Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

Zanzibar si nchi bali ni koloni la Tanganyika.

In the fourth chapter, the author paints a vivid picture of the events that followed after the signing of the Union, culminating in the assassination of Karume and the increasing usurpation of constitutional power by Nyerere. According to the author, the creation of a Union Constitution by Nyerere and the cementing of the Union by him led to the progressive erosion of Zanzibar’s autonomy. Shivji argues that the creation of a party-state, dismantling of the independence of the judiciary and the elimination of those who opposed the move were part of the strategies to erode Zanzibar’s autonomy.

In chapter six, Shivji continues his analysis on the increasing marginalisation of Zanzibar within the framework of the Union. He maintains that the chronology of events from the judicial and military reforms, among others, that Nyerere crafted were aimed at demeaning Zanzibar within the Union. Accordingly, Jumbe became more adamant in efforts to protect the 'sovereignty' of Zanzibar and fell out of Nyerere’s favour. Since that time, Shivji argues, there has always been a crisis on the nature of the Union as a result of first, Nyerere increasing the list of Union matters at the expense of Zanzibar, and second, subsequent political gimmicks to legalise and legitimise the usurpation of Zanzibar’s sovereignty.

Review: The creation of Tanzania
 
Muungano ambao wao wenyewe kuueleza hawawezi bado hawataki ujadiliwe! Irresponsible leaders indeed.
Muungano haueleweki!
It was stated that some key figures in government do not understand the structure of the Union, for instance, the two governments and three jurisdictions.

This creates confusion which is compounded by the constitution itself.
It was pointed out that while Article 4 of the constitution does provide for the two governments with three jurisdictions other parts of the constitution mix up things and blur the distinction.

The dual mandate of the Union government, for instance, jurisdiction over Union matters, and over non-Union matters of the mainland(Tanganyika) created its own problems and suspicions.

link allAfrica.com: Tanzania: We Want More Say in This Union, Zanzibar Tells Tanzania Govt
 
Zanzibar sio nchi.......tafuta hii kesi ya uhaini kutoka mahakama ya rufaa utajua haina vigezo vya kua nchi........ S.M.Z. vs. Machano Khamis Ali &
Others (Criminal Application No. 8 of
2000) [2000] TZCA 1 (21 November
2000)
 
Huku akiwasilisha kwa mbwembwe zilizoonekana kuwa ni za kishabiki akipinga hoja zilizowalishwa na kambi ya upinzani bungeni, Werema alishindwa kuunga mkono hoja ya Upinzani kuhusu mstakabari wa TZ baada ya Zanzibar kuutangazia UMMA na dunia kuwa ni NCHI.

Werema alisema zanzibar ni nchi ndo maana ukaungana na Tanganyika ambayo pia ni nchi ili kutengeneza JMT. Werema alitumia maneno ya kejeli eti kiswahili sio lugha mama ya upinzani, hawajui kiswahili vizuri ambapo yeye pia alijifunza na kwa vile ni msomi mzuri alielewa kiswahili barabara.

Werema anashindwa kutofautisha wakati uliopita na uliopo ktk lugha ya kiswahili. Kwa wakati uliopita Zanzibar ilikuwa nchi, na kwa wakati uliopo zanzibar sio nchi, hivyo kunauwezekano mkubwa kuwa katiba ya JMT imevunjwa na rais wa JMT anastahili kujibu mashitaka ya kuvunjwa kwa katiba aliyoapa kuilinda.

Kama Zanzibar na Tanganyika bado ni nchi ktk sheria za leo, basi JMT sio nchi ni umoja wa nchi mbili znz na tgk.

HUKU akijua kuwa kauli yake hiyo inamburuza PINDA waziri wake mkuu, ambaye aliwahi kusema kwa ujasiri kuwa Znz sio nchi as we speak. Werema alitaka kuthibitisha kuwa wakati PINDA anasema vile hakuwa amepata ushauri wa AG kitu ambacho kinamfanya PINDA awe kituko ktk suala zima la uongozi wa nchi hii.

Hadi hapo tutakapopata ufafanuzi wa wanasheria wengine suala hili linabaki kuwa Werema, AG amemsihaki Pinda, PM kuhusu zanzibar kuwa nchi au la.

Wanasheria waliobobea kwenye masuala ya sheria na katiba please tutegulieni kitendawili hiki.

Nawasilisha.

