Picha za uongo zinazotumika za Amboni

Nchi hii bana yaani na wanaojadili hili tena wanalijadili katika mrengo wa kisiasa teh teh ten
 
Ndugu yangu jeshi lime shaingiliwa na mabeberu kutumia mlango wa dini. Na serikali yetu inashindwa kusoma alama za nyakati.
Moja ya mbinu kubwa ilo tumiwa na walinzani wa Assad kule syria ni kutayarisha video kama hizi kuwaita watu kupigana na assad .
Cia walitoa fedha nyingi kutumia twitter na mitandao mengine .
Lengo sio kumuindoa tu assad bali kuichafua nchi hio na kuwaweka hao mujahud sehemu moja ili iwamalize na pia kuendeleza vita yao ya kuchafua
Wakafanikiwa sana kule vijana wasiokua na kazi wakaitikia kutoka dunia nzima wakapewa mafunzo jordan na turkey leo wale ndio isis wamekuwa mijambazi mikubwa.
Na sisi tunatengenezewa mazingira hayo hayo.
Nchi hii watu wanaishi pamoja na kufanya kazi pamoja
Raia wa nchi hii ni wapole tangu kudai uhuru na hata kama kama kuna mijizi ya escrow wataliga kelele na baadae yanapita.
Hakuna vita hapa lakini tusipi kuwa makini tutaletewa na hawa hawa tunao waamini kuwa ni marafiki wa kutufundisha kupambana na magaidi lakini wao lengo lao kuchafua wao wapo kwao wanakula burgers

Mweshimiwa nninnakusupport asilimia zote hizo mbinu zipo na zinaendelea tuombe mungu sana hatuhepushe na hili tatizo.

Mataifa makubwa ndio michezo yao ya kupandikiza chuki na ishu ikiwa mbaya wao wao wanakuja kupambana na yule adui walio msupport mwanzo
 
TATIZO NI KATIBA
NA
TUME YA UCHAGUZI

mitambo ya kujiandikishia ni feki (CHINA MADE WITH LOW QUALITY)

haiwezi kukamilisha zoezi la uandikishwaji wapiga kura

hivyo wamechimba mikwara kabisa ili watakapoharibu kusiwe na maandamano.
:rockon:
 
Dah... Kachanchabuseta POKEA HESHIMA NA NISHANI YANGU...Umenifungua mengi sana...

NAJIULIZA MASWALI YAFUATAYO:
1. Je tukio hili ni la kweli
2. Nani alisambaza picha hizi
3. Kama kweli polisi wetu wapo makini ni kwa nini
wasije kukanusha kuhusu picha hizi zinazosambaa
kwa kwasi hata kama mtu ana MB 8
4. Sisi wanainchi tukisema hii issue imepikwa tena
kisiasa tena na ******* tunamakosa?
5. Anyway mimi binafsi nasikitika sana na haya
mambo yanavyoendeshwa na serikali
yangu.Tutegemee nini mbeleni kwa uongo huu?
(HAPO NO. 5 PAGUMU SANA KUNIELEWA ILA NAAMINI kuna IQ kubwa zitanielewa.

NASIKITIKA SANA NA JINSI NCHII HII.INAVYOENDESHWA...
labda nichukue muda wangu wa sekunde chache kujibu maswali yako ya kijinga(ingawa mimi sio mjinga kama wewe)
1.kuhusu ukweli ama uongo wa tukio inayegemea na pale uliposimama. kama ni gaidi ni lazima useme sio tukio la kweli na kama ni mzalendo basi una kila sababu ya kuamini kutokana na ushahidi toka kwa wananchi wanaoishi kuzunguka eneo la tukio.
2.kuhusu nani alisambaza picha... hili ni swali la kitoto sana. labda ungeuliza chanzo cha usambazaji wa picha. mtu yeyote(hata wewe) anaweza kuchukua picha kokote na kuamua kuisambaza nayo ikaendelea kusambazwa na wengine. hilo swali ungelielekeza mamlaka ya mawasiliano.
3.KWENYE ISSUE SENTIVE kama hii usidhani kazi ya jeshi la polisi ni kukanusha uvumi.. kazi yake ni kupambana na kutoa ripoti kwa umma. na kumbuka repoti inayotolewa sio detailed report bali inatolewa ripoti ya ujumla tuu ya kuelezea hali halisi ili kuwapa wananchi tahadhari kama situation is not yet under control ama kuwaambia wananchi wasiwe na wasiwasi kama hali imeshadhibitiwa. udaku na uvumi unaachwa kwa wadaku kama wewe.
4. hapo namba 4 sina la kukujibu zaidi ya kukuona mpumbavu. nenda amboni kaongee na wananchi halafu uje utapike kinyesi chako hapa. mapambano ya kiwango kile uwe ni upishi??? kuna haja ya kuhoji uzalendo wenu.
5.sijui mambo unayoyazungumzia, na kama mapambano na magaidi umgetaka yafanywe kama public show offf... kuna haja ya nyie wapenda ugaidi kujifunza jinsi mapambano haya yanavyoendeshwa na nchi nyingine. kinacholetwa kwa umma ni taarifa zisizo na mashiko wala athari yoyote ki intelijensia. tatizo ninyi mnataka hata mambo yasiyostahili kuletwa adharani mnataka yaletwe ili mwishowe myatafsiri kisiasa na kujijenga kimitaji uchwara.
....... nyie watu bado sana. hivi mnafikiri nchi inaendeshwa kwa majungu na siasa za majukwaani??
....... mngejua jinsi mnavyovihuzunisha vyombo vya ulinzi na usalama, mngetakiwa kujirekebisha.
....... kazi ya MBWA ni kubweka na sisi tunawaacha mbwa wafanye kazi yao
 
Last edited by a moderator:
Mimi tangu nilivyoisikia nilijua hakuna kitu niusanii tu kwa sababu wanafikiri wote hatuna akiri kama watu wa Ccm.
mimi hiyo picha ya helcopter ya polisi nilishaitilia shaka siku ya kwanza tu maana nimeishi eneo la chumvini/Kisosora sana na maeneo hayo yanafahamu vizuri mno
 
Hivi hizo picha si ni watu tu walikuwa wakitumiana kunogesha soga za kilichodhaniwa kuendelea huko Amboni?

Kwani kuna mahali popote au taasisi yoyote ya kiusalama iliyojinadi kuwa chanzo cha taswira mnato hizo ikizihusisha na kilichojiri huko Amboni?
 
Unamuona mwenzio mpumbavu lakini wewe nizaidi ya mjinga,bado unaishi kwenye enzi za propaganda,Yapo maswali watanzania wanaitaji majibu ya kina sio kejeli,hapo kwenye red inatia kinyaa,wanatumika kuuwa watu,kujerui alafu unasema nini?
Tunataka majibu ya haya maswali na wala sio kejeli na majibu mapesi mepesi kama mlivyozoea.

1. Tukio la Tanga ni ugaidi au ujambazi?
2. Je, wavamizi wameuawa au wametoroka?
3. Je, nini lilikuwa lengo la wavamizi?...
4. Je, mapango ya Amboni yana njia ya kutorokea?
5. Je, ni kweli kuna njia ya kutorokea mpaka Mombasa au baharini?
6. Je, wavamizi ni raia wa nchi gani?
7. Je, askari wetu waliojeruhiwa ni akina nani?
8. Je, mtuhumiwa aliyekuwa anashikiliwa na polisi alitorokaje?
9. Je, mtuhumiwa huyo alikuwa amefungwa pingu?
10. Je, tunaweza kujihakikishia vipi kuwa sasa ni salama?​
 
Hivi hizo picha si ni watu tu walikuwa wakitumiana kunogesha soga za kilichodhaniwa kuendelea huko Amboni?

Kwani kuna mahali popote au taasisi yoyote ya kiusalama iliyojinadi kuwa chanzo cha taswira mnato hizo ikizihusisha na kilichojiri huko Amboni?

Ndugu yangu humu unatakiwa uchanganye na za kwako maana kuna mabingwa wa kujitekenya na kisha kucheka wenyewe! Au ndiyo mbinu ya kuishurutisha serikali kutoa picha halisi za tukio?
 
hivi wale panya road 500 wapo wapi gereza lipi au mahabusu gani this country bhana too much magumash
 
pongezi zikufikie mleta uzi.....umetufumbua wengi sana....shukurani kwa hilo mkuu.
 
kama hamridhiki na jinsi Nchi inavyoendeshwa tafuteni pa kuishi....Dunia kubwa hii ya nini kuishi sehemu usiyoridhika nayo....mnakera sana na figisufigisu zenu bwana aaaaaah!
 
hii picha ya pili si walikuwa kwenye zoezi. itakuweje wajeda wengine wamesimama na kushika viuno, halafu useme wapo kwenye mapambano na gaidi.

Mkuu magaidi na BM. Sawa yawezekana lkn always kila nchi Ina special unit ya kupambana nao. Hapa TZ sijui kipo au hakipo! Yaani ni full comedy. Watanganyika hatudanganyiki na propaganda za magamba kamwe.
 
Tanga ni full cinema safari hii starling mwenyewe
Yuko magogoni hajasafiri anaona jinsi
Cinema ilivyofeli kabla hata ya kuanza:
Ccm bana! Ni mene mene tekel na Peres :
 
labda nichukue muda wangu wa sekunde chache kujibu maswali yako ya kijinga(ingawa mimi sio mjinga kama wewe)
1.kuhusu ukweli ama uongo wa tukio inayegemea na pale uliposimama. kama ni gaidi ni lazima useme sio tukio la kweli na kama ni mzalendo basi una kila sababu ya kuamini kutokana na ushahidi toka kwa wananchi wanaoishi kuzunguka eneo la tukio.
2.kuhusu nani alisambaza picha... hili ni swali la kitoto sana. labda ungeuliza chanzo cha usambazaji wa picha. mtu yeyote(hata wewe) anaweza kuchukua picha kokote na kuamua kuisambaza nayo ikaendelea kusambazwa na wengine. hilo swali ungelielekeza mamlaka ya mawasiliano.
3.KWENYE ISSUE SENTIVE kama hii usidhani kazi ya jeshi la polisi ni kukanusha uvumi.. kazi yake ni kupambana na kutoa ripoti kwa umma. na kumbuka repoti inayotolewa sio detailed report bali inatolewa ripoti ya ujumla tuu ya kuelezea hali halisi ili kuwapa wananchi tahadhari kama situation is not yet under control ama kuwaambia wananchi wasiwe na wasiwasi kama hali imeshadhibitiwa. udaku na uvumi unaachwa kwa wadaku kama wewe.
4. hapo namba 4 sina la kukujibu zaidi ya kukuona mpumbavu. nenda amboni kaongee na wananchi halafu uje utapike kinyesi chako hapa. mapambano ya kiwango kile uwe ni upishi??? kuna haja ya kuhoji uzalendo wenu.
5.sijui mambo unayoyazungumzia, na kama mapambano na magaidi umgetaka yafanywe kama public show offf... kuna haja ya nyie wapenda ugaidi kujifunza jinsi mapambano haya yanavyoendeshwa na nchi nyingine. kinacholetwa kwa umma ni taarifa zisizo na mashiko wala athari yoyote ki intelijensia. tatizo ninyi mnataka hata mambo yasiyostahili kuletwa adharani mnataka yaletwe ili mwishowe myatafsiri kisiasa na kujijenga kimitaji uchwara.
....... nyie watu bado sana. hivi mnafikiri nchi inaendeshwa kwa majungu na siasa za majukwaani??
....... mngejua jinsi mnavyovihuzunisha vyombo vya ulinzi na usalama, mngetakiwa kujirekebisha.
....... kazi ya MBWA ni kubweka na sisi tunawaacha mbwa wafanye kazi yao

mkuu kwanza heshima kwako,naomba nikutoe tongotongo kwanza kwamba tupo kwenye karne nyingine kabisa.
enzi za propaganda uchwara ushapitwa na wakati kiongozi,tupo kwenye karne ya modern propaganda,propaganda za kidijitali sio kudanganya kadamnasi kwa ujanja wa kizamani kiasi hiki.
kwenye hayo mapango kuna underground turnel?Kama hakuna where are the so colled magaidi?
Ina maana jeshi na police walishindwa kuwa fish out hao magaidi pamoja na kutumia silaha nzitonzito,Kama waliweza kupata baiskeli na pikipiki mbovu hao majambazi walitorokea wapi,?
tumechoka na hizi sinema za kuingiza jeshi letu shupavu kwenye mambo ya kisiasa,this move was poorly planed,hamkujiopanga ipasavyo.
askaji wa jwz amejeruhiwa in battle field kwa nini hamkumsafirisha kwa helicopter hadi lugalo,kwa nini mmemzika huyu shujaa wetu kinyemela jamani.that guy was supposed to be accorded all sort of military burrial Kama tulivyozoea na pia ni tamaduni za majeshi yote duniani.
hata rambirambi hazijatumwa jamani au mmepeleka ubani kimya kimya.?
hapana you can't fool us on this ,mbinu zenubza propaganda mziadjust kidogo LA sivyo mnatuvunja moyo sisi RAIA wema.
 
kama hamridhiki na jinsi Nchi inavyoendeshwa tafuteni pa kuishi....Dunia kubwa hii ya nini kuishi sehemu usiyoridhika nayo....mnakera sana na figisufigisu zenu bwana aaaaaah!

mkuu umemaliza naomba Uzi ufungwe,hii nchi inaitaji mambumbumbu ndio waishi humu,yaani watawala wanazania wao ndio wajanja kuliko wotee.
matokeo yake wanatudanganya na mambo ya kizamani wanashindwa hata kuwa strategic kwenye mambo ya kiusalama jamani.
 
kama hamridhiki na jinsi Nchi inavyoendeshwa tafuteni pa kuishi....Dunia kubwa hii ya nini kuishi sehemu usiyoridhika nayo....mnakera sana na figisufigisu zenu bwana aaaaaah!

Kaa ukijua kuwa watu wengi kwa imani zao wako kwenye maombi kila wakati juu ya nchi hii. Usitegemee mteremko wa kudanganya watu kuwa hakuna lisilo wekwa wazi na Mungu mwenyewe! Hii ni aibu kubwa!
 
mkuu kwanza heshima kwako,naomba nikutoe tongotongo kwanza kwamba tupo kwenye karne nyingine kabisa.
enzi za propaganda uchwara ushapitwa na wakati kiongozi,tupo kwenye karne ya modern propaganda,propaganda za kidijitali sio kudanganya kadamnasi kwa ujanja wa kizamani kiasi hiki.
kwenye hayo mapango kuna underground turnel?Kama hakuna where are the so colled magaidi?
Ina maana jeshi na police walishindwa kuwa fish out hao magaidi pamoja na kutumia silaha nzitonzito,Kama waliweza kupata baiskeli na pikipiki mbovu hao majambazi walitorokea wapi,?
tumechoka na hizi sinema za kuingiza jeshi letu shupavu kwenye mambo ya kisiasa,this move was poorly planed,hamkujiopanga ipasavyo.
askaji wa jwz amejeruhiwa in battle field kwa nini hamkumsafirisha kwa helicopter hadi lugalo,kwa nini mmemzika huyu shujaa wetu kinyemela jamani.that guy was supposed to be accorded all sort of military burrial Kama tulivyozoea na pia ni tamaduni za majeshi yote duniani.
hata rambirambi hazijatumwa jamani au mmepeleka ubani kimya kimya.?
hapana you can't fool us on this ,mbinu zenubza propaganda mziadjust kidogo LA sivyo mnatuvunja moyo sisi RAIA wema.

Mkuu umemaliza hawa Maccm wanafikiri ni wakati wa
BBC sasa hivi wanapokupangia ndio huko
Tumeamkia kila kitu wazi kweupe move ya
Kijinga mno hii:
 
Mimi tangu nilivyoisikia nilijua hakuna kitu niusanii tu kwa sababu wanafikiri wote hatuna akiri kama watu wa Ccm.

​Wanao sambaza hizi picha , mdogo wangu ni wazembe wsiotambulika CCM wala CDM,
 
LENGO LAO KUWASAHAURISHA WANANCHI NA SAKATA LA ESCROW, SUKARI, MAANDAMANO YA CUF, ISSUE YA KENYA NA TZ n.k. LAKINI WAMEANZA KUUMBUKA KWANI MKUU WA MKOA WA TANGA AMESEMA HAKUNA MTU ANAYESHIKILIWA NA POLISI HUKO TANGA . HIVYO ANAWATAKA WANANCHI WATOE USHIRIKIANO KWA POLISI. HII NI AJABU... KAMA POLISI WALIJERUHIWA NA MWANAJESHI KUUWAWA, INAKUAJE HAKUNA JAMBAZI ALIYEJERUHIWA?. NI KIINI MACHO TU

Gazeti la mawio litamaliza ubishi wote wiki ijao lkn nina wasi wasi linaweza kufungiwa kabla ya toleo lijalo
 
kadri itakavyokuwa ni dhairi nchi yangu haina ulinzi wa kutosha kuhakikisha wananchi na mali zao, hifadhi ya nchi, hadhi na usalama kwa ujumla vinawepo hivyo kunakshi amani.

lakini kwa mazingira kama haya inaonesha ni jinsi gani vyombo vyetu vya usalama vipo kwa ajili ya kurejesha utulivu sio amani, ndio maana daima wanagutushwa na mashambulizi ya majambazi na magaidi.

viongozi wa serikali ya ccm walifika na jambo zuri khusu vitambulisho vya taifa, hii ingesaidia sana kubainisha watanzania na kuanzisha DATA BASE ambayo ingewasaidia vyombo vya usalama katika kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi. lakini sababu ya hofu za kisiasa ccm wamehujumu mpango huo, daftari la wapiga kura ubabaishaji, mara waje na kilimo kwanza, mara mahabara, mara ulinzi shirikishi, mara oh! polisi jamii lakini bado hali ya usalama ngumu.

iwe kisiasa au ni udhaifu wa vyombo vya usalama wa nchi yetu mgumu.
 
Back
Top Bottom