi
Series imefika Patamu.
[HASHTAG]#ChekaKwaDharau[/HASHTAG]
 
Katika mahojiano na sauti ya Amerika VOA Swahili jioni hii, Mwenyekiti aliyejiuzulu wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali na kikao kilichomvua uanachama ni batili.

Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.

Naona mchezo ndo kwanza umeanza.

Piga. Kazi prof wazushi atakwetu wapo!!!.
 
Atapiga kazi kweli mana asengeruka ukuta yasengemkuta asubiri jinai alofanya mahakamani
 
Katika mahojiano na sauti ya Amerika VOA Swahili jioni hii, Mwenyekiti aliyejiuzulu wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali na kikao kilichomvua uanachama ni batili.

Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.

Naona mchezo ndo kwanza umeanza.

Mzee Rudi kashike chaki kwa nini unaliogopa vumbi la chaki? LE PROPESA!!!
 
Nikimuangalia Lipumba najiuliza hivi alisahau kuwa alijiuzulu au anafikiri tumesahau. Kumbe sio sisi tu tunakumba. Wikipedia wanakumbukumbu pia.
 
Attachments

  • 1475076307429.png
    1475076307429.png
    147.5 KB · Views: 34
Back
Top Bottom