POLISI Mwanza Wapiga STOP Mkutano wa Hadhara wa CHAGULANI: Hofu ya makundi yatanda CDM

Kwenye hili la mwanza nionavyo mimi,kamati kuu na tume iliyotumwa mwanza vimeshindwa kutambua kiini cha mgogoro uliopo. Ukweli ni kuwa, chadema mwanza kunaviongozi wasiopenda mawazo mbadala na kukosolewa. Hivi wamejiuliza kwanini huko nyuma kuliibuka jumuia ya vijana chadema ilihali kuna BAVICHA? Hiv nikwanini kwenye kila issue imuhusuyo WENJE DIBOGO watuhumiwa wanahukumiwa bila ya kusikilizwa?
Napenda kuwapa ushauri wa bureee!!! CHADEMA TAIFA, muache mapenzi yaliyopitiliza kwa WENJE. Chunguzeni kiini cha tatizo. Au ndo kusema nanyi mnaunda CCM mpya? Hayahaya ndo yaliwandoa KAFULILA na MACHALI toka CHADEMA.
Kibaya zaidi mh Dk SLAA, yawezekana ukawa ndo chanzo cha fukuto lote hili, hasa kaulizako ulizozitoa TAI5,( kwa ustawi wa chama sitapenda kuzitoa huma)

Kivyovyote vile, CHADEMA mwanza kuna matatizo yanayoijtaji utatuzi wa haki na busara.Tusiishie kutoa majibu mepesi eti mapandikizi (we need to think deep) yawezekana anayetuhumu wenzake kuwa mapandikizi, yeye ndo pandikizi la ukweli
Ccm igeni cdm.waloshindikana fukuza.chagulani ana uroho wa madaraka.amia kwa nape
 
Acha mbwembwe sema tu otherwise yale yale ya kutapatapa!
 
Wacheni unafiq chadema!cuf walivowatimua akiba Hamad Rashid mliropoka kweli hapa leo kisahanu kimerudi kwenu mnatetea!!

Hivi humu ndani tunatambuane zaidi hizi ID zetu? au kuna utambulisho mwingine wa ziada?maana unasema acheni unafiki, mliropoka (inamaanisha kwamba kwamba tumo humu ki vikundi), kabla ya kumshutumu mtu inabidi ufuatilie kwanza post zake na zile anazo-comment, kuna watu humu wanajulikana wapo upande upi wengine tuna-comment based on situation hata ukiisoma hiyo comment yangu inajieleza maana tumezoea sio kwenye chama tu hata katika maisha yetu ya kawaida mtu anapokosea huwa tunamwambia katika lugha ya kurembaremaba, mie ninachoamini palipo na mgongano ndipo pana mafanikio kwani sheria na taratibu zilizowekwa na wahusika zinatafsiriwa kwa vitendo na ndio maana wahusika waliofukuzwa wamekwenda mahakamani kutafuta haki yao mwisho wa siku yataonekana mapungufu yapo wapi hence wanaboresha sheria na taratibu zao kama taasisi (na ndio uhai wa chama chochote cha siasa) na ndio maana vyama kama CDM, NCCR, CUF na CCM vipo mpaka sasa japokuwa kila chama kina approach yake ya kutatua matatizo lakini vyote vimepitia huko kwenye kufukuza pia wakati mwingine kuna mbinu nyingine inatumiwa ya KUUNDIWA ZENGWE mtu unajitoa mwenyewe (hii ipo sana kwenye vyama vya siasa ila wengi huwa hawaioni)
 
Back
Top Bottom