Premier League 08/09-Nini utabiri wako?

Matokeo mpaka ya jana tumeyaona kwa haraka haraka kwa msimamo wa ligi ulivyo inaoneka man atautwaa ubingwa. Lakini mimi na msimamo wangu napenda sana achukue Liverpool sababu Chelsea Guus Mwenye ametoa kauli ya kukata tamaa na ubingwa.
Ninavyutaka iwe na si ajabu ikatokea........

Premier
1. Liverpool
2. Man U
3. Arsenal
4. Chelsea

Champions League
Final Asrenal v Chelsea

= Arsenal

FA

Chelsea

Sio mnajimu lakini nina asilimia 90 itatokea
Hivi bado kuna wabishi kukusu bingwa,Benitez na Hidink wameshakata tamaa na mechi za wikiendi hii zitaendelea kudhibitisha bingwa ni na nani kwani Chelsea,ManU na Arsenal wanafikiria nusu fainali ya Champs League
 
Hivi bado kuna wabishi kukusu bingwa,Benitez na Hidink wameshakata tamaa na mechi za wikiendi hii zitaendelea kudhibitisha bingwa ni na nani kwani Chelsea,ManU na Arsenal wanafikiria nusu fainali ya Champs League

Kweli kaka!wa sisi chelsea najua tunaweza kugongwa na West ham kwa sababu sitegemei Hiddink km atatumia wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.Liver najua atajaribu kuendelea kumfukuza Man kwa sababu wao hawapo kwenye CL.ila jamani mimi ni mshabiki wa the blues ila mbio za ubingwa zimefika kikomo.tusubirie tu miujiza.
 
Mliotabiri Chelsea mpo? ina maana Manure wakishinda kiporo chao, gap linakuwa point 9 na Hiddinks mwenyewe keshakubali yaishe, labda sasa tusubirie utabiri wenu kwa chini.
 
top:
1. Liverpool
2. Manure
3. Chelskum

bottom
1. Hull
2. Shearer
3. Wesbromwich

correction

nimechemka haswaaaa

bingwa manure
liver wa pili
chelskum wa tatu

huko mkiani ni hull, shearer na west bromwich
 
Kuna jamaa anaitwa MBU mbona simuoni huku, ameshakimbia?

...still Buzzzzzzzzzzziiiiiiing! :D
sijawahi kupost hapa. Hapahitaji Utabiri kujua, Ubingwa EPL ni wenu MANURE!

View attachment 4395

Amepuliziwa DAWA, "KAFA" :rolleyes:

...bado nipo nipo kwanza, nachonga makali!

Jamani hivi MBU kakimbilia wapi?
Mkuu Mbu leo ana Udhuru kafuatili hatma ya Mbegu zake alizopanda Deci.labda kesho kama atakuwa amefanikiwa leo.

...heri ya DECI kuliko mabilioni ya KIKWETE!

Mtafute kwenye jukwaa la mapenzi...

...na kweli, am addicted there!

Kuna rumous kwamba jamaa anataka kupewa U-Moderator wa hilo jukwaa

...kaka, majungu hayo :D !!!!!!!!!!
 
Barclays Premier League table 2008-2009

3'RD SPOT? ...YES (ARSENAL) WE CAN :D
 
Naskia Wenger hajawahi kumfunga Southgate ngoja tuone leo
 
Shearer anatakiwa kushinda J3 aliposhinda lazima ashuke daraja
 
Naskia Wenger hajawahi kumfunga Southgate ngoja tuone leo


...Belo, jana nilikuwa nawaangalia (Man U) mpaka dsakika ya 48 mlipokuwa mmelala 0 - 2. kuja kuulizia matokeo dakika ya 90 naambiwa mmeshinda 5 - 2 doooooh! Hongereni sana wazee!

Ubingwa ni wenu.

Kuhusu Record ya Wenger kwa Southgate, tusubiri leo...
 
Aisee mimi ni mmoja wa mashabiki watakaoumia sana Newcastle ikishuka daraja. Hii timu ni ya EPL. Nakumbuka enzi za akina David Ginola, yule brother aliyekuwa ana kibwenzi (jina nimesahau), na yule mcolombia aliyekua ana footwork (jina nimesahau). Hapo hata kabla Shearer ajarudi nyumbani.

Leo ni do or die gemu. Go Newcastle!!
 
Aisee mimi ni mmoja wa mashabiki watakaoumia sana Newcastle ikishuka daraja. Hii timu ni ya EPL. Nakumbuka enzi za akina David Ginola, yule brother aliyekuwa ana kibwenzi (jina nimesahau), na yule mcolombia aliyekua ana footwork (jina nimesahau). Hapo hata kabla Shearer ajarudi nyumbani.

Leo ni do or die gemu. Go Newcastle!!
Huyo jamaa anaitwa Faustino Asprilla
Sijui kama watapona hata kama wakishinda leo
 
As it stands...........

P GD PTS
1 Man Utd 33 38 77
2 Liverpool 34 40 74
3 Chelsea 34 36 71
4 Arsenal 34 28 65
5 Aston Villa 34 6 55
6 Everton 34 12 53
7 Fulham 34 6 47
8 West Ham 34 0 45
9 Man City 34 8 44
10 Tottenham 34 0 44
11 Wigan 33 -7 41
12 Stoke 34 -16 39
13 Bolton 34 -11 38
14 Portsmouth 33 -15 37
15 Blackburn 34 -18 37
16 Sunderland 34 -15 35
17 Hull 34 -22 34
18 Middlesbrough 34 -24 31
19 Newcastle 33 -16 30
20 West Brom 34 -30 28

Hull anazidi kuporomoka na baada ya matokeo ya weekend ijayo atakuwa ametua hapo kwenye bottom 3, nahisi Man U atashangazwa na Boro akitia mguu ndani ya Riverside, its not the best time to play hizi timu ambazo zina face relegation, and the Arsenal game will have taken a lot out of Man U regardless of the results. Nahisi pia hapo St James Park kutakuwa na kilio jioni hii.
 
Newcastle hali inamzidia, i do not know why? they have money (among the richest club in the world), wanawachezaji wazuri kama Mark Viduka, Duff, Smith, Owen, Martins, Carroll, Butt etc lakini kaburi la kushuka daraja karibu linakamilika. Lakini bado natumaini watapona.
 
you guys are all out of your minds, i don't say this to be mean but just look at it, liverpool will win the title and Arsenal will finish in the third place
 
Newcastle are pathetic...

I agree, wamedraw leo tena na Pompey, Shearer alisema kama wanataka kupona inabidi washinde mechi zao za nyumbani, next sunday they are up against the mighty Liverpool at Anfield!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom