Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
Unawakwaza waislamu wenzako hasa wale wenye mitazamo chanya juu ya imani.Unaonaje kama kwenye sensa kingekubalika kile kipengele cha dini ! Ni kujifanya kujua zaidi ,hata huku Tanganyika waislamu ni 85% waliobaki wanaabudu masanamu au hawana kabisa.
Mkuu umefunga??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums