Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

Au Prof. anadevelop model fulani sisi hatumuelewi?, maana ni Prof.

Na Model ni kama Theory huwa inapenetrate taratibu kabisa kabla ya kuitikiwa na wananchi au Taifa lolote.

Wakati mwingine application ya model au Theory hutegemea mazingira na muda kwani ukizikosea zinagoma kabisa.

Model inaweza kukubali katika Jamii fulani au eneo fulani. Kwa hiyo inaweza ikakubali eneo au Jamii fulani kulingana na jinsi ilivyotumika na ilivyopokelewa.

Au bado anatest Variables ili zije kukubali (accept) au zikatae (reject) katika hypothesis.

Kwa hiyo tusije tukashangaa siku moja akaachana na siasa au akaendelea inategemea na final results ya model yake anayoitest.
 
Ha-develop chochote zaidi anazidi kutudhalilisha watu weusi kwa kuonekana tuna low IQ.vitu anavyofanya mtu anaejielewa hata awe na elimu ya msingi hawezi fanya ujinga huu sembuse yeye professor.?
 
Binafsi namuelewa sana Lipumba....

kuna watu wengi hawajamuelewa ndo maana
wanamshangaa....

Lipumba anajua siri nyingi za CUF na upinzani

anachokifanya sasa ni kile wenzie wanakifanya kwa siri....

kuigiza siasa za upinzani.....
 
Hana lolote anatumikia mabwana zake waliomtuma na kumtumia
Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom