Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 457
- 191
Nchi hii bana yaani na wanaojadili hili tena wanalijadili katika mrengo wa kisiasa teh teh ten
Ndugu yangu jeshi lime shaingiliwa na mabeberu kutumia mlango wa dini. Na serikali yetu inashindwa kusoma alama za nyakati.
Moja ya mbinu kubwa ilo tumiwa na walinzani wa Assad kule syria ni kutayarisha video kama hizi kuwaita watu kupigana na assad .
Cia walitoa fedha nyingi kutumia twitter na mitandao mengine .
Lengo sio kumuindoa tu assad bali kuichafua nchi hio na kuwaweka hao mujahud sehemu moja ili iwamalize na pia kuendeleza vita yao ya kuchafua
Wakafanikiwa sana kule vijana wasiokua na kazi wakaitikia kutoka dunia nzima wakapewa mafunzo jordan na turkey leo wale ndio isis wamekuwa mijambazi mikubwa.
Na sisi tunatengenezewa mazingira hayo hayo.
Nchi hii watu wanaishi pamoja na kufanya kazi pamoja
Raia wa nchi hii ni wapole tangu kudai uhuru na hata kama kama kuna mijizi ya escrow wataliga kelele na baadae yanapita.
Hakuna vita hapa lakini tusipi kuwa makini tutaletewa na hawa hawa tunao waamini kuwa ni marafiki wa kutufundisha kupambana na magaidi lakini wao lengo lao kuchafua wao wapo kwao wanakula burgers
labda nichukue muda wangu wa sekunde chache kujibu maswali yako ya kijinga(ingawa mimi sio mjinga kama wewe)Dah... Kachanchabuseta POKEA HESHIMA NA NISHANI YANGU...Umenifungua mengi sana...
NAJIULIZA MASWALI YAFUATAYO:
1. Je tukio hili ni la kweli
2. Nani alisambaza picha hizi
3. Kama kweli polisi wetu wapo makini ni kwa nini
wasije kukanusha kuhusu picha hizi zinazosambaa
kwa kwasi hata kama mtu ana MB 8
4. Sisi wanainchi tukisema hii issue imepikwa tena
kisiasa tena na ******* tunamakosa?
5. Anyway mimi binafsi nasikitika sana na haya
mambo yanavyoendeshwa na serikali
yangu.Tutegemee nini mbeleni kwa uongo huu?
(HAPO NO. 5 PAGUMU SANA KUNIELEWA ILA NAAMINI kuna IQ kubwa zitanielewa.
NASIKITIKA SANA NA JINSI NCHII HII.INAVYOENDESHWA...
mimi hiyo picha ya helcopter ya polisi nilishaitilia shaka siku ya kwanza tu maana nimeishi eneo la chumvini/Kisosora sana na maeneo hayo yanafahamu vizuri mnoMimi tangu nilivyoisikia nilijua hakuna kitu niusanii tu kwa sababu wanafikiri wote hatuna akiri kama watu wa Ccm.
labda nichukue muda wangu wa sekunde chache kujibu maswali yako ya kijinga(ingawa mimi sio mjinga kama wewe)
1.kuhusu ukweli ama uongo wa tukio inayegemea na pale uliposimama. kama ni gaidi ni lazima useme sio tukio la kweli na kama ni mzalendo basi una kila sababu ya kuamini kutokana na ushahidi toka kwa wananchi wanaoishi kuzunguka eneo la tukio.
2.kuhusu nani alisambaza picha... hili ni swali la kitoto sana. labda ungeuliza chanzo cha usambazaji wa picha. mtu yeyote(hata wewe) anaweza kuchukua picha kokote na kuamua kuisambaza nayo ikaendelea kusambazwa na wengine. hilo swali ungelielekeza mamlaka ya mawasiliano.
3.KWENYE ISSUE SENTIVE kama hii usidhani kazi ya jeshi la polisi ni kukanusha uvumi.. kazi yake ni kupambana na kutoa ripoti kwa umma. na kumbuka repoti inayotolewa sio detailed report bali inatolewa ripoti ya ujumla tuu ya kuelezea hali halisi ili kuwapa wananchi tahadhari kama situation is not yet under control ama kuwaambia wananchi wasiwe na wasiwasi kama hali imeshadhibitiwa. udaku na uvumi unaachwa kwa wadaku kama wewe.
4. hapo namba 4 sina la kukujibu zaidi ya kukuona mpumbavu. nenda amboni kaongee na wananchi halafu uje utapike kinyesi chako hapa. mapambano ya kiwango kile uwe ni upishi??? kuna haja ya kuhoji uzalendo wenu.
5.sijui mambo unayoyazungumzia, na kama mapambano na magaidi umgetaka yafanywe kama public show offf... kuna haja ya nyie wapenda ugaidi kujifunza jinsi mapambano haya yanavyoendeshwa na nchi nyingine. kinacholetwa kwa umma ni taarifa zisizo na mashiko wala athari yoyote ki intelijensia. tatizo ninyi mnataka hata mambo yasiyostahili kuletwa adharani mnataka yaletwe ili mwishowe myatafsiri kisiasa na kujijenga kimitaji uchwara.
....... nyie watu bado sana. hivi mnafikiri nchi inaendeshwa kwa majungu na siasa za majukwaani??
....... mngejua jinsi mnavyovihuzunisha vyombo vya ulinzi na usalama, mngetakiwa kujirekebisha.
....... kazi ya MBWA ni kubweka na sisi tunawaacha mbwa wafanye kazi yao
Hivi hizo picha si ni watu tu walikuwa wakitumiana kunogesha soga za kilichodhaniwa kuendelea huko Amboni?
Kwani kuna mahali popote au taasisi yoyote ya kiusalama iliyojinadi kuwa chanzo cha taswira mnato hizo ikizihusisha na kilichojiri huko Amboni?
hii picha ya pili si walikuwa kwenye zoezi. itakuweje wajeda wengine wamesimama na kushika viuno, halafu useme wapo kwenye mapambano na gaidi.
labda nichukue muda wangu wa sekunde chache kujibu maswali yako ya kijinga(ingawa mimi sio mjinga kama wewe)
1.kuhusu ukweli ama uongo wa tukio inayegemea na pale uliposimama. kama ni gaidi ni lazima useme sio tukio la kweli na kama ni mzalendo basi una kila sababu ya kuamini kutokana na ushahidi toka kwa wananchi wanaoishi kuzunguka eneo la tukio.
2.kuhusu nani alisambaza picha... hili ni swali la kitoto sana. labda ungeuliza chanzo cha usambazaji wa picha. mtu yeyote(hata wewe) anaweza kuchukua picha kokote na kuamua kuisambaza nayo ikaendelea kusambazwa na wengine. hilo swali ungelielekeza mamlaka ya mawasiliano.
3.KWENYE ISSUE SENTIVE kama hii usidhani kazi ya jeshi la polisi ni kukanusha uvumi.. kazi yake ni kupambana na kutoa ripoti kwa umma. na kumbuka repoti inayotolewa sio detailed report bali inatolewa ripoti ya ujumla tuu ya kuelezea hali halisi ili kuwapa wananchi tahadhari kama situation is not yet under control ama kuwaambia wananchi wasiwe na wasiwasi kama hali imeshadhibitiwa. udaku na uvumi unaachwa kwa wadaku kama wewe.
4. hapo namba 4 sina la kukujibu zaidi ya kukuona mpumbavu. nenda amboni kaongee na wananchi halafu uje utapike kinyesi chako hapa. mapambano ya kiwango kile uwe ni upishi??? kuna haja ya kuhoji uzalendo wenu.
5.sijui mambo unayoyazungumzia, na kama mapambano na magaidi umgetaka yafanywe kama public show offf... kuna haja ya nyie wapenda ugaidi kujifunza jinsi mapambano haya yanavyoendeshwa na nchi nyingine. kinacholetwa kwa umma ni taarifa zisizo na mashiko wala athari yoyote ki intelijensia. tatizo ninyi mnataka hata mambo yasiyostahili kuletwa adharani mnataka yaletwe ili mwishowe myatafsiri kisiasa na kujijenga kimitaji uchwara.
....... nyie watu bado sana. hivi mnafikiri nchi inaendeshwa kwa majungu na siasa za majukwaani??
....... mngejua jinsi mnavyovihuzunisha vyombo vya ulinzi na usalama, mngetakiwa kujirekebisha.
....... kazi ya MBWA ni kubweka na sisi tunawaacha mbwa wafanye kazi yao
kama hamridhiki na jinsi Nchi inavyoendeshwa tafuteni pa kuishi....Dunia kubwa hii ya nini kuishi sehemu usiyoridhika nayo....mnakera sana na figisufigisu zenu bwana aaaaaah!
kama hamridhiki na jinsi Nchi inavyoendeshwa tafuteni pa kuishi....Dunia kubwa hii ya nini kuishi sehemu usiyoridhika nayo....mnakera sana na figisufigisu zenu bwana aaaaaah!
mkuu kwanza heshima kwako,naomba nikutoe tongotongo kwanza kwamba tupo kwenye karne nyingine kabisa.
enzi za propaganda uchwara ushapitwa na wakati kiongozi,tupo kwenye karne ya modern propaganda,propaganda za kidijitali sio kudanganya kadamnasi kwa ujanja wa kizamani kiasi hiki.
kwenye hayo mapango kuna underground turnel?Kama hakuna where are the so colled magaidi?
Ina maana jeshi na police walishindwa kuwa fish out hao magaidi pamoja na kutumia silaha nzitonzito,Kama waliweza kupata baiskeli na pikipiki mbovu hao majambazi walitorokea wapi,?
tumechoka na hizi sinema za kuingiza jeshi letu shupavu kwenye mambo ya kisiasa,this move was poorly planed,hamkujiopanga ipasavyo.
askaji wa jwz amejeruhiwa in battle field kwa nini hamkumsafirisha kwa helicopter hadi lugalo,kwa nini mmemzika huyu shujaa wetu kinyemela jamani.that guy was supposed to be accorded all sort of military burrial Kama tulivyozoea na pia ni tamaduni za majeshi yote duniani.
hata rambirambi hazijatumwa jamani au mmepeleka ubani kimya kimya.?
hapana you can't fool us on this ,mbinu zenubza propaganda mziadjust kidogo LA sivyo mnatuvunja moyo sisi RAIA wema.
Mimi tangu nilivyoisikia nilijua hakuna kitu niusanii tu kwa sababu wanafikiri wote hatuna akiri kama watu wa Ccm.
LENGO LAO KUWASAHAURISHA WANANCHI NA SAKATA LA ESCROW, SUKARI, MAANDAMANO YA CUF, ISSUE YA KENYA NA TZ n.k. LAKINI WAMEANZA KUUMBUKA KWANI MKUU WA MKOA WA TANGA AMESEMA HAKUNA MTU ANAYESHIKILIWA NA POLISI HUKO TANGA . HIVYO ANAWATAKA WANANCHI WATOE USHIRIKIANO KWA POLISI. HII NI AJABU... KAMA POLISI WALIJERUHIWA NA MWANAJESHI KUUWAWA, INAKUAJE HAKUNA JAMBAZI ALIYEJERUHIWA?. NI KIINI MACHO TU