Elections 2010 Poll of polls; mjumuisho wa tafiti

Luteni,
Shukrani kwa kufanya muktasari wa polls, maana hii ni 'MOTHER of All POLLS'. Itakuwa vyema kama MOD ataifanya hii post ya LUTENI ndiyo kipima joto halisi cha kuonyesha mwendo mdundo wa wananchi wanavyoikubali CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Wananchi hizi ni dakika za majeruhi, hivyo tuchangie CHADEMA kupata mabadiliko ya kweli. CHADEMA wameonyesha pamoja tunaweza na hata hii post ya LUTENI hapa JF kuhusu MJUMUISHO WA TAFITI zinaonyesha hakuna shaka kabisa kwa wewe Mtanzania kuipa kura ya NDIYO kwa CHADEMA na pia kuchangia fedha ili kupata maendeleo ya kweli kwa kila Mtanzania.

 
Last edited by a moderator:
The table below displays data from ten key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more detail

.........................TOPS..TCIB...REDET..Synovate....JF....M/Halisi....CACT..M/nchi....DNews...UWT...AV %

Jakaya Kikwete.....19.......41.......71..........61........23.......08.........12........23........18........48.....32.4%

Willibrod Slaa........75......45.......12..........16.........68.......87........73.........71.......77........52.....57.6%

Ibrahim Lipumba....03......10.......10..........05.........03.......04.........09........05........02........00.....05.1%

Others................03......04........07.........18.........06.......01.........06........01........03........00.....04.9%


UPDATES 15 Oct 10
Kwa data hizi lazima matumbo yawacheze.
 
utafiti TCIB hauna kiwango, hautambuliki na haukubaliki lazima tuudharau na tuutupe
kwanza umekuja klwa shindikizo la chadema kujiweka sawa baada ya kutupwa kwa mbali na Kijikampuni husika hakitamnbuliki kwa wananchi, kwa hivyo umechakachuliwa na kuzakazuliwa
huu watz wameupuuza kabisa.
hongera watz kwa kuudharau
Umeudharau mwenyewe usiye mtanzania. WATANZANIA TUMEUKUBALI
 
utafiti TCIB hauna kiwango, hautambuliki na haukubaliki lazima tuudharau na tuutupe
kwanza umekuja klwa shindikizo la chadema kujiweka sawa baada ya kutupwa kwa mbali na Kijikampuni husika hakitamnbuliki kwa wananchi, kwa hivyo umechakachuliwa na kuzakazuliwa
huu watz wameupuuza kabisa.
hongera watz kwa kuudharau
vichwa vinawauma........!
na bado
 
wa redet ulofanya kwa mabalozi na synovate walopewa tenda na ikulu ndo unaviwango! hiyo ndo hasara ya kuwa na malaria sugu.
 
wakeleketwa wote wa ccm wanamaleria sugu ndo na imewapooza ubongo. hivyo hatuna muda wa kuhangaika na vichaa
 
pole MS kwa kukerwa na tafiti ya TCIB kwa kuwa haikukubali ule mgao wenu kwa tafiti.
Ila amini kwamba hata shetani humpuuza Mungu lakini kibano kipo palepale
 
utafiti TCIB hauna kiwango, hautambuliki na haukubaliki lazima tuudharau na tuutupe
kwanza umekuja klwa shindikizo la chadema kujiweka sawa baada ya kutupwa kwa mbali na Kijikampuni husika hakitamnbuliki kwa wananchi, kwa hivyo umechakachuliwa na kuzakazuliwa
huu watz wameupuuza kabisa.
hongera watz kwa kuudharau
As a matter of fact utafiti huu ndio ulikuwa na viwango vya juu kuliko zile mbili za Redet na Synoveta.Huu uliingia ndani kabisa kuangalia hata ushabiki wa chama kwa waliohojiwa.Hilo ni muhimu, na umeona independents walivyo wengi an asilimia kubwa wanamuunga mkono mgombea wa chadema. TCIB wamefanya utafiti hadi kuangalia umri etc. Please huu upupu wako uloandika hapo juu unanuka!!
 
...ms nipe sifa za utafiti wa jinsi hii ya tcib, redet na synovate yaani credit zake zinatokana na nini?
 
Nimefanya compilation ndogo hapa. Nimetumia opinion polls za vituo/centre 5. Namely Mwananchi, Synovate, JF, REDET and Mwnahalisi.

Matoke ni kama ifuatavyo


mwnch Slaa 73% JK 21 %
JF Slaa 68% JK 23%
Redet Slaa18% JK70%
synovate Slaa16% JK61%
mwnhalisi Slaa 87% JK8%

Watani Slaa 52.4% JK 36.6%

Source: Author own computation using Data from Mwan, JF, Redet Syn, Mwanah


Ukiweka centre zote Slaa anamzidi Kikwete kwa asilimia zaidi ya 16.

Ukiondoka vituo ambavyo matokeo yake yanapigwa kwa kiwango kikubwa Slaa anamzidi Kikwete kwa zaidi ya asilimia 59



Wkend Njema
 
Kama siyo mshabiki wa chama chochote na unajua jinsi tafiti zinavyofanyika CTIB ndiyo wamejitahidi zaidi kuliko tafiti zilizotangulia yaani za REDET naa SYVONTE. Tatizo linalotusumbua ni ushabiki, lakini kama ungekuwa ndiyo prof. umepewa umark tafiti tatu zote jibu unajua nani angeibuka mshindi wa kwanza.
 
nina quarrel na mwalimu wangu wa hesabu wa primary. sisalimiani naye mpaka leo.
Mkuu hesabu hiyo imetulia ila fomula imenipa kizunguzungu. fafanua in details mkuu.
 
Kujulikana kwa kampuni na kutoa kazi yake ni vitu viwili tofauti. Synovate na redet zilishushwa? Au kwa vile sino ni ya wazungu na redet ni ya maswahiba? Jiheshimu mkuu wa plasmodium parasites
 
Wabush amechukua za Dr Slaa (PhD), kupata wastani ni sawa na

X = (73+68+18+16+87)/5 = 52.4%;

The same applies to JK ambayo ni

Y =(21+23+70+61+8)/5 =36.6%

Wabush, ahsante naona weekend imeenda vizuri kabisaaaaa. Dr Slaa, the new Hope.
 
Back
Top Bottom