Kamati ya ufundi Yanga walimhujumu Likud kwenye mechi dhidi ya CR Belouzdad

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Nianze kwa kueleza kusikitishwa kwangu na kiwango kidogo cha uelewa kilicho onyeshwa na baadhi ya wana jf ambao walikuja kuushushua utabiri wangu baada ya mechi.

Komenti za wana jf hao zilinifanya nikumbuke maneno ya mtu mmoja mwenye hekima na busara ambae aliwahi kusema kwamba " The same boiling water that hardens the egg is the one that soften the potato" kitu kimoja kinaweza kuwa na maana tofauti kwa watu wawili kila mmoja akaelewa kutokana na uelewa wake.

Ndio maana hata 50 cents kwenye wimbo wake " Ghetto Quoran" anasema " And for u slow motherfuckers let me break down iller/ Supreme was the businessman and Prince was the killer" The thing 50 Cent alijua kwamba katika kila ujumbe unao toka lazima kuna vilaza wata u perceive tofauti ndio maana akawapiga estoppel ab initio.

Now back to my prediction about CR Belouzdad vs Young Africans.

Kwenye utabiri wangu niliweka wazi kabisa kwamba kwenye mechi hiyo

1. Yanga watashinda magoli mawili kwa sifuri.

2. Magoli yote mawili yatafungwa na Mzize.

3. Magoli yote mawili yatafungwa na Mzize kwenye kipindi cha kwanza.

Nikasema kwamba:

Endapo utabiri wangu hautokwenda kama vile vile nilivyo sema basi nitajitoa jf mazima.

Yani hata kama Yanga wangeshinda magoli hayo mawili na mzize akafunga yote kipindi cha pili au moja kipindi cha kwanza na jingine kipindi cha kwanza still bado ningejitoa kwa sababu ningekuwa nimeshindwa kutabiri kwa usahihi.

Nilipo toa utabiri huu nilikuwa natuma ujumbe kwa watu wa kamati ya ufundi ya Yanga kuufanyia kazi huu utabiri.

Mzize aanze hiyo game ili matokeo yapatikane kama nilivyo kuwa nime tabiri.

Kwa maana nyingine pia nilikuwa naweka condition kuhusu utabiri wangu.

Kwamba ili utabiri wangu utokee kama nilivyo tabiri ni lazima Mzize aanzishwe kuanzia kipindi cha kwanza.

WHAT HAPPENED ON THAT FATEFUL DAY.

Mzize hakuanza kipindi cha kwanza.

Kitendo cha kutokumuanzisha Mzize kipindi cha kwanza kilikuwa kina nitoa kwenye liability kuhusu utabiri wangu kwa sababu kwenye utabiri wangu nilisema Mzize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza...

Yani ni sawa na Yusufu mume wa Mariamu awaalike jirani zake kwenye sherehe ya ubatizo wa kijana wake Yesu ambae atabatizwa kwenye mto Yordan na Yohana mbatizaji.

SIKU YA UBATIZO:

1. Yohana Mbatizaji yupo.

2. Mto Yordani upo.

3. Lakini Yesu hayupo.( kaenda Yerusalem hekaluni kwa baba ake)

Then majirani wamlalamikie Mzee Yusufu kwamba amewaahidi Yesu atabatizwa halafu haijawa hivyo.

Ubatizo utafanyika vipi sasa wakati Yesu hayupo????.

Kwa akili za watu walio ushushua utabiri wangu hapa Jf kama Yesu angekuwa amezaliwa Tanzania basi kati ya watanzania milioni 60 wakristu wangekuwa mia 2 tu.

Kwanini? Kwa sababu👇

1. Ilitabiriwa Yesu atatokea Bethlehemu.

2. Atakuja kuwakomboa wana wa Israel.

WHAT HAPPENED?

1. Of course Yesu alizaliwa Bethlehem.

2. Lakini alikulia Nazarethe.

So Yesu alivyo anza kufanya huduma yake akajulikana kama Yesu Mnazareth.

Ikajulikana hivyo kwamba Yesu anatokea Nazareth.

Mafarisayo, Masadukayo na wayahudi kwa ujumla waka mkataa Yesu kwa sababu wao walikuwa wanajua atatokea Bethlehem na sio Nazareth.

Ndio maana mpaka leo hii wayahudi hawauamini Ukristo. ( Israel sio Taifa la Kikristo) Wana amini Yesu alie tabiriwa bado hajaja. Ni rahisi zaidi kwa Myahudi kuwa muislamu kuliko kuwa mkristu. Tatizo pekee ambalo wayahudi wapo nalo kuhusu uislamu ni uwepo wa Suratul Maryam kwenye Qur'aan Tukufu kwa sababu to them( The jews) Jesus did not exist.

Kuhusu Yesu alie tabiriwa kuja kuwa mkombozi wa wayahudi, wao walijua atakuja Yesu ambae ni genius wa masuala ya kijeshi na kivita katika ulimwengu wa nyama kama alivyo kuwa His Majesty King David, the King of the United Kingdom of Israel and Judah.( usisahau pia ilitabiriwa kuwa Yesu, atazaliwa kwenye nyumba ya Daudi)

Badala yake akaja Yesu anae tangaza amani. Yesu anae sema ukipigwa kofi shavu la kulia geuza la kushoto.. jambo hili liliwafanya wayahudi wampinge Yesu.

