Polisi wadai Dr Slaa alikuwa na bunduki

Hii habari ni sumu humu JF sasa hivi Mods wataitoa waichanganye na thread zingine...

Dr Slaa risasi 17 unakwenda vitani?
Tena ningekuwa nayo mimi nisingemwacha mtu mnadhani mnazonyie tu hata sisi tunazo ila hatupendi kujionyesha iko siku tutazitoa na hapo ndipo mtakapo tafuta pakutokea mmezidi kuonea.....
 
Kosa la kukutwa na bastol fine yake ni Tshs. laki moja. Si mnakumbuka yule Msomali Rage alipanda nayo jukwaani kabisa kule Igunga

Na ile siyo fine ya polisi, ilikuwa ni fine ya msajili wa vyama! Polis hawakumgusa yule msomali!
 
Dah,hivi Sniper hazipatikani Tanzania?
Me naitaka hiyo aisee,....jiwe moja tu linamaliza kazi.
 
Nimesikia mashitaka kule mahakamani neno silaha halikutajwa nashangaa inakuwa news .We all know kwamba Slaa anayo silaha muda wote na wala hajawahi itumia vibaya .Alikamatwa na hakutishia lolote .Tujadili hoja .
 
Kuwa na bastola ni swala la kawaida-mbona kina RAGE walikuwa nazo na polisi hawakuziona-hadi waandishi walipopiga picha
so bastola kwa sasa ni swala la kawaida tu
 
shabiki wa kisiasa ndiye tu ataona ni makosa kumkamata Dr Balaa lakini kilichotokea jana anastahiri kwenda jela ndio maana ya kuwepo kwa dola
 
hakuna haja ya kulalamika walitangaza kulala siku saba na polisi wakatangaza kuwa hamtalala siku saba
 
Hakuna mbaya lolote Slaa kukutwa na siraha mana anaimiliki kiharali na anajirinda nayo yeye wenyewe! Sijui hapo magamba watasemaje!
 
HAYO MADUKA YA SILAHA YALIYOZAGAA KILA KONA TZ NZIMA NI KWA AJILI ya KUWAUZIA KINANANI KM C MIMI WEWE, SLAA, RUGE, NAPE NA MTANZANIA YYT MWENYE SIFA YA KUMILIKI SILAHA?? amakweli polisi wa tanzania hawana A.KILI.
 
kama mahabusu ni kuzuri Dr Balaa akapate kusimuliwa na Lema. Lema alikataa dhamana akidhani kuna mahabusu ya wabunge kumbe mahabusu hakuna sheria wakikutamani wanajichukulia kwa nguvu alipotaka kutoka wafungwa wameomba aendelee kubaki
 
Mkuu nadhani umesahau ule usemi unaosema kuku akinya kanya ila bata kaharisha ndo wanalolitumia police wetu
 
Back
Top Bottom