Pole Saana na Msiba Roulette

tuko pamoja nao ndugu wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote. Pole dada Russian pole. Nalog off
 
Pole sana dear.....RIP little angel.....
Waleteni watoto wadogo waje kwangu, pole sana Russian lakini jipe moyo malaika huyo yupo mikono salama kabisa ya Allah S.W. Shida ipo kwa sisi watu wazima, ni bora kifo hicho kikawa mawaidha kwako kuelekea kumcha Mola wako. Narudia tena, pole sana.

 
Wakati mwingine inakua ni vigumu sana kuamini kinachokua kinatokea,lakini kinakuwa kimetoke bahati mbaya hatuwezi kubadili matokeo.Mungu huwa na mipango ambayo ni migumu sana but all an all yeye ndo anakuwa mkuu na mkweli,RR usijali,Mungu atakujalia amani ya moyo wakati huu mgumu.BWANA ALITOA,BWANA AMETWAA,JINA LAKE LIBARIKIWE!
 
Pole sana R Roulette
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ampumzishe kwa amani marehemu.
 
Kwa hakika sisi wote ni milki ya ALLAH (S.W),
na kwa kila mmoja ipo siku ya kurejea kwa MOLA wake,
mwaka, wiki, siku, na muda maalumu, na pindi ufikapo huo muda hakuna wa kuzuia,
"Innah lillah wah innah lillah Rajjun". ALLAH (S.W) akutilie wepesi ktk hili.
REST IN PEACE OUR ANGEL
.

 
images
....my condolences Russian Roulette!
 
[FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]Pole sana RR..May the little Angel RIP, gone yet not forgotten, May the little Angel spirit lives within us forever in our heart. Dah!..Sad sana mtoto kuondoka....[/FONT]
 
Pole Sana RR mungu awatie nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu,
Tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
Amen
 
Back
Top Bottom