Pinda: Karibu asilimia Tisini na Tisa (99%) ya Wanzanzibar ni Waislam

Status
Not open for further replies.
Wana- JF,

Hivi punde katika kipindi cha maswali na majibu Waziri Mkuu, Pinda ameulizwa swali na Mh. Mchungaji Msigwa kuwa huko Zanzibar kuna tamko limetolewa na kiongozi mmoja kuwataka wafanyabiashara wote wa mahoteli kutokuuza chakula hasa wakati wa mchana kwa vile waislamu wako katika mfungo wa Ramadhani. Mbali na hilo kuna pia agizo kuwa wanawake wasivae nguo fupi katika kipindi hiki kwa vile wanawatamanisha wanaume.

Aidha, Waziri mkuu amesema amri ya kutokuuza chakula huko iko sawa kwa vile mazingira ya huko zanzibar yanaonesha kuwa asilimia kama tisini na tisa (99%) ya wananchi huko ni waislamu. Licha ya kuingilia haki za watu wengine na imani za watu wengine, naona kwa mtazamo wangu suala hili halikutakiwa kujibiwa namna hiyo na Waziri Mkuu.

Naomba wenye takwimu watuambie kama kweli 99% ya wananchi wote ni waislamu na kama watu wengine wanaoishi huko hawana haki kwa mujibu wa Katiba.

Nawasilisha.

Sichangii hapa maana Mods waliwahi kunipa Ban kwa kosa la kumtusi kiongozi wa nchi.
 
Iweje wapata wasaa wa kujadili Ukristo online?

Zanzibar hakuna wakiristo ila kuna agenda ya siri ,Muislamu yeyote yule kwa mliopo Unguja mnajua kuna vipindi vya dini mashule,ukitaka kuona wanachofundishwa wakiristo huko mashule ,liibe daftari la dini la mkiristo halafu lisome ,uangalie ni jinsi gani wanavyopotoshwa juu ya uislamu ,namna wanavyofundishwa utaona wanapotezza muda mwingi kuujadili uislamu kwa njia za upotoshwaji , hukuti katika vyuo vya Uislamu kunajadiliwa ukiristo au kunafundishwa ukiristo hapo zanzibar kwanza wakati huo haupo kuujadili Ukiristo.
 
Nakubaliana kabisa na Pinda kwamba ZNZ waislamu ni 99% na dini nyingine ni 1%. Kinachonishangaza kama kweli akwimu ziko hivyo, mbona hii 1% inawatisha sana 99%?
 
mimi hapa ndo siellewi so Tanzania ni nchi yenye waislam wengi etieeh! kama siyo kuna sababu gani ya PM kuliongelea hili bungeni? kama zabar ni nci basi ibaki na nchi yao na sheria zao hata wakiamua kulana nyaman haituhusu manake kwanza sijui kwanini tuliungana nanyie watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kisa arabuni wanafanya basi nanyie mnataka basi n nyie oaneni kaka na dada kama waarabu basi tujue moja

Kinacho shangaza zaidi swala la zanzibar kuwa na waislam 99% kuwa sababu ya watu wachache kunyimwa haki zao! Kama kufunga sio lazima na kuna watu wana sababu za kuto kufunga tena ni waislam . Kwa nini mahotel na migahawa ifungwe?

Na shindwa kuelewa huyo mungu tuna yemtumikia ni yupi mpaka tuna shindwa kuwa hurumia na wenzetu wenye imani nyingine au wasio na uwezo wa kufunga.
 
Masuala ya dini ni vema yakaachwa kujadiliwa humu ndani...wahusika wa jf naomba muwemakini na mlitazame hili kwa jicho la tatu....
 
which is best...kuabudu masanamu au kuabudu majini!
huyo mwanaume umemgusa kule kwenye masaburi kashtuka kama anakameruniwa hizi dini waliletewa na meli ya waarabu wakapewa na visuruali vifupi,na majuba ,na majini 100 kila mja basi wanajiona kweli kweli sijui tutafika wapi
 
Nishaenda kanisani nikaona jamaa anasujudia sanamu ,nishaenda kwa mabaniani nako kuna sanamu wanalisujudia ,huko kama si kuabudu ni kitu gani ?

Sasa kinakuuma nini kuwaona wenzako wanasujudia sanamu zao. Kila mtu si ana utashi wake? Usiingilie imani za watu wengine na usilazimishe dunia ifate imani yako. jali yako, siku ukifa ndipo utaujua ukweli. vidini vingine bana!
 
Aidha, Waziri mkuu amesema amri ya kutokuuza chakula huko iko sawa kwa vile mazingira ya huko zanzibar yanaonesha kuwa asilimia kama tisini na tisa (99%) ya wananchi huko ni waislamu.
Nilishauliza huko nyuma lakini sikupata jibu. Mtu akiivunja amri hii anapata adhabu gani kisheria? Je hii amri inawahusu na watalii au ni mahsusi kwa watanzania tu? Je mwezi mtukufu ukiisha ni ruksa kuvaa vimini??
 
Wana- JF,

Hivi punde katika kipindi cha maswali na majibu Waziri Mkuu, Pinda ameulizwa swali na Mh. Mchungaji Msigwa kuwa huko Zanzibar kuna tamko limetolewa na kiongozi mmoja kuwataka wafanyabiashara wote wa mahoteli kutokuuza chakula hasa wakati wa mchana kwa vile waislamu wako katika mfungo wa Ramadhani. Mbali na hilo kuna pia agizo kuwa wanawake wasivae nguo fupi katika kipindi hiki kwa vile wanawatamanisha wanaume.

Aidha, Waziri mkuu amesema amri ya kutokuuza chakula huko iko sawa kwa vile mazingira ya huko zanzibar yanaonesha kuwa asilimia kama tisini na tisa (99%) ya wananchi huko ni waislamu. Licha ya kuingilia haki za watu wengine na imani za watu wengine, naona kwa mtazamo wangu suala hili halikutakiwa kujibiwa namna hiyo na Waziri Mkuu.

Naomba wenye takwimu watuambie kama kweli 99% ya wananchi wote ni waislamu na kama watu wengine wanaoishi huko hawana haki kwa mujibu wa Katiba.

Nawasilisha.
Nashangaa kauli ya PM, pia na shangaa uislam kuogopa vishawishi...! Kama ingekuwa vema Mungu angetupatia dunia isiyo na shetani ili vishawishi visiwepo.., lakini vishawishi ni sehemu ya maisha kuonyesha jinsi gani unamjua na kumwamini Mungu unaye mwabudu, kwamba hutaandamana na vishawishi/miungu bali Mwenyezi Mungu pekee haijalishi uko katika wakati mgumu kiasi gani.

Mwezi huu ingepaswa chakula kipikwe kama kawaida kenye hoteli na migahawa, kama kuna disco liendelee ili wale watakao shinda majaribu wayashinde kwa haki.. sio kujifungia ndani hutaki kuona wasichana waliovaa nguo fupi wakati unawawaza hata kama hawaonekani.. huo ni usanii katika imani.
 
Wenye akili hapo tulishajua kwamba muungano ulikufa na Mwl Nyerere, haya ya akina Pinda ni Si Hasa za kifisadi za ccm,
na kwamba ccm hawana tena uwezo wa kuingilia mambo ya znz, Hii ni aibu kubwa kwa ccm na serikali yake iliyoapa kuilinda na kuitetea katiba ya Tanzania. ccm imekosa uhalali wa kuendelea kutawala
 
Tenganisha dini na matendo ya mtu kwanza! FYI huwezi kutenganisha dini ya uislam na siasa, because siasa ilianza tangu enzi za adam! Na katika kipindi cha mtume wetu ndipo iliposhamiri, hivi siasa itakua ya saiv demokrasia jina tu! Akh we wa wapi?

sasa kama hivyo ndivyo mbona mwataka kulazimisha wote wafunge? tenganisha dini na matendo ya mtu
 
Kinacho shangaza zaidi swala la zanzibar kuwa na waislam 99% sio babu ya watu wachache kunyimwa haki zao! Kama kufunga sio lazima na kuna watu wana sababu za kuto kufunga tena ni waislam . Kwa nini mahotel na migahawa ifungwe?

Na shindwa kuelewa huyo mungu tuna yemtumikia ni yupi mpaka tuna shindwa kuwa hurumia na wenzetu wenye imani nyingine au wasio na uwezo wa kufunga.

Wauzaji ni waislam, basi fungueni bar zenu na migahawa yenu muendelee na shuhuli zenu kisirisiri, huku mkiheshimu wenzenu! Kwani si kwamba uko katika hoteli za watalii kuwa hawauzi chakula bali wanawauzia wateja wao kama kawaida huko huko mahotelini ndani, wakija nje hao watalii wanatakiwa waheshimu culture ya watu!! Nyie mshauza dini yenu na utamaduni wenu mshauuza, kwaiyo kaa utulie, tafuta sehemu ukale ngurue. Simple and clear
 
Wana- JF,

Hivi punde katika kipindi cha maswali na majibu Waziri Mkuu, Pinda ameulizwa swali na Mh. Mchungaji Msigwa kuwa huko Zanzibar kuna tamko limetolewa na kiongozi mmoja kuwataka wafanyabiashara wote wa mahoteli kutokuuza chakula hasa wakati wa mchana kwa vile waislamu wako katika mfungo wa Ramadhani. Mbali na hilo kuna pia agizo kuwa wanawake wasivae nguo fupi katika kipindi hiki kwa vile wanawatamanisha wanaume.

Aidha, Waziri mkuu amesema amri ya kutokuuza chakula huko iko sawa kwa vile mazingira ya huko zanzibar yanaonesha kuwa asilimia kama tisini na tisa (99%) ya wananchi huko ni waislamu. Licha ya kuingilia haki za watu wengine na imani za watu wengine, naona kwa mtazamo wangu suala hili halikutakiwa kujibiwa namna hiyo na Waziri Mkuu.

Naomba wenye takwimu watuambie kama kweli 99% ya wananchi wote ni waislamu na kama watu wengine wanaoishi huko hawana haki kwa mujibu wa Katiba.

Nawasilisha.

Kwani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kivyake au pamoja na SMZ imekwisha tangaza kuwa Tanzania Visiwani (SMZ) ni sehemu inayotawaliwa kwa sharia ya Kiislaam?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom