Picha:shuruba ya mvua ziara ya CUF (Mtatiro) inayoendelea mkoa wa pwani bado ngangari

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
DSC05742.JPG DSC05767.JPG DSC05691.JPG PC200271.JPG PC200298.JPG PC200334.JPG DSC05727.JPG
 

Attachments

  • DSC05704.JPG
    DSC05704.JPG
    1.6 MB · Views: 87
Hii ndio nini sasa? Hebu tuwekeeni post zenye akili bana achaneni na CUF inayojizika yenyewe. Ngangari imebaki historia kwa ujinga wao wenyewe.
 
La kuvunda halina ubani,chama chao kimeshaingia chaka hawawezi kurudisha hadhi yao kirahsi kama anavyofanya mtatiro
 
Mkuu, sina mbavu tena hapa nilipo duuu!!!!!!!!!!

Mbona kama vile kila mtu karukwa akili vile au ndio matokeo ya kuzulumiwa saana huku? Kabla sijaondoka, nisaidie kidogo; hapo juu ni kwamba KAFU wanaonyesha walivyoenda PICNIC mkoa wa Pwani u wako kwenye shughuli za wokozi?


Hii ndio nini sasa?

Hebu tuwekeeni post zenye akili bana achaneni na CUF inayojizika yenyewe. Ngangari imebaki historia kwa ujinga wao wenyewe.
 
Sio mbaya kwa Mtatiro kujifunza maisha halisi ya mtanganyika yakoje ili atafute means ya kuyatafutia ufumbuzi.
Wenzake upande wa pili wametulia wanajenga nchi yao.
 
CUF HAWAAKO KWENYE HALI YA KUWAFANYA WADHOOFIKE KAMA UNAVYODHANI.Harakati zinaendelea na ndio maana leo wako maeneo mabalimbali ya nchi kuimarisha chama na kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa kuwazindua waliolala kisiaas.Big up CUF
 
hii ndio nini sasa? Hebu tuwekeeni post zenye akili bana achaneni na cuf inayojizika yenyewe. Ngangari imebaki historia kwa ujinga wao wenyewe.

hata picha unashindwa kuelewa?ama ndo umefika mwisho wako wa kufikiri.
 
la kuvunda halina ubani,chama chao kimeshaingia chaka hawawezi kurudisha hadhi yao kirahsi kama anavyofanya mtatiro

nilidhani shekh yahya ushakufa.kumbe bado upo na utabiri feki wako.cuf ni ngangari na bado iko ngangari sijaona cha kuiyumbisha wala kuirudisha cuf nyuma kama ni kufa ingekufa kwenye migogoro ya mwaka 2000
 
la kuvunda halina ubani,chama chao kimeshaingia chaka hawawezi kurudisha hadhi yao kirahsi kama anavyofanya mtatiro

si lazima harakti zifanyike kwa njia uliyokariri wewe.acha mtatiro asonge mbele na cuf itazidi kuchanja mbuga
 
siku hizi wamebadilisha jezi?

...kwani bado wanamfanyia kampeni Lipumba?,kwenye hiyo fulana aliyovaa Mtatilo mbona kuna picha ya ya chagua Lipumba.Tume ya uchaguzi ebu litazameni hilo,isijeikawa hawa wazanzibara wameanza kampeni za 2015!...
 
Julius kaanza kuingia msikitini? naona kwenye paji ana ile kitu waislam walio wengi huwa wanakuwa nayo,angalia paji lake la uso. ila jamaa anavuta mpunga mwingi sana kafu nyie mwacheni tu ndo kisa cha kina Hamad rashid kuanza kuleta chokochoko
 
Back
Top Bottom