Polisi waua tena wana nchi ubaruku

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Ni hukoo mbeya,wametumia risasi za moto kuzuia vurugu.
wawili wamefariki,mmoja risasi kichwani.

Sababu,......?tusuburi wanahabari watwambie

Source:wapo radio
 
so terrible,yani wao risasi ndo za kutulizia ghasia
 
Risasi zinatengenezwa mzinga pale... lakini mabomu ya machozi pesa za kigeni zinatumika. hivyo basi jueni kwamba pesa za kigeni zinahitajika sana kwa sasa. Wanaona ni bora kupunguza mkorofi mmoja kwa risasi kuliko kuwatawanya mamia kwa bomu la machozi!! Hii ndio Tanzania na mfumo huo uliasisiwa na Bwana Paul Sozigwa. Mpaka leo haujafutwa na bila katiba mpya hautofutika.
 
Lazima tujali na kuthamini maisha ya mtu bila kujali chama anachoshabikia.
Tutaanza kujali pale yakifika majumbani kwetu YAKATUHUSU! Tunapenda kushabikia TAUNI ikiingia kwa JIRANI kwa maana IMEMKOMESHA.. bila kutazama na kukumbukwa kwamba TAUNI ikiingia ITAMALIZA MJI MZIMA!

Watanzania pole yetu
 
Lazima tujali na kuthamini maisha ya mtu bila kujali chama anachoshabikia.

Ni kweli mkuu! Ikizingatiwa ni wananchi wenzetu na wa hali ya chini ila wangeuwawa mafisadi kama Rostam, JK, Lowassa, Makamba and the other few CCM elites hata mimi ningefurahia. Hata wanachama wa CCM (isipokuwa mafisadi na wanaoneemeka na ufisadi) wanaichukia serikali na wanapenda mabadiliko ni wenzetu hawa!! Nawapa pole waliouwawa nina imani hizo damu zinazomwagika hazipotei bure!!
 
Watanzania kuna haja sasa kufikirie mara moja tuunde vikundi vya kutulinda nchini maana sasa ni wazi kwamba hatuna mtetezi tena na kwamba kumbe tangazo la Kikwete kwamba mwaka huu ni MWAKA WA KATIBA alikuwa akimaanisha MWKA HUU NI WAKA WA MAUAJI YA RAIA.

Wananchi tuunde vijeshi vyetu kama watu wa Tarime na Pemba huko laa sivyo tutakwisha. Nasema kila mmoja na bunduki na risasi zake ndio taifa analolitaka sasa hivi Kikwete. Hadi anaondika Watanzania tutakua tumeuaua wengi sana.

Hiyo tamko la polisi maana yake ni kwamba hawako kwa ajili ya raia bali ni kwa ajili ya raisi. Jamani tutakwishaaaaaaaaaaaaaa kama kweli Kikwete kapata ujasiri wa kaua tena Mbeya hata kabla marehemu Denisi hajazikwa!!!!!!!!!!!!!!!!

Jamani kumbe dawa ni KISASI TU HAPAAAAA DAWA NI KUFA NA MTUU JAAAMMAAE NAJISIKIA KUFA NA MTU!!!!!!!!!!
 
Ee Mungu uwape akili, busara na hekima hawa ndugu zetu polisi maana hawajui wanalofanya. wataua hata watoto wao wa kuzaa wakiendelea kwa style hii.
 
Jamani Watanzania wenzangu sasa naelewa kwa nini mataifa mengine watu huingia msituni. Lakini kwa hapa kwetu hakna haja ya kuingia msituni ila kwa mauaji ya Watanzania namna hii bunduki na risasi ziwepo kila nyumba na watu kujilinda.

Kweli Kikwete kaua tena Watanzani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom