shugri
Member
- Mar 22, 2010
- 67
- 11
Ndugu zangu ingawa niko mbali ila taarifa za kuaminika kutoma UDOM- Chimwaga dakika chache baada ya kiako na waziri mkuu kimethibitisha kwamba wahadhiri wa UDOM walikuwa wakichakachuliwa mishahara yao na waziri mkuu kaahidi kuwa ndani ya mwezi wa pili kila mhadhiri atapata haki yake- napenda kutoa shukrani za dhati kwa viongozi wote wa UDOMASA na wahadhiri wote wa UDOM kwa Ujumla- ama kweli furaha niliyonayo haina kifani- LEO UDOM imenifundisha kuwa HAKI TA MTU haipotei- SASA KIKULA KUJIUZULU LINI?