Posho za wabunge: Kigwangala on January Makamba

Hivi huyu Januari Makamba si aliwahi kukusanyiwa pesa na dada yake kutoka kwa wazungu...ilikuwa USD 1mn hivi siyo? Inawezekana bado anazo pesa za kutumia huyu na sasa anawakoga wenzake kwa kujidai hataki posho na ana machungu na watanzania. Anatafuta cheap popularity tu huyu, hamna kitu gamba naye tu
 
Wanajf,
Gazeti la Majira la leo limeripoti tofauti ya kimtazamo kati ya wabunge wa ccm kuhusu posho. Tofauti hizo sasa wameamua kuziweka hadharani wazi wazi. Gazeti la majira lilimnukuu Dr Kingwagala ktk face book wall yake akisema;
Mh January Yusuph Makamba has the following platform; Bunge, kamati kuu ccm, Halmashauri kuu ya ccm Taifa, secretariet ya ccm na kamati ya uongozi ya Bunge. Hivi ni halali kwa yeye na nafasi zake kutoa kauli hadharani ilihali ana fursa zote hizi kuzuia ama kurekebisha? kama hataki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zisitolewe?. Wenzangu (mtandao wa face book) mnalionaje hilo.
Hata hivyo, kwa mujibu wa gazeti hilo, watu wengi walimpinga. Kati ya wachangiaji 270 ni watu 2 tu waliomuunga mkono. Wengi walionekana kumpinga na kuonesha wazi wazi dalili za kutompigia kura mwaka 2015 kutokana msimamo wake huo.

My take;
Wakati yeye analalamlalamika J Makamba kupinga posho hadharani, je, Face book ni kikao gani kwa mujibu wa katiba ya ccm?
 
HALAFU NA WEE BANA DAA KUMBE KISWAHILI KIGUMU SANA,SASA HAPO HAWA JAMAA WAMEGOMBANA NINI??KILA MTU ANATOA MSIMAMO WAKE WEWE UNASEMA WANAGOMBANA??

MODERATORS TUAMBIENI KAMA MTU AKIPOST SANA ANALIPWA TUJUE MAANA HIZI NYINGINE SIO ZA KUWEKA HAPA

aaaaaaaah;;
 
Kwa maana hiyo Shibuda na Zitto wanagombana kila kukicha kwa kuwa Shibuda anapenda posho ziongezwe wakati Zitto hachukui posho!!
 
HALAFU NA WEE BANA DAA KUMBE KISWAHILI KIGUMU SANA,SASA HAPO HAWA JAMAA WAMEGOMBANA NINI??KILA MTU ANATOA MSIMAMO WAKE WEWE UNASEMA WANAGOMBANA??

MODERATORS TUAMBIENI KAMA MTU AKIPOST SANA ANALIPWA TUJUE MAANA HIZI NYINGINE SIO ZA KUWEKA HAPA

aaaaaaaah;;
Mkuu,
Neno kugombana is a relative term. Haina maana moja ya kupigana ngumi/fimbo.
 
Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:

“Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sekretariet ya CCM, Kamati ya Uongozi ya Bunge...hivi ni haki na halali kwa yeye na nafasi yake kutoa kauli ya kupinga posho hadharani ilhali ana fursa zote hizi za kuzuia ama kurekebisha? Kama hazitaki hizo posho si angeweza tu kuacha kuzichukua, ama angeweza kushawishi chama na serikali kwamba hazifai na zitolewe ama zisiongezwe! Wenzangu mnaonaje hili! Hivi wana-CCM wenzangu tumerogwa ama?”
Hiyo ndiyo siasa mkuu, unapima upepo unakoelekea unazungumza bila kujali ni msimamo wa chama ama sivyo. Kwa mfano Dkt J. M. Kikwete aliamua kuanzisha mjadala wa katiba mpya ingawa haikuwa katika ilani au sera za chama. Kwa hivyo simshangai hata huyu mtoto wa Yusuf. HEKO kijana.
 
Ninavyoona mimi huyu Januari anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu na Kigwangala yuko sahihi kabisa. Huwezi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama tawala na ukaenda hadharani kupayuka, huu ni utoto. Januari must grow up!

Kigwangale ananifurahisha kwa kuwa na mtazamo wake binafsi na wala usiopelekwa na upepo wa kutafuta umaarufu wala nini. Nimesoma kwenye blogu yake msimamo wake kuhusu posho na kwa kweli ameeleweka vizuri sana. Dogo yuko smart huyu acha tumfuatilie tuone anapoelekea. Hata yeye hajakubali ongezeko hili la posho, ni vile tu hatafuti umaarufu kwa kuutangaza msimamo wake hadharani kama wengine wanavyofanya. Someni press release yake hapa www.kigwangalla.blogspot.com
 
Ila ingekuwa interesting kupata maoni ya Lowassa juu ya ongezeko la posho! What do u think Pasco? Won't that be a story?
Kaunga, kupa maoni ya Lowassa kuhusu suala la posho?, hii ni simple tuu, kwa vile mimi niko kwenye payroll yake, basi nitawapatia maoni yake ili kuhalalisha malipo yake, ili kazi ya kumsafisha iendelee vizuri!. Nitafanya nae mahojiano na kumuanzishia thread yake!.
 
...Lol!
 
Back
Top Bottom