Ukiwa serikali ya ssssm, kazi kubwa ni propaganda tu rather than fact
 
Zanzibar sio nchi.......tafuta hii kesi ya uhaini kutoka mahakama ya rufaa utajua haina vigezo vya kua nchi........ S.M.Z. vs. Machano Khamis Ali &
Others (Criminal Application No. 8 of
2000) [2000] TZCA 1 (21 November
2000)

Acha references za corrupt judge influenced by executive, znz ni nchi huru
 
Ukweli humuweka mtu huru maisha yote...
Nimesema hayo kwa sababu kuna watu wana ndoto kua ipo siku Zanzibar itaondoka Duniani na jina lake litasahaulika na haitokuwepo katika Ramani ya Dunia

Hizo ni ndoto za mchana...
Ni ukweli kua Zanzibar inafanywa Koloni la Tanganyika hakuna anaibisha hata Tundu Lissu aliyasema hayo bungeni hata ikapelekea baadhi ya wabunge wa kutoka chama tawala wakakereka na kauli ile

Ni dhahiri kua ukweli ule umewaumiza sana maana ni kawaida ukweli hua unachoma choma ila nataka kusema kua ZANZIBAR NI NCHI NA ITABAKIA KUA NCHI narudia tena na tena ZANZIBAR NI NCHI NA ITABAKIA KUA NCHI naipo siku ZANZIBAR ITARUDI KATI HESHIMA YAKE
 
"...The most certain test by which we judge whether a country is really free is the amount of security enjoyed by minorities..."
 
Kwa utaratibu huu wa marais wa zanznibar kukubali kuapishwa na rais wa Tanzania kuwa yeye ni waziri tu bara, itachukua muda sana kuwa nchi inayo jitegemea, amueni sasa acheni kujitia unyonge mnashindwa nini kuanza sasa? mnataka watoto wenu waje wawatukane mtakapokuwa makaburini? Kila leo ni kulalamika tu chukueni hatua, mbona mmeweza kwenye bendera, wimbo wa taifa mnashindwa nini kwenye hela, jeshi, polisi Benk kuu ya watu wa zanznzibar?
 
Wanaogopa itapata msaada kutoka Sultanate of Oman na nchi zingine za kiarabu, ndio maana wanapinga kuwa nchi! Lakini kitaeleweka tu
 
Tatizo la Zanzibar ni kuwa na viongozi wabinafsi, na itabaiki kuwa kama ilivyo kwa sababu hiyo.....sikuamini kuna siku Ahmad Rashid atashirikiana na SMZ na kuwa Kiongozi anaetokana na serikali ya namna ile...
Ndio maana Magufuli ameona hana haja na Zanzibar kwa sasa, muisome namba.....
 
Masuala haya ya Zanzibar ni nchi au la nani asiyejua Zanzibar ni nchi? Mtoa mada kama umezoea ubishi basi nenda vijiwe vya darajani unguja mkabishanie masuala yenu ya nchi au la. JF ni pa waungwana wenye elimu ya uelewa na si mahala pa ubishani kwa mambo yaliyo wazi.
 
Kwa utaratibu huu wa marais wa zanznibar kukubali kuapishwa na rais wa Tanzania kuwa yeye ni waziri tu bara, itachukua muda sana kuwa nchi inayo jitegemea, amueni sasa acheni kujitia unyonge mnashindwa nini kuanza sasa? mnataka watoto wenu waje wawatukane mtakapokuwa makaburini? Kila leo ni kulalamika tu chukueni hatua, mbona mmeweza kwenye bendera, wimbo wa taifa mnashindwa nini kwenye hela, jeshi, polisi Benk kuu ya watu wa zanznzibar?
Rais wa Zanzibar hajawahikuapishwa na raisi wa Tanzania bali aliapishwa na Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania chini ya Ushuhuda wa JPM lakini mawaziri wanaapishwa na Rais Wa Tanzania akishuhudiwa na watu wengine angalia tofauti hapo...
 
Wameweza pia kwenye Bunge na makusanyo ya kodi pia wanasimamia wao. Mabadiliko mnaleta nyie wenyewe
 
Rais wa Zanzibar hajawahikuapishwa na raisi wa Tanzania bali aliapishwa na Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania chini ya Ushuhuda wa JPM lakini mawaziri wanaapishwa na Rais Wa Tanzania akishuhudiwa na watu wengine angalia tofauti hapo...
Alikuwa anashuhudia kama nani? kwa nini wakati anaapisha mawaziri rais wa zanzibar asije kushuhudia?!
 
Rais wa Zanzibar hajawahikuapishwa na raisi wa Tanzania bali aliapishwa na Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania chini ya Ushuhuda wa JPM lakini mawaziri wanaapishwa na Rais Wa Tanzania akishuhudiwa na watu wengine angalia tofauti hapo...
Hicho kiapo ni cha kuwa nani? Si kuwa Mjumbe wa Cabinet (BM) ya JPM? Huko nyuma aligoma ila kwa sasa (anahitaji security) amenyosha mikono na kukubali. Zanzibar ni sehemu ya nchi ya JMT, basi.
 
ZANZIBAR siyo nchi na haitatokea iwe nchi, you either unite or occupied by force. so you have to weigh the two options.
 
Back
Top Bottom