Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Hivi bado kuna wabishi kukusu bingwa,Benitez na Hidink wameshakata tamaa na mechi za wikiendi hii zitaendelea kudhibitisha bingwa ni na nani kwani Chelsea,ManU na Arsenal wanafikiria nusu fainali ya Champs LeagueMatokeo mpaka ya jana tumeyaona kwa haraka haraka kwa msimamo wa ligi ulivyo inaoneka man atautwaa ubingwa. Lakini mimi na msimamo wangu napenda sana achukue Liverpool sababu Chelsea Guus Mwenye ametoa kauli ya kukata tamaa na ubingwa.
Ninavyutaka iwe na si ajabu ikatokea........
Premier
1. Liverpool
2. Man U
3. Arsenal
4. Chelsea
Champions League
Final Asrenal v Chelsea
= Arsenal
FA
Chelsea
Sio mnajimu lakini nina asilimia 90 itatokea