na hapa ndio tunataka tuone ukombozi wao wa dhati... Hatutaki porojoNilitegemea wabunge wa magwanda wangepinga ongezeko hili la kutisha lakini kimya sioni tofauti kati ya magwanda na magamba wote sawa.
Nilitegemea wabunge wa Magwanda wangepinga ongezeko hili la kutisha lakini kimya sioni tofauti kati ya magwanda na Magamba wote sawa.
Mkuu hata mimi ni CDM ila tunatakaa msimamo wa dhati ikiwezakana zamu hii wabunge wa CDM wagomee hilo daftari na hizo hela wazowekewa via account zao wazirudishe huo ndio uzalendo sasawe we we, acha kabisa una maana unaweza mlinganisha mnyika na nani wa magamba ? Halafu ulitaka cdm wafanyeje wapo wachache angalia mswaada mpaka walitoka nje lakini ukapita tu ,,,,,,hoja yako una chuki binafsi
Nilitegemea wabunge wa Magwanda wangepinga ongezeko hili la kutisha lakini kimya sioni tofauti kati ya magwanda na Magamba wote sawa.
mkuu watakuonea huruma siku ya kampeni kwa maneno matamu na ahadi zisizotekelezeka ...wasubiri 2015kweli aibu ya wananchi waliowachagua, hawana huruma na watumishi? Kima cha chini sh ngapi? Madawa hospitali? Madawati mashuleni? Aibu yao na aibu ya waliowachagua
Ubunge raha
Mbunge yeyote anatakekubali hili ongezeko ni msaliti no excuse
Nimekubali hakuna biashara inayolipa vizuri kwa sasa kama ubunge. 200,000 kwa siku? Enough is enough!
ZAPANDA KUTOKA SH70, 000 HADI 200,000, NI ZAIDI YA ASILIMIA 150
saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! Yaani unapewa bila kuomba. Ila haya yote yalishaongelewa na Yesu, kwamba aliyenacho ataongezewa na asiye na kitu ndo hivyo tena, itaendelea kula kwake hadi umauti, mweeeeeeeeee!
mkuu hata mimi ni cdm ila tunatakaa msimamo wa dhati ikiwezakana zamu hii wabunge wa cdm wagomee hilo daftari na hizo hela wazowekewa via account zao wazirudishe huo ndio uzalendo sasa
Nilitegemea wabunge wa Magwanda wangepinga ongezeko hili la kutisha lakini kimya sioni tofauti kati ya magwanda na Magamba wote sawa.
Vipi mkuu hufatilii bunge mbona chadema walisha piga tangu ikiwa TZS 70,000...Nilitegemea wabunge wa Magwanda wangepinga ongezeko hili la kutisha lakini kimya sioni tofauti kati ya magwanda na Magamba wote sawa.
Mkuu Ruta,kwenye hili hakuna chama tawala au cha upinzani........wote wanashabikia kulipora taifa..................huku hakuna vigezo vya kulinganisha mapato ya wabunge na watendaji wengine serikalini..................................kama ni kubana mkanda si tubane wote lakini wabunge hawataki kwa sababu bunge lao wamelitukuza mithali ya Mwenyezi Mungu pale walipoliita bunge tukufu na wao ni waheshimiwa na sisi wengine hatuna hiyo taswira......ni walalahoi ila muhimu sana katika kuhalalisha ulaji wao kila baada ya miaka mitano