Posho za wabunge zapanda kimyakimya!

Kinachoniuma ni wanafunzi zaidi ya 15000 wa elimu ya juu hawana mkopo. Nikiona maisha yao hapa chuoni nawaonea huruma mno.
 
Hivi kweli 70,000/= haimtoshi mbunge kwa siku? Mweeh........nyie wawakilishi wetu hebu tuoeeni huruma sie wapiga kura wenu ndiyo tuliyo watuma hayo bungeni agrrrrrrrrrrh .
 
Nilitegemea wabunge wa Magwanda wangepinga ongezeko hili la kutisha lakini kimya sioni tofauti kati ya magwanda na Magamba wote sawa.

we we we, acha kabisa una maana unaweza mlinganisha mnyika na nani wa magamba ? halafu ulitaka cdm wafanyeje wapo wachache angalia mswaada mpaka walitoka nje lakini ukapita tu ,,,,,,hoja yako una chuki binafsi
 
yani kuna wabunge wengine wamefikia darasa la 4 analamba fedha hata kuzidi mtu mwenye digrii mh!hapa lazima akina sangoma wanenepe.
 
Kwa Tanzania, SIASA ni uwekezaji. Mmewaambia wabunge wasipokee bahasha wanapokuwa kwenye ziara za kikazi kwenye taasisi za UMMA. Mlitegemea wakae kimya tu!
 
we we we, acha kabisa una maana unaweza mlinganisha mnyika na nani wa magamba ? Halafu ulitaka cdm wafanyeje wapo wachache angalia mswaada mpaka walitoka nje lakini ukapita tu ,,,,,,hoja yako una chuki binafsi
Mkuu hata mimi ni CDM ila tunatakaa msimamo wa dhati ikiwezakana zamu hii wabunge wa CDM wagomee hilo daftari na hizo hela wazowekewa via account zao wazirudishe huo ndio uzalendo sasa
 
The MP of today is thief like any other thief under the sun....The Nyerere products at work.
 
kweli aibu ya wananchi waliowachagua, hawana huruma na watumishi? kima cha chini sh ngapi? madawa hospitali? madawati mashuleni? aibu yao na aibu ya waliowachagua
 
kweli aibu ya wananchi waliowachagua, hawana huruma na watumishi? Kima cha chini sh ngapi? Madawa hospitali? Madawati mashuleni? Aibu yao na aibu ya waliowachagua
mkuu watakuonea huruma siku ya kampeni kwa maneno matamu na ahadi zisizotekelezeka ...wasubiri 2015
 
Ubunge raha

saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! Yaani unapewa bila kuomba. Ila haya yote yalishaongelewa na Yesu, kwamba aliyenacho ataongezewa na asiye na kitu ndo hivyo tena, itaendelea kula kwake hadi umauti, mweeeeeeeeee!
 
Nimekubali hakuna biashara inayolipa vizuri kwa sasa kama ubunge. 200,000 kwa siku? Enough is enough!

ZAPANDA KUTOKA SH70, 000 HADI 200,000, NI ZAIDI YA ASILIMIA 150

Mi naona wapo sahihi tu wanaangalia hata ghalama za maisha pia, je unajua kwamba umeme utapanda kwa kiwango hichohicho January 2012??? baada ya hapo watapandishiwa watumishi wengine kama waalimu na wauguzi
 
saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! Yaani unapewa bila kuomba. Ila haya yote yalishaongelewa na Yesu, kwamba aliyenacho ataongezewa na asiye na kitu ndo hivyo tena, itaendelea kula kwake hadi umauti, mweeeeeeeeee!

Umeona eh! Watajibeba wanaoona wivu
 
mkuu hata mimi ni cdm ila tunatakaa msimamo wa dhati ikiwezakana zamu hii wabunge wa cdm wagomee hilo daftari na hizo hela wazowekewa via account zao wazirudishe huo ndio uzalendo sasa

poa ...kamaa ulifuatilia ule mjadala bungeni si uliona jamaa wa ccm walikuwa tofauti kabisa na cdm yaani maneno makali hata utakumbuka tbc waliwahoji wasira na mbowe mpaka wasira akachukia japo mbowe alimpooza kwa kumwambia anamuheshimu sana wassira lakini kwa hilo hakubaliani nalo na hata spika akifika kusema asie chukuwa a u kusaini posho atachukuliwa hatua,,,tena kama umefuatilia mjadala wa tz we want last sunday lisu alisemea kuhusu posho akasema uwe umesaini au huja saini utaikuta bank,,,hafu kumbuka wabunge wote walisha chukuwa posho zote kama mkopo kwa mujibu wa lukuvi akiongea na tbc wakiwa pamoja na mbowe

 
Ni nani mwenye mamlaka ya kuengeza posho za wabunge? Na ni process gani inatakiwa ifuatwe kabla ya kuidhinisha nyongeza za posho au hata mishahara ya wabunge?

Majibu ya mbunge mmoja mmoja hayasadii ni vizuri kujua mfumo ukoje!
 
Nilitegemea wabunge wa Magwanda wangepinga ongezeko hili la kutisha lakini kimya sioni tofauti kati ya magwanda na Magamba wote sawa.

Waliposema wakati ule walipuuzwa na kuonekana wanajitafutia umaarufu. Sasa unataka waseme ili nani asikilize? Wananchi hamna msimamo,hadi mpate akili waacheni wale.
 
Nilitegemea wabunge wa Magwanda wangepinga ongezeko hili la kutisha lakini kimya sioni tofauti kati ya magwanda na Magamba wote sawa.
Vipi mkuu hufatilii bunge mbona chadema walisha piga tangu ikiwa TZS 70,000...
kwenye hili hakuna chama tawala au cha upinzani........wote wanashabikia kulipora taifa..................huku hakuna vigezo vya kulinganisha mapato ya wabunge na watendaji wengine serikalini..................................kama ni kubana mkanda si tubane wote lakini wabunge hawataki kwa sababu bunge lao wamelitukuza mithali ya Mwenyezi Mungu pale walipoliita bunge tukufu na wao ni waheshimiwa na sisi wengine hatuna hiyo taswira......ni walalahoi ila muhimu sana katika kuhalalisha ulaji wao kila baada ya miaka mitano
Mkuu Ruta,
tuache unafiki chadema walipiga kelele watu tukawa tunawabeza vipi leo tena tuwalaumu...
je wewe kama mwananchi mlala hoi ulichukua jukumu gani kupiga au kuwaunga mkono chadema...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom