Polisi wadai Dr Slaa alikuwa na bunduki

kumbe Dr Slaa ni msomali na pacha wa Ismael Aden Rage wote wanatembea na Silaha kiunoni wametoka bila bila
 
Kamanda MBOWE mbona alisepa na kuteleza kama kambale tofauti na kauli zake za nguvu pepoooooooooooooo pawa, Binafsi nilidhani angeonyesha ukakamavu kwa wafuasi wake kwa kubaki uwanjani mpaka akamatwe
Jamaa mayai!!, Alipoulizwa kwanini hajawakilisha mahesabu ya mali zake, alisema kesi zake zinampa stress.
Movement itoke kwa watu wenyewe, siyo viongozi wa chama fulani. Watu wakiamua kulianzisha, hata leo hii NMC ingekuwa full mkoba!.. but tat was not the case.
 
Ni jana tu tumeambiwa ukombozi utaanzia Arusha mbona sasa nasikia sauti za vilio vya wafuasi wa chadema wameshindwa kuiteka benghaz?

Wewe endelea kulala, utaamshwa siku ukombozi ukiwa umepatikana, ni mapema sana wewe kuongea hivyo
 
Polisi mkoani Arusha wanadai kuwa baadhi ya wana-CHADEMA waliokuwa kwenye Mkesha wa NMC jumatatu usiku walikuwa na silaha za moto.

Kaimu Kamanda, Akili Mpwapwa amesema kuwa Dr Wilbroad Slaa alikutwa na Bastola Walther Pistol T2-CAR-61074-327963 wakati alipokamatwa na Bwana Daniel Ezekiel Ogongo ambaye pia alikamatwa kwenye tukio hilo akidaiwa kuwa na Pietro Beretta H-447577 CAT5802

Cha kushangaza ni kwamba wakati Polisi ikiwaburuza mahakamani wafuasi wa CHADEMA wale wanachama wa CCM ambao wiki kadhaa zilizopita walikutwa na kosa hilo hilo la kuandamana na kufanya mikutano bila kibali mjini Arusha wamesamehewa na kupewa onyo kali!

Polisi wamekiri kuwa pamoja na kwamba wakeshaji pale NMC walikuwa hawajajiandaa na walipovamiwa walikuwa tayari wamechoka kwa kuimba usiku kucha, bila chakula na kwenye mvua na baridi kali bado wasingeweza kuwadhibiti na hivyo kulazimika kutumia magari nane pamoja na lile lori lenye maji ya kuwasha.

Na haikuwa rahisi pia, pamoja na zana zote hizo.

Kama wana akili wangetakiwa kujua kuwa hakika hali inaenda kuwa mbaya.
Acha uongo wako wa KISHOGA wewe,sikiliza taarifa vizuri.
 
Kamanda MBOWE mbona alisepa na kuteleza kama kambale tofauti na kauli zake za nguvu pepoooooooooooooo pawa, Binafsi nilidhani angeonyesha ukakamavu kwa wafuasi wake kwa kubaki uwanjani mpaka akamatwe

Huyu jamaa alivyosepa imekaa sawa,kitu huyu jamaa anachofanya amesepa ataenda Dar akifika atajipeleka polisi,polisi watamkamata wamsafirishe kwa ndege ya jeshi ya kukodi mpaka Arusha akaunganishwe na wenzake,kwa hiyo hapo popularity itakua juu tayari.
 
Kwa niaba ya uongozi wa CHADEMA ukombozi umeshindika tunaomba radhi kwa Rais kikwete hatutarudia tena kukusanyika kama Libya tunajuta

Hivi na wewe ni mwanaJF au umetumwa kuja kulamba viatu vya mabwana zako? Shame on you! Unatia kichefuchefu
 
Polisi mkoani Arusha wanadai kuwa baadhi ya wana-CHADEMA waliokuwa kwenye Mkesha wa NMC jumatatu usiku walikuwa na silaha za moto.

Kaimu Kamanda, Akili Mpwapwa amesema kuwa Dr Wilbroad Slaa alikutwa na Bastola Walther Pistol T2-CAR-61074-327963 wakati alipokamatwa na Bwana Daniel Ezekiel Ogongo ambaye pia alikamatwa kwenye tukio hilo akidaiwa kuwa na Pietro Beretta H-447577 CAT5802

Cha kushangaza ni kwamba wakati Polisi ikiwaburuza mahakamani wafuasi wa CHADEMA wale wanachama wa CCM ambao wiki kadhaa zilizopita walikutwa na kosa hilo hilo la kuandamana na kufanya mikutano bila kibali mjini Arusha wamesamehewa na kupewa onyo kali!

Polisi wamekiri kuwa pamoja na kwamba wakeshaji pale NMC walikuwa hawajajiandaa na walipovamiwa walikuwa tayari wamechoka kwa kuimba usiku kucha, bila chakula na kwenye mvua na baridi kali bado wasingeweza kuwadhibiti na hivyo kulazimika kutumia magari nane pamoja na lile lori lenye maji ya kuwasha.

Na haikuwa rahisi pia, pamoja na zana zote hizo.

Kama wana akili wangetakiwa kujua kuwa hakika hali inaenda kuwa mbaya.
Kwani Bastola ni Bunduki?Na je alikutwa nazo zote 2 yeye mwenyewe?Mbona heading ya post yako inatofautiana na ulichokiandika?MASABURI MENGINE BWANA..?
 
kama mahabusu ni kuzuri Dr Balaa akapate kusimuliwa na Lema. Lema alikataa dhamana akidhani kuna mahabusu ya wabunge kumbe mahabusu hakuna sheria wakikutamani wanajichukulia kwa nguvu alipotaka kutoka wafungwa wameomba aendelee kubaki

Ulijuaje hayo? Pole kwa kudungwa maana una uzoefu wa hali ya juu
 
user-online.png
kuzou

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 20th October 2011
Posts : 43
Rep Power : 0

huyu ni hewa tena hewa chafu imtokayo mwanadamu!
 
Yani serikali ya CCM inaudhi balaa,wale umoja wa vijana kina MILLYA na MALISA walifanya mkutano na mandamano bila kibari eti polisi wakawapa onyo,ila kwa CHADEMA sheria lazima ichukue mkondo wake,kweli CCM na POLISI wake wanakera na heri watoweke hapa duniani.MUNGU IBARIKI CHADEMA,FREEDOM IS COMING.
 
Kosa la kukutwa na bastol fine yake ni Tshs. laki moja. Si mnakumbuka yule Msomali Rage alipanda nayo jukwaani kabisa kule Igunga

Ninachojua kuwa na silaha aina ya bastola au bunduki yoyote iliyopatikana kihalali siyo kosa kabisa. Na ndiyo maana Polisi wameshindwa kusema kama ni kosa kuwa na silaha kwani unapoomba kibali cha kumiliki silaha unatoa sababu za kuitaka na sababu kubwa huwa ni kujilinda na kulinda mali. Kama Dr. slaa angekuwa anataka kuitumia silaha hiyo kupambana na polisi basi angefyatua risasi kitu ambacho hakikutokea.

Achana na mkutano wa CDM ukikagua magari binafsi ya watu wengi lazima utakuta wana bastola wanazomiki kihalali. Silaha kama bastola siyo ya kuhifadhi chini ya godoro bali ni kama sime ya mmasai sasa nashindwa kujua cha ajabu Slaa kuwa na bastola ni nini?. Polisi wanataka kuijengea jamii taswira kuwa CDM wamejiandaa kupigana na wao yaani wanataka ionekan kama CDM ni rebels
 
Back
Top Bottom