Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,257
- 34,205
Unaakili timamu??Acha kupotosha watu hajasema hivyo we mbowe

kwanini mnakuwa wagumu kuelewa?CCM ni ile ile hata wenyewe waliimba.Walipotangaza matokeo ya kamati No1 nilisema sikutegemea na kwa unyenyekevu mkubwa nikawasifu kwa Tanzania kuingia kwenye chati ya ukweli na uwazi. Cha kushangaza wanasema ni reporti ya raisi-kweli ni reporti ya raisi anahaki ya kuiweka wazi au vinginevyo. Lakini tunapoambiwa hii ni vita ya wote halafu mambo "yanafichwa" kwa wengine ile spirit ya kuwa pamoja inapotea. Pongezi zangu nazifuta kabisa kweli ni wale wale.
Akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wajumbe wa Kamati ya Madini ya Bunge,Prof.Kabudi amesema kwamba sheria huanzia pale ilipotungwa kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Akifafanua swala hilo waziri anasema kuwa mikataba iliyokwisha ingiwa kipindi kilichopita haitaguswa na sheria mpya ya madini. Waziri ameongeza kuwa kutafanyika majadili na makampuni hayo kuona jinsi ya kuweka mambo sawa.
Hivyo sheria mpya ya 2017 itahusu kampuni zitakazofuata.
Hii inamaana kuwa migodi mikubwa kama Geita,Buzwagi,Mwadui,Tarime itaendelea kuibiwa kwa sababu ina mikataba tayari ambayo imeingiwa na CCM
Mjumbe wa kamati Mh.Mnyika ameomba kuwa kama base ya sheria mpya ya madini ni ripoti ya makinikia basi ripoti hiyo wapatiwe wabunge ili waone kama recommendations za Kamati ya Makinikia zimezingatiwa. Akijibu swali hilo Kabudi amejibu kwamba ripoti hiyo ni ya Mh.Rais hivyo haitatolewa kwa mtu yeyote
My Take
Namuelewa sana Tundu Lissu mpaka naumia. Lakini kama mnasema ripoti za makinikia ni za rais kwa nini mlitutangazia kila mkoa kujitokeza kwenye TV kumtazama rais?si ilimaanisha ni ripoti ya wanananchi walioibiwa?
We mpumbafu sana!! Futa upuuzi wako hapa!Ccm mpya imezaliwa siyo ccm ya zamani ambayo ilikosa msimamizi. Sasa jembe limepatikana. Msikalili
Tatizo lako huwa unafikiria sana mkuuMbona sheria ya bodi ya mikopo 15% ilirudi nyuma?
Akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wajumbe wa Kamati ya Madini ya Bunge,Prof.Kabudi amesema kwamba sheria huanzia pale ilipotungwa kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Akifafanua swala hilo waziri anasema kuwa mikataba iliyokwisha ingiwa kipindi kilichopita haitaguswa na sheria mpya ya madini. Waziri ameongeza kuwa kutafanyika majadili na makampuni hayo kuona jinsi ya kuweka mambo sawa.
Hivyo sheria mpya ya 2017 itahusu kampuni zitakazofuata.
Hii inamaana kuwa migodi mikubwa kama Geita,Buzwagi,Mwadui,Tarime itaendelea kuibiwa kwa sababu ina mikataba tayari ambayo imeingiwa na CCM
Mjumbe wa kamati Mh.Mnyika ameomba kuwa kama base ya sheria mpya ya madini ni ripoti ya makinikia basi ripoti hiyo wapatiwe wabunge ili waone kama recommendations za Kamati ya Makinikia zimezingatiwa. Akijibu swali hilo Kabudi amejibu kwamba ripoti hiyo ni ya Mh.Rais hivyo haitatolewa kwa mtu yeyote
My Take
Namuelewa sana Tundu Lissu mpaka naumia. Lakini kama mnasema ripoti za makinikia ni za rais kwa nini mlitutangazia kila mkoa kujitokeza kwenye TV kumtazama rais?si ilimaanisha ni ripoti ya wanananchi walioibiwa?
Tusubiri hoja za ideologues from CCM Lumumba. Definitely watakuja na argument kwamba everything is on track, hiyo ndio kazi yao kuunga mkono kila tamko hata kama it's self contradictory. Ukweli ni kwamba katika hili, Serikali imebadilisha gia boksi ya manual kwenda auto gari ikiwa mteremkoni mwendo kasi. Wale wote waliovamia mgodi kule kwa Heche wakirudia tena, cha moto watakiona. Juzi kuna waziri au mbunge mmoja maarufu CCM (Jina nimesahau) alisema kwamba wanachofanya wananchi tarime ni sahihi as a strategy. Looks like he's still not conversant with the inconsistency and lack of direction under this populist regime. Poor him!Akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wajumbe wa Kamati ya Madini ya Bunge,Prof.Kabudi amesema kwamba sheria huanzia pale ilipotungwa kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Akifafanua swala hilo waziri anasema kuwa mikataba iliyokwisha ingiwa kipindi kilichopita haitaguswa na sheria mpya ya madini. Waziri ameongeza kuwa kutafanyika majadili na makampuni hayo kuona jinsi ya kuweka mambo sawa.
Hivyo sheria mpya ya 2017 itahusu kampuni zitakazofuata.
Hii inamaana kuwa migodi mikubwa kama Geita,Buzwagi,Mwadui,Tarime itaendelea kuibiwa kwa sababu ina mikataba tayari ambayo imeingiwa na CCM
Mjumbe wa kamati Mh.Mnyika ameomba kuwa kama base ya sheria mpya ya madini ni ripoti ya makinikia basi ripoti hiyo wapatiwe wabunge ili waone kama recommendations za Kamati ya Makinikia zimezingatiwa. Akijibu swali hilo Kabudi amejibu kwamba ripoti hiyo ni ya Mh.Rais hivyo haitatolewa kwa mtu yeyote
My Take
Namuelewa sana Tundu Lissu mpaka naumia. Lakini kama mnasema ripoti za makinikia ni za rais kwa nini mlitutangazia kila mkoa kujitokeza kwenye TV kumtazama rais?si ilimaanisha ni ripoti ya wanananchi walioibiwa?
Wanajua inawahusu tabaka la chini na sio waoMbona sheria ya bodi ya mikopo 15% ilirudi nyuma?