Picha:shuruba ya mvua ziara ya CUF (Mtatiro) inayoendelea mkoa wa pwani bado ngangari

Hii ndio nini sasa? Hebu tuwekeeni post zenye akili bana achaneni na CUF inayojizika yenyewe. Ngangari imebaki historia kwa ujinga wao wenyewe.

unajidanganya mkuu.Haitakufa kwa sababu watu wa ile dini yetu wanatuunga mkono.Angalia mwenyewe hata mikoa tunayotembelea
 
La kuvunda halina ubani,chama chao kimeshaingia chaka hawawezi kurudisha hadhi yao kirahsi kama anavyofanya mtatiro

pole sana.Watu wa dini yetu na wapemba wote wanatuumga mkono.Hata sasa ni zamu ya mpemba kuwa rais wa muungano
 
Mkuu, sina mbavu tena hapa nilipo duuu!!!!!!!!!!

Mbona kama vile kila mtu karukwa akili vile au ndio matokeo ya kuzulumiwa saana huku? Kabla sijaondoka, nisaidie kidogo; hapo juu ni kwamba KAFU wanaonyesha walivyoenda PICNIC mkoa wa Pwani u wako kwenye shughuli za wokozi?

naona wako kwenye ziara ya kidini
 
CUF HAWAAKO KWENYE HALI YA KUWAFANYA WADHOOFIKE KAMA UNAVYODHANI.Harakati zinaendelea na ndio maana leo wako maeneo mabalimbali ya nchi kuimarisha chama na kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa kuwazindua waliolala kisiaas.Big up CUF

ni kweli maeneo ya wale watu wa dini yeu.Tuhongere sana
 
Duuh, yaani Mtatiro zile mbinu zake alizokuwa anatumia kwenye vinyang'anyiro vya Daruso hajaacha mpaka leo? Ilikuwa kwenye kila mgomo lazima alete mpiga picha ampige picha wakati yule mbele ya kundi la waandamanaji, halafu anazibandika kwenye mabweni teh teh teh! Sitashangaa kama hizi picha atazitumia uchaguzi wa 2015 manake ndio moja ya mbinu zake hizi...........kwi kwi kwi kwi! Mtatiro bana :eyebrows:
 


Dini ya yule mwenye Ph.D ya sheria za RC.

inawezekana mkuu.Chama chetu tunakiimarisha mikoa ya huko pemba,pwani,mafia,mtwara,lindi na baadhi ya maeneo ya tanga.Hatuhangaiki na maeneo ya zile dini za wazungu ndio maana Igunga tuliambulia kura elf 2.Hizo chache za Igunga tulipata kutoka kwa watu wa dini ya chama chetu
 
inawezekana mkuu.Chama chetu tunakiimarisha mikoa ya huko pemba,pwani,mafia,mtwara,lindi na baadhi ya maeneo ya tanga.Hatuhangaiki na maeneo ya zile dini za wazungu ndio maana Igunga tuliambulia kura elf 2.Hizo chache za Igunga tulipata kutoka kwa watu wa dini ya chama chetu

jamaa inawezekana wanaumia sana kuna cuf inafanya vitu vyake ktk kuimarisha chama. Huwezi kwenda nchi nzima kwa mpigo hata ccm wanaomiliki means za mapesa hawafanyi ziara mbeya daslama, mwanza arusha kagera kwa mpigo. Acha umbumbu na masaburi yana kusumbua
 
Jamaa wanatafuta umaarufu kwa janga la mafuriko. Ulizeni walitoa life jacket ngapi kama hujatukanwa kuwa mdini.
 
Back
Top Bottom