Prof. Kabudi: Sheria mpya za madini hazitahusu migodi inayoendelea

Tundu Lisu the genius lawyer of our time, The man said the truth na CCM mnachuki na Lisu bhana yani wameona washakosea na kusema hadharani wakaona watampa credit Lisu so wameliua secretly, ili watz wamchukie Lisu kuwa alikuwa anawatetea wazungu wa ACACIA, Lisu kasema hamuweI kuwawajibisha kwa kuwa mlikubaliana na masharti ya mkataba na mpo MIGA ,Leo tumeyumbishwa na hati ya dharura na wameibuka kuwa sheria mpya haitaathiri migodi inayoendelea? That means mchanga utaendelea kuondoka na kampeni itaendelea kufanywa mpk kila MTU ajue tuna mkuu mzalendo kuliko waliowahi kuwako kumbe Dkt uchwara tu
 
Ka-Bundi! Hapana ni Libundi ndo limeloga kabisa!Joker LA makengezer chamtoto! Kitu bundi bwana! Wakati wengine walitembea lenyewe linapaa! katikati ya matumaini limeloga mchana kweupe! Nani atamtaka Bundi!
 
Jana polepole likuwa anaongea nini, inaonekana alikuwa anaongea kitu ambacho hakifahamu kuhusu hiyo miswaada
 
Hivi kuna migodi mipya ambayo haijaanza kuchimbwa hapa Tanzania na ndiyo inayotungiwa Sheria hizo mpya? Basi sisi tumejaliwa sana, umaskini ni wa kujitakia.
Ndio mkuu eneo lote la mkoa wa DSM chini yamejaa madini tupu.. ndio maana serikali inahamia Dodoma. .
 
Akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wajumbe wa Kamati ya Madini ya Bunge,Prof.Kabudi amesema kwamba sheria huanzia pale ilipotungwa kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Akifafanua swala hilo waziri anasema kuwa mikataba iliyokwisha ingiwa kipindi kilichopita haitaguswa na sheria mpya ya madini. Waziri ameongeza kuwa kutafanyika majadili na makampuni hayo kuona jinsi ya kuweka mambo sawa.

Hivyo sheria mpya ya 2017 itahusu kampuni zitakazofuata.

Hii inamaana kuwa migodi mikubwa kama Geita,Buzwagi,Mwadui,Tarime itaendelea kuibiwa kwa sababu ina mikataba tayari ambayo imeingiwa na CCM

Mjumbe wa kamati Mh.Mnyika ameomba kuwa kama base ya sheria mpya ya madini ni ripoti ya makinikia basi ripoti hiyo wapatiwe wabunge ili waone kama recommendations za Kamati ya Makinikia zimezingatiwa. Akijibu swali hilo Kabudi amejibu kwamba ripoti hiyo ni ya Mh.Rais hivyo haitatolewa kwa mtu yeyote

My Take
Namuelewa sana Tundu Lissu mpaka naumia. Lakini kama mnasema ripoti za makinikia ni za rais kwa nini mlitutangazia kila mkoa kujitokeza kwenye TV kumtazama rais?si ilimaanisha ni ripoti ya wanananchi walioibiwa?
Mkuu tatizo lako ni uelewa tu. Si kwamba mikataba itaandikwa upya ila sheria hii itahusika katika utekelezaji wa mikataba hiyo kwenye vipengele mbalimbali kwa sababu siyo kwamba mikataba ya zamani iko static kwenye vipengele vyote hasa vinavyohusu kodi na mambo mengine mbalimbali.
 
Kuna nini kinafichwa kwenye hiyo report mpaka iwe ya Rais tu.Kwani hii nchi ni yake peke yake, mbona ni ya kwetu sote.Halafu tunajua mikataba ya madini sio msahafu,they can be renegotiated!Kwa nini tusifanye hivyo,nini kiko nyuma ya pazia?Inauma,inauma,inauma.
hizo ripoti ni proffesorial rubbish kama wanabisha wazitoe hadharani
 
Haina maana yoyote basi kama tutaendelewa kuibiwa tu,tumelogwa sehemu si bure.
 
Akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wajumbe wa Kamati ya Madini ya Bunge,Prof.Kabudi amesema kwamba sheria huanzia pale ilipotungwa kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Akifafanua swala hilo waziri anasema kuwa mikataba iliyokwisha ingiwa kipindi kilichopita haitaguswa na sheria mpya ya madini. Waziri ameongeza kuwa kutafanyika majadili na makampuni hayo kuona jinsi ya kuweka mambo sawa.

Hivyo sheria mpya ya 2017 itahusu kampuni zitakazofuata.

Hii inamaana kuwa migodi mikubwa kama Geita,Buzwagi,Mwadui,Tarime itaendelea kuibiwa kwa sababu ina mikataba tayari ambayo imeingiwa na CCM

Mjumbe wa kamati Mh.Mnyika ameomba kuwa kama base ya sheria mpya ya madini ni ripoti ya makinikia basi ripoti hiyo wapatiwe wabunge ili waone kama recommendations za Kamati ya Makinikia zimezingatiwa. Akijibu swali hilo Kabudi amejibu kwamba ripoti hiyo ni ya Mh.Rais hivyo haitatolewa kwa mtu yeyote

My Take
Namuelewa sana Tundu Lissu mpaka naumia. Lakini kama mnasema ripoti za makinikia ni za rais kwa nini mlitutangazia kila mkoa kujitokeza kwenye TV kumtazama rais?si ilimaanisha ni ripoti ya wanananchi walioibiwa?
Hahahah

Sasa hivi Magamba yataanza kuji adjust katika Reality.
Yameinamisha vichwa chini kwa aibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom