Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka.
Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo na tija kwa watz pamoja na asasi zinazojiita za kiraia badala ya kusema ukweli ni za kidini(angalia logo zao kuna alama ya msalaba +)we mzee umeangukia pua na sasa una jukumu la kulipa mapesa ya hao walioingia nawe mikataka feki iwapo ungebahatika kukalia kiti cha ikulu.
Hongera sana Dr. Jakaya kwa kuibuka tena kidedea hongera pia wote mliofanikiwa kupita katika vyama mbalimbali big up sana tume ya uchaguzi in my side matokeo yamekuwa mazuri niliowachagua wote wamepita sasa kazi kwenu kutekeleza yote mliyotuahidi yetu macho kusubiri utekelezaji.
Napenda kuwapa pongezi wana jamii wote kwani walionyesha wapo kwa bob Sila lakini wamempigia kura JK na wengine walikuwa wanarandaranda mitaani bila ya kupiga kura kwani walielewa dhati kuwa mgombea wao hauziki kwa watu wenye akili timamu isipokuwa kwa mapunguani tuu.
Sasa uchaguzi umekwisha na Jk tena anatinga ikulu kama Ben,tushirikiane naye kuwapiga vita mafisadi sisi tuliondani ya utawala na nyie mnaopiga makelele.
Mungu mkubwa kwani kwake kila kitu kinawezekana naye ndiye anayehubiri amani kwa yule asiyetaka amani anaruhusiwa kuhama nchi na aende Somalia!
Nakaribisha matusi kwa wale wasiojiheshimu na wasio na sera za kueleweka(hawajaelimika ila wamemaliza madarasa hadi kuua walimu tuu).