Utabiri wangu ulihujumiwa na watu wa kamati ya ufundi wa Yanga ambao baadhi yao wamo humu ndani, kwa kushindwa kushinikiza utabiri wangu ufanyiwe kazi kwa vitendo.

Mimi nilifanya kazi yangu kutabiri kitakacho tokea kwenye mechi nikaweka na conditions halafu ninyi hamjafuata conditions and u expected different results?

Yani nikupe dawa ya kupiga swala halafu nikufundishe na kunyata?

Are u serious??? Mimi nimekupa dawa ya kupiga swala ila kunyata utanyata mwenyewe. Usipo nyata hiyo itakuwa ni shauri yako kwa sababu ukweli ni kwamba swala atakimbia..

Utabiri ni sayansi sio uchawi. Yericko Nyerere anajua vizuri sana kwamba moja kati ya kazi ya taasisi ya kijasusi ( usalama wa nchi) ni kutabiri matukio yatakayo tokea baadae.

Kinacho fanya taasisi hizo kuweza kutabiri yajayo ni sayansi na sio uchawi.

Usalama wanapo kuletea intelligence report kwamba yatatokea mapinduzi ya kijeshi nchini au nchi jirani sio uchawi ni sayansi. .

Emmanuel Macaroni aliingia katika mgogoro mkubwa na mkuu wake wa usalama wa taifa kwa kushindwa kutabiri kuhusu mapinduzi ya kijeshi nchini Niger kupitia kitengo cha External Intelligence katika shirika la usalama la Ufaransa. So utabiri sio uchawi ni sayansi.

Nikisema Maxi Nzengeli atafika mbali kwenye career yake sio uchawi ila ni intelligence. Nimeona bidii yake na nidhamu yake katika kazi yake nikajumlisha uzoefu wangu juu ya kile ninacho kifahamu kuhusu faida za nidhamu na bidii katika.kazi ndio maana nimesema atafika mbali.

Aliwahi kusema mtu mmoja mwenye hekima na busara kwamba " The best way to predict the future is to create it"

Tunaposema kwamba Yanga watashinda goli mbili kipindi cha kwanza na zote atafunga Mzize maana yake ni kwamba tayari tumesha icheza hiyo mechi na hayo ndio matokeo tuliyo yapata... Mnacho takiwa kufanya ninyi kama benchi la ufundi ni kuhakikisha mnapanga kikosi kile kile kilicho shinda mechi tuliyo icheza na sio vinginevyo..

When i say something will happen it is not even a prediction. It is a promise or rather it is an information which is final and conclusive.

Kuhusu mechi ya Yanga na Al Ahly;. Kamati ya ufundi ya Yanga kama mechi hiyo hamuwezi kuicheza nipeni mimi niicheze watoto wadogo ninyi.

Sijawahi kushindwa chochote.

Sijawahi kufeli chochote.

I am specialised in doing the impossible.

Kwa wale mlio patwa na mstuko wa moyo baada ya kusikia nimejitoa jf poleni sana kwa mstuko.

Na kwa wale ambao mmeniomba pm niendelee kuwemo jukwaani nasema maombi yenu nimeyasikia. Nitaendelea kuwepo jukwaani.

Mtu mmoja aliniambia " kaka ukiondoka wewe hapa jf FaizaFoxy atabaki mpweke kwa sababu wewe ndio una mteteaga humu ndani kwa hiyo ninakuomba sana sana usijitoe jukwaani.. Petition Granted.

FaizaFoxy u will never walk alone..

kwa followers wangu wote na wapenzi wote wa mada zangu ambao mliniomba nirejee nasema CONGRATULATIONS for i have comeback
 
Mambo ya Yesu na mpira wapi na wapi.

Wewe uliahidi kujiondoa JF Utopolo wasiposhinda ila waarabu wamekuumbua.
 
1. Mwanaume keeps his promises no matter what.

2. Kwahiyo ulishindwa kutabiri kama utabiri wako utahujumiwa?

3. Kwenye mpira huwa hatutabiri bali tunakisia tuu (kuna tofauti hapo). Ndio mana makampuni ya betting yanaongezeka kila kukicha.
 
2. Kwahiyo ulishindwa kutabiri kama utabiri wako utahujumiwa?

Kwa hiyo Mungu alishindwa kutabiri kwamba Shetani atakuja kumu asi hadi akamuumba?

Haupo makini eeh?

Mbona uzi wangu upo wazi kama.ya mbuzi?

Nimesema wazi kabisa kwamba utabiri sio uchawi ni sayansi. Utabiri sio uchawi ni mipango.

The most best way to predict the future is to create it.

My part in the prediction was to instruct the " technical bench" to make sure that Mzize starts in the game.

The technical bench did not adhere to my instructions. Then how could they get the results?
 
Maelezo mengi sana. Mkuu tumeshafungwa tujipange na mechi ijayo na Ahly Lupaso. Naamini wachezaji watakua wamepata muda wa kutosha kupumzika na kujifanyia tafakari wapi walikosea pamoja na bench lote
 
Back
Top Bottom