Prof lipumba is a genious!

Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au kuna kitu sikijui?

Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida ya familia zao, lakini huyu ndugu anajitoa, amekubali kuingia kwenye siasa hizi ngumu za Tanzania.
Mungu mlinde huyu baba!!

Ila Mkuu angalia usikimbilie kuwaita watu ma-genius. Mwanangu mie mdogo ananiona mimi ni genius lakini najua si kwa kuwa nina akili nyingi saaana, ni kwa sababu tu ya uwezo wake mdogo wa kuelewa mambo akilinganisha na wa kwangu (mismatched calibration!). Sasa isije ikawa unamwona Lipumba genius kumbe ni suala la wrong calibration! Kwa mfano, Lipumba katikati ya watoa pumba wa chama fulani cha siasa obviously ataonekana ni genius!
 
unachanganya kidogo makusudi au una ishu mbili?
kuna calibration ya uelewa wangu kujudge Lipumba (wewe na mamako mdogo) halafu kuna Lipumba kati ya wanachama wenzake wa chama chake cha siasa.
Nikitumia kigezo cha kwanza kwa kuwa najijua mie niko ktk level gani naweza kusema Lipumba atakuwa juu sana ya everage genius guy
Kigezo cha pili mimi sijakitumia
 
Back
Top Bottom