Huna jipya wala huna maana yeyote, kelele zote ulizokuwa unapiga nasi tukakusapot kumbe nawe ni msaliti kama walivyo magamba wenzio, wewe ni hatari unaweza tumbukiza watu pabaya, utaangamia kwa kulinda njaa, waseme hao walokufanyizia unaogopa kupoteza kibarua?
Nadhani wana jamvi hamjamwelewa Dr Mwakyembe
yeye anasema,kwa kuwa serikali imeunda tume ya kuchunguza ugonjwa wake,basi tuache tume imalize kazi yake na itatoa ripoti kwa wananchi.
nadhani anacho ogopa yeye ni kutoa taarifa ambayo labda itaweza kuilazimisha tume iseme kile alicho sema yeye.labda kama tume itakuja na majibu kinyume na Dr aonavyo,basi anaweza sasa kutueleza alicho nacho
Wewe mnafiki ukiwa umezidiwa kule India ulituahidi wadanganyika kuwa utakuja kulipua kila kitu vipi ni lini uta lipua au kazi hiyo umemwachia mnafiki mwezako Sitta....
Wewe mnafiki ukiwa umezidiwa kule India ulituahidi wadanganyika kuwa utakuja kulipua kila kitu vipi ni lini uta lipua au kazi hiyo umemwachia mnafiki mwezako Sitta....
Kuna KITU kikubwa sana nimejifunza kwenye maamuzi haya ya Mwakyembe. Hivi mntaka aseme au awaseme wenzie wakati wako katikati ya mtifuano na CHADEMA kwenye chaguzi ndogo za Udiwani na Ubunge wa Arumeru? Hawa jamaa siku zote ni "Strategical" kuliko wapinzani wao. Hivi kwa mfano kama wanayemtegemea kuwapigia Kampeni ndiye anayetarajiwa kutajwa na Mwakyembe unadhani wao watakubali Mwakyembe amtaje kwa sasa?
Haya mambo uchaguzi ukipita 1/04/2012 mtaanza kuyaona kwenye magazeti "yao" lakini kwa sasa kwa pamoja bila ya kujali tofauti zao wanapigana kuokoa kura za Arumeru. Siye wengine tuko bize kumwaga mboga au ugali. Taabu waliyoipata Igunga hawataki iwarudie tena Arumeru!! MJADALA UMEFUNGWA... FULL STOP!! MMEELEWA?
HAAYAAA UNAJUA NI KWELI KABISA YA MWAKYEMBE NI SIRI NZITO SANA..... MIMI NIKIWA MWAKYEMBE POTELEA MBALI NATOBOA SIRI ZOTE ALAFU NIONE. NIKIFA WANANCHI WATAJUA KABISA UKWELI KUA HAWA MAFISADI, MKAPA, LOWASA, ROSTAM, NA KIKWETE NIDO WAMENIMALIZA. KABISA AND LET JUSTICE PREVAIL. Tanzanians are not fools to play around with. Already wanajua
for the sake of peace, national unity and stability he is right.Hakuna marefu yasiyo na ncha,busara imetumika kutuliza bomu ambalo lingalipuka,coz we were divided into two parts(Opposing & Supporting)