Kundi lingine la mamluki laanza kumgomea Putin, hawa kwanza ni NAZI kabisa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,660
48,437
Hili ni kundi linaloamini katika neo-NAZI, yaani NAZI ya kisasa, wanaamini katika zile pumba za Hittler alizotumia kuua mamilioni.
Wakati Putin anaparamia Ukraine alisema anafanya hivyo kuondoa neo-NAZI, sasa hawa hapa walikua wanampigania na kumsaidia kama ilivyokua kwa wale wa Wagner.

Wameibua malalamiko mengi na kuacha kupambana, ambayo imepelekea kwa Urusi kupoteza maeneo, Ukraine wanafyatua kila kitu hawajali yupi au nani.....

medium_2023-09-05-690a22f42c.jpg


The decision of a Russian neo-Nazi mercenary group stopping fighting in protest against the Kremlin indirectly helped Ukraine to make a major breakthrough on the front line.

“Robotyne has been released”, announced on August 28 the Deputy Minister of Defense of Ukraine, Hanna Maliar.

This small village, which before the war had a population of less than 500 people, may be of little importance in itself.

Despite this, it is located along a strategic road that leads to the railway and road center of Tokmak, occupied by the Russians.

From there, another road leads to Melitopol, which -before the illegal annexation of Crimea by Russia in 2014- Ukrainians knew her as the “front door” to the peninsula.

Therefore, last week’s victory was an important step forward for Ukraine, as revealed in an article by France24.

Indirect aid to Ukraine​

However, fighters from rusich they caused a drastic change in the course of the battle.

It is about a small Russian neo-Nazi paramilitary group stationed on the front line of Robotyne, who had threatened to lay down their arms.

This move may have contributed to Russia’s painful loss there.

The official reason for the threat to lay down their arms was explained by Rusich in a statement on Telegram on August 25.

One of the main commanders and founding members of the group, Yan Petrovsky, was detained in Finland and faced extradition to Ukraine (and the Russian Federation).

Petrovsky, Russian-Norwegian dual nationality, he co-founded Rusich in 2014 to participate in the Russian occupation of Donbas. In addition, it is believed that at one time he was a contractor for the Wagner group.

In a series of messages captured by the Anti-Fascist Europe research project, Rusich members expressed their frustration at their treatment by the Russian authorities.

“If the country cannot protect its citizens, why should the citizens protect the country?” asked one.

According to him Institute for the Study of War (ISW), the group appeared to be operating near Robotyne in western Zaporizhzhia Oblast.

Is described as “a critical area of the front line where the Russian military command probably cannot afford to have units.”

Shortly after ISW published its analysis, Robotyne fell to Ukraine.
 
Kama Ukraine hawajafanikiwa kurudisha maeneo yote mpaka muda huu basi vita imewashinda

Usichokielewa bwana ustadhi, hata ikichukua miaka kumi kikubwa ni ardhi ya watu lazima itemwe, wanaoteseka ni Warusi maana wanafia kwenye kanchi ka watu wakipigania ardhi isiyokua na tija kwao, wanapotezwa kwa maelfu....
Angalia hii ramani upate aibu walau kidogo

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
 
Usichokielewa bwana ustadhi, hata ikichukua miaka kumi kikubwa ni ardhi ya watu lazima itemwe, wanaoteseka ni Warusi maana wanafia kwenye kanchi ka watu wakipigania ardhi isiyokua na tija kwao, wanapotezwa kwa maelfu....
Angalia hii ramani upate aibu walau kidogo

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
We ni mpumbavu
 
Usichokielewa bwana ustadhi, hata ikichukua miaka kumi kikubwa ni ardhi ya watu lazima itemwe, wanaoteseka ni Warusi maana wanafia kwenye kanchi ka watu wakipigania ardhi isiyokua na tija kwao, wanapotezwa kwa maelfu....
Angalia hii ramani upate aibu walau kidogo

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
Warusi wapuuzi sana, ardhi yote hiyo bado inapambana kuchukua kaardhi kadogo kama hako cha Ukraine.

Ni upuuzi mtupu.
 
Mlisema siku 3 tu zitatosha yaa saa 72 mtakuwa mumemaliza kazi Ukraine mkaingia Kyiv kwa mbwembwe zote long range missiles kutoka kila upande wa nchi ya Ukraine sasa mnaonaje superpower??
Russia ilisema hivyo bila ya Ukrain kupewa msaada na NATO, vipi kama sio Nato unafikiri ingekuwaje. Hela wanapewa silaha wanapewa na kichapo wanapigwa. Marekani kasema hapeleki tena F -16 na Abram tank inakuwaje hapo sasa au atakosa soko😂😂
 
Back
Top Bottom