Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Nimeamini JF Kuna VICHWA
nachoona mimi mambo matatu. moja hapa JF upenzi kwa slaa uko wazi. pili, kila alipopata bahati ya kukanyaga dr. slaa watu wamezinduka. tatu, baadhi ya majimbo machache ambapo wagombea wa chadema ni wachakarikaji kuna matumaini.
maswali ya kujiuliza;
ni watanzania wangapi wanaopita kwenye blog hii? ukiangalia ile ripoti (ya kupikwa) ya redet inaonesha slaa anakubalika kinondoni kwa asilimia 64 ikifuatiwa na kigoma vijijini kwa asilimia 56. basi, kwingine kote hakuna kitu. tafsiri yangu ni kwamba kinondoni ndiko wanakoishi watanzania wengi wenye access na umeme na internet (kazini kwao au binafsi). pia kigoma vijijini ndiko kuliko jimbo la kigoma kaskazini ambako zitto ni anakubalika. majimbo mengine yote ambako chadema wanakubalika hayakupitiwa na utafiti wa redet. majimbo kama vile moshi mjini, karatu, n.k.
pia najiuliza ni kwa namna gani wana JF wanajipanga kupanua ushabiki huu wa kwenye blogu kuupeleka vijinini, hasa kule ambako dr. slaa hataweza kufika? hii ni changamoto ambayo kama haitafanyika, tusithubutu kuamini kwamba kwa kuwa hapa janvini tuko passionate basi watanzania wote wako passionate. tutafanya wanachosema waingereza over-generalization ambayo inaweza kula kwetu vibaya sana

Sasa Mkuu wewe unataka iweje? Si vibaya watu wanapoonyesha hisia zao pale wanapopata nafasi, na kama hizo hisia zao zitaleta mafanikio, ni vyema kwao.tupunguze ushabiki wa pupa na hasira. tujaribu kujipanga zaidi badala ya kuamini kwamba kazi imekwisha kila mtu atampigia dr. slaa kura. hahisi ni imani hatari kiasi
Nenda kafanye utafiti kule unakofikiria Dr. Slaa hatafika uone mwamko ulivyo. Pengine utaona hakuna haja ya kuendelea na thread hii
Mimi pia selewi hata hayo maeneo unayoyazungumzia yapo wapi naishi kijijiiiini hamna umeme wala internet labada uenda mjini ila kila mtu hapa amejipiga muhuri uloandikwa dr slaa yani huwaambii kitu kwa dr slaa kudadadeki
Asante sana Luteni kwa mchango huu.
Mie nashauri huu WASTANI WA KURA ZA MAONI uzungumziwe na CHADEMA kila itakapopatikana nafasi kwenye redio na TV, na uwekwe kwenye magazeti, hata ikibidi kama advertisement.
The table below displays data from eight key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more detail
.......................TOPS....REDET....Synovate.....JF....M/halisi....CACT....Dailynews....UWT...AV %
Jakaya Kikwete.....18........71............61........22.......08........12............18...........48.....32.25%
Willibrod Slaa........76........12...........16.........69.......87........73............77...........52.....57.75%
Ibrahim Lipumba....05........10............05........03.......04........09............02...........00.....04.75%
Others.................01........07...........18.........06.......01.........06...........03...........00.....05.25%