Je, unafahamu kuwa Katiba ya Zanzibar inaitambua Zanzibar kama Nchi huku Katiba ya Tanzania ikisema Tanzania ni Nchi Moja?

w0rM

Member
May 3, 2011
68
164
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar.

1. Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.

2. (1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania inapakana nayo.

1701077650184.png

Kutokana na hapo ionaonesha wazi kuwa Nchi ni moja inayoitwa Tanzania ila ina muunganiko kwa Tanzania Bara (Tanganyika) na Tanzania Zanzibar (Zanzibar). Haijaeeleza kama Tanzania Bara au Zanzibar Bara zikiwa zenyewe zinatambulika kama Nchi

Lakini wakati huo huo, Katiba ya Zanzibar inatambua Zanzibar yenyewe kama Nchi na Tanzania yenyewe kama Nchi. Katika Ibara ya kwanza imeitambua Zanzibar kama Nchi lakini katika Ibara ya 2 Katiba ya Zanzibar imesema Tanzania imeundwa na Nchi mbili, Zanzibar ikiwa ni miongoni mwao

1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1701077507919.png

Je, Katiba hizi zinapingana zenyewe? Ipi inapaswa kufuatwa? Au ndio kwa sababu Katiba ya Jamhuri haijasema kwamba Zanzibar sio nchi basi tunafuata ya Katiba ya Zanznibar?
 
Zanzibar ni nchi na itabaki kuwa nchi huru. Wazanzibar wako imara na nch yao. Ujinga wa watanganyika kuiua nchi yao na kuikana kurejea utawacost maisha yao yote. Hongera sana wazanzibari uwingi wa watanganyika si hoja endeleeni kuwatawala. Kama mzanzibari anaweza kuja Tanganyika na kuitawala wakati mtanganyika hawezi kupata hata ujumbe wa nyumba kumi kule huo si ukoloni?
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar.

1. Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.

2. (1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania inapakana nayo.

Kutokana na hapo ionaonesha wazi kuwa Nchi ni moja inayoitwa Tanzania ila ina muunganiko kwa Tanzania Bara (Tanganyika) na Tanzania Zanzibar (Zanzibar). Haijaeeleza kama Tanzania Bara au Zanzibar Bara zikiwa zenyewe zinatambulika kama Nchi

Lakini wakati huo huo, Katiba ya Zanzibar inatambua Zanzibar yenyewe kama Nchi na Tanzania yenyewe kama Nchi. Katika Ibara ya kwanza imeitambua Zanzibar kama Nchi lakini katika Ibara ya 2 Katiba ya Zanzibar imesema Tanzania imeundwa na Nchi mbili, Zanzibar ikiwa ni miongoni mwao

1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je, Katiba hizi zinapingana zenyewe? Ipi inapaswa kufuatwa? Au ndio kwa sababu Katiba ya Jamhuri haijasema kwamba Zanzibar sio nchi basi tunafuata ya Katiba ya Zanznibar?
Soma Hati ya Muungano
 
Zanzibar ni nchi na tanganyika ni nchi.hizo porojo zingine ni siasa tu za konachoitwa muungano.Na kama kuna muungano maana yake ni vitu viwili kamili vilivyoungana.Ujinga ni kwa watanganyika kukubali kuikana nchi yao kwa sababu zisizoeleweka.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar.

1. Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.

2. (1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania inapakana nayo.

Kutokana na hapo ionaonesha wazi kuwa Nchi ni moja inayoitwa Tanzania ila ina muunganiko kwa Tanzania Bara (Tanganyika) na Tanzania Zanzibar (Zanzibar). Haijaeeleza kama Tanzania Bara au Zanzibar Bara zikiwa zenyewe zinatambulika kama Nchi

Lakini wakati huo huo, Katiba ya Zanzibar inatambua Zanzibar yenyewe kama Nchi na Tanzania yenyewe kama Nchi. Katika Ibara ya kwanza imeitambua Zanzibar kama Nchi lakini katika Ibara ya 2 Katiba ya Zanzibar imesema Tanzania imeundwa na Nchi mbili, Zanzibar ikiwa ni miongoni mwao

1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je, Katiba hizi zinapingana zenyewe? Ipi inapaswa kufuatwa? Au ndio kwa sababu Katiba ya Jamhuri haijasema kwamba Zanzibar sio nchi basi tunafuata ya Katiba ya Zanznibar?
Haya mabadiliko yaliyofanywa kwenye katiba ya Zanzibar ile 2010 ni mabadiliko fake, ndio maana katiba ya JMT haiyatambui mpaka leo!.

Ila muungano wetu ni muungano very unique hapa duniani.
Miungano mingine yote ni ama ni union ama ni federation, lakini muungano wetu ni borh, ni union kwa upande mmoja na federation kwa upande mwingine.

Elimu ya Uraia Kuhusu Muungano wetu adhimu!.

Duniani kuna miungano ya aina mbili Kuu,
1. Miungano ya union, nchi mbili au zaidi zinaungana kuunda nchi moja. Zile nchi zote zinakufa na inazaliwa nchi moja mpya.
2. Miungano ya federation, ni nchi mbili au zaidi zinaungana na kuunda nchi moja, ila zile nchi zote zinakuwa na serikali ya muungano, Federal Government na State Government, kila nchi ina utawala wake wa ndani.

Muungano wetu ni very unique, kwasababu ni muungano pekee duniani ambao on one side ni muungano wa union kwa nchi mbili kuungana kuunda nchi moja ya JMT, at the same time ni muungano wa federation wenye serikali mbili.

Muungano wetu kimataifa ni muungano wa union, Tanzania kimataifa ni nchi moja ya JMT, yenye serikali moja ya JMT, chini ya rais mmoja wa JMT, ambaye ni head of state, head of the government and CinC.

Lakini Kitaifa, nchi ya Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar, yenye katiba mbili, katiba ya JMT, na katiba ya Zanzibar, yenye serikali mbili, serikali ya JMT na serikali ya Zanzibar, SMZ, yenye marais wawili, rais wa JMT na rais wa Zanzibar.

Mkanganyiko wa Katiba.

Kama nilivyosema kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, hakuna mkanganyiko wowote wa kimataifa kuhusu Tanzania.

Lakini Kitaifa kuna mkanganyiko wa katiba kati ya katiba ya JMT na katiba ya Zanzibar.

Kwa mujibu wa katiba ya JMT, ya mwaka 1977, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.

Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, inaiita Zanzibar ni nchi, ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT!. Kitendo cha katiba ya Zanzibar kuuita Zanzibar ni nchi, kinawakanganya Watanzania kudhani kuwa nchi ya Tanganyika ndio pekee iliyokufa ila nchi ya Zanzibar ipo haikufa!.

Naomba niwahakikishie Tanzania ni nchi moja ya JMT, ile nchi inayotajwa na katiba ya Zanzibar kuwa ni nchi ya Zanzibar, sii kweli kuwa Zanzibar ni nchi, bali ni jina tuu, hayo mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kujiita nchi, ni kwaajili ya Zanzibar tuu, lakini mabadiliko hayo hayatambuliwi na katiba ya JMT.

Kwa vile Rais Samia, anakwenda kutupatia katiba mpya, hili pia litarekebishwa, na kwa maoni yangu, dawa pekee na ya kudumu ya kuondoa kero zote za muungano, ni kwenda kwenye serikali moja!

P
 
Haya mabadiliko yaliyofanywa kwenye katiba ya Zanzibar ile 2010 ni mabadiliko fake, ndio maana katiba ya JMT haiyatambui mpaka leo!.

Ila muungano wetu ni muungano very unique hapa duniani.
Miungano mingine yote ni ama ni union ama ni federation, lakini muungano wetu ni borh, ni union kwa upande mmoja na federation kwa upande mwingine.

P
Je, ni bora kuwa na Muungano wa namna hiyo au bora kuamua kama tunakuwa Union au Federation?
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar.

1. Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.

2. (1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania inapakana nayo.

Kutokana na hapo ionaonesha wazi kuwa Nchi ni moja inayoitwa Tanzania ila ina muunganiko kwa Tanzania Bara (Tanganyika) na Tanzania Zanzibar (Zanzibar). Haijaeeleza kama Tanzania Bara au Zanzibar Bara zikiwa zenyewe zinatambulika kama Nchi

Lakini wakati huo huo, Katiba ya Zanzibar inatambua Zanzibar yenyewe kama Nchi na Tanzania yenyewe kama Nchi. Katika Ibara ya kwanza imeitambua Zanzibar kama Nchi lakini katika Ibara ya 2 Katiba ya Zanzibar imesema Tanzania imeundwa na Nchi mbili, Zanzibar ikiwa ni miongoni mwao

1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je, Katiba hizi zinapingana zenyewe? Ipi inapaswa kufuatwa? Au ndio kwa sababu Katiba ya Jamhuri haijasema kwamba Zanzibar sio nchi basi tunafuata ya Katiba ya Zanznibar?
MNawaonaga wanaopigania Tanganyika yao kuwa wajinga eeh, endeleeni tu.
Mshasikia mgao wa umeme Zanzibar, ushasikia mgao wa maji Zanzibar, ushasikia wasiojulikana Zanzibar?
 
Haya mabadiliko yaliyofanywa kwenye katiba ya Zanzibar ile 2010 ni mabadiliko fake, ndio maana katiba ya JMT haiyatambui mpaka leo!.

Ila muungano wetu ni muungano very unique hapa duniani.
Miungano mingine yote ni ama ni union ama ni federation, lakini muungano wetu ni borh, ni union kwa upande mmoja na federation kwa upande mwingine.

P
Na hapa ndipo usanii ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom