Pongezi udomasa

shugri

Member
Mar 22, 2010
67
11
Ndugu zangu ingawa niko mbali ila taarifa za kuaminika kutoma UDOM- Chimwaga dakika chache baada ya kiako na waziri mkuu kimethibitisha kwamba wahadhiri wa UDOM walikuwa wakichakachuliwa mishahara yao na waziri mkuu kaahidi kuwa ndani ya mwezi wa pili kila mhadhiri atapata haki yake- napenda kutoa shukrani za dhati kwa viongozi wote wa UDOMASA na wahadhiri wote wa UDOM kwa Ujumla- ama kweli furaha niliyonayo haina kifani- LEO UDOM imenifundisha kuwa HAKI TA MTU haipotei- SASA KIKULA KUJIUZULU LINI?
 
Wahusika wawajibishwe kama ni hivyo. Haiwezekani watu wachakachuliwe mishahara yao kisha watu wachekelee.
 
ndugu nipo na wewe kwa asilimia 1000%
NANI MWIZ? NA MBONA HATUJASIKIA HATUA ZITAKAZOCHUKULIWA?
 
ndugu nipo na wewe kwa asilimia 1000%
NANI MWIZ? NA MBONA HATUJASIKIA HATUA ZITAKAZOCHUKULIWA?
Hali hii inatisha sana kila haki ikipatikana kwa njia ya migomo kweli nchi itakuwaje si kila siku itakuwa migomo na maandamano tu? Uongozi wote uchukuliwe hatua za kinidhamu na ziwekwe wazi ